Hawara pamoja na kusaidia ndoa zetu kusimama, mjipange na hukumu nzito siku ya mwisho

Hawara pamoja na kusaidia ndoa zetu kusimama, mjipange na hukumu nzito siku ya mwisho

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
RIP MWAMBA.BR WILLY
CONT RIP POPOTE ULIPO


Ulikuwa kaka mwema

Mume mwema kwa familia yako

Lakini pesa ilipochanganya ukaanza kuchanganya madesa wa mahawar

Ukujua wengine wana maroho ya mauti hatimae ukaishia kuchomeka na hawara yako kwenye gari....


Ni mwaka 2019 ma best nrda alikuwa ameanza biashara ya kuuza gesi

Dodoma

Ilipochanganya akamua kusambaza upendo mikoani tanga moshi nk

Mke wa marehemu akanza kupiga simu shemeji zangu kakayenu simuelewi sikuhizi naomben mumwambie achague moja ndoa ama hawara

kama.kawaida damu nzito kuliko asali tukamtetea na kuwakalisha chini wayamalize

Kakaa n kama wametindua ubongo haambiwi kitu leo yuko na white kesho black kutwa brown

sijajua wa kijan kama alifanikiwa,



2019 kaka alikiamsha kwenda tanga

Haitoshi akaona aende na mmoja wa a mahawara zake pale dodoma sikujua kumwonyesha channel ama lah

walipofika sehemu wakapata bia kadhaa mtu na hawara wakeee

Haikuchukua mda kaka alikuwa amepakiza mitungj miwili ya gesi mikubwa anaenda nayo huko tanga

Gafla simu inaita sipokei..badae nkapiga naulizwa uko wapi....angeluwa adamu angejibu niko uchi...

Nkajibu tegeta..nkambiwa panda gari nenda tanga sehemu flan fika piga hii namba kakayako kaungua na mahwara zake kwenye gari kafaa.......

nikachukua dk kadhaa kuelewa mwisho nkamwomba Mungu ujasiri


Tukakutana ndugu tukafika tukambiwa nduguzenu wamekauka wamekufa wote wamepelekwa minchwari

Gari iliwaka moto inaonekana lilikutwa na mitumgi.miwili ya gesi mikubwaa...

Dah kumwangalia ndugu aangaliki

Nkawajulisha ndugu kadhaa wakaomba tupeleke moshi Waka arrange pesa zikatumwa

Kijana wetu akazikwaa

Mawahara
Kwa hili.hamkumtendea haki nduguyetu kabisa amekufa na kifo.cha.maumivu sana nikiwaza hili.kichwa inauma sana sana

Alldbest mahwara.wotee..na kazi zenu
 
Kwaiyo hawara hapo anahusikaje na hicho kifo Cha ndugu yenu?
Mitungi imelipuka kwenye gari ikasababisha moto na hatimae ndugu yenu na hawara wakafa,
Kwan Kwa mfano angekuwa yeye peke yake mitungi ikalipuka asingekufa,
Je hujawaza ndugu upande wa hawara wanavyoumia ndugu Yao kupanda gari lenye mitungi ya gesi?
Sioni uhusiano kati ya hawara na kifo Cha ndugu yenu,
Japo wamekufa wote!
 
Dunia ya sasa ni vizuri kama kijana tafuta mke weka ndani, kisha tulizana.

La sivyo hauchukui round, kama si kufa kwa ma laana, basi utakufa kwa magonjwa.
 
Back
Top Bottom