Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

Gwajima ana nguvu gani kumzidi kitima ambaye alishambuliwa na mpaka sasa walio mshambulia wako mitaani wanadunda?
Au Gwajima ana nguvu gani kumzidi Ndugai ambaye sasa hivi amekuwa kama panya aliye mwagiwa maji?
Au Gwajima ana nguvu gani kumzidi Bashiru ambaye mpaka sasa hathubutu kunyanyua mdomo.
Gwajima alicho kisema ni haki kabisa lakini simshauri amjibu kivyovyote huyu mama.
Tz hii ukisha kuwa rais uko juu ya kila kitu.
Unatumia akili kweli!?
 
Gwajima huyu huyu aliesema atamrudisha Amina Chifupa kwamba kachukuliwa msukule?
Gwajima anaewaaminisha watu kuwa anafufua watu lakini mama yake mzazi hakuthubutu kuwaambia watu kuwa atamfufua alipofariki.
 
Mama ameshaishiwa gwajima kawamix bila yass mmeshaanza kuvurugana wenyewe kwa wenyewe mpaka mseme mwaka huu
 
Asije akarushwa mapepo kwa Ofisi, cheza na Gwajima!
Akiishika picha ya Maza siku Saba kavu..... Whitehauzi akili zitakaa sawa!

Kuna mtu alifutika kwenye ramani za siasa mpaka leo hajawahi kutaja jina la Gwajima!
Kwa hiyo mungu ni wa Ngwajima peke yake mpaka chochote atakacho kina kuwa au?
 
Naye huambatana na bodyguards kila mahali?

Awe makini sana zama hizi ni either atashambuliwa kama Kitima ama kutekwa kama Mdude!

Ngumu kushindana na mwenye mamlaka yote yale na ukatoboa!
 
Heaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle.
Gwajima is too heavy compared to Maza.
Gwajima ana leseni ya Magari makubwa wanaomjibu sio saizi yake leo mama kajikaza kidogo lakini bado jpl tukutane ibadani pale ufufuo na uzima Ubungo kwa mzee baba Gwajima hajawai kuuza match niko pale Mwaka huu kumependeza Mapema Gwajima Rais 2025
 
Kwa kauli ya Samia namshauri Gwajima akae kimia asithubutu kujibu maana yatamkuta mkubwa.
Katika nchi zetu zilizoko matakoni mwa dunia rais ni kama mungu.
Unamshauri akae kimya au unajaribu kumwingizia Uoga wako?
Hivi una umri wa kutosha kuikumbuka nchi ya Iraq na Saddam Hussein?
Mwache Gwajima atumie uhuru wake wa kuongea..pia iombee nchi yetu ili tutoke kwenye hili jinamizi !
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Heaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle.
Gwajima is too heavy compared to Maza.
Huyu mama alishapoteza muelekeo na tukimrudisha madarakani nchi itakosa muelekeo kama yeye alivyokosa muelekeo,
Rais badala ashindane kwa hoja na Gwajima yeye anatoa mipasho tunaweza tukasema tuna rais kweli hapo?
Hii nchi inatakiwa impate rais kama Gwajima hawa vilaza wengine tupa kule,
Gwajima amefumua kwenye mshono wa chama sasa hivi makenge wote ulimi umewatoka,
Saluti kwako gwajiboy
#NileteeniGwajima
 
Hii ndio akili ya Watanzania wote wenye uchungu na Nchi yao, na si vinginevyo. Itoshe kusema mama apumzike, aachie nafasi ili Nchi yetu isonge mbele..
 
Back
Top Bottom