PreGE2025 Heche: Msimamo wa Chama chetu ni kusimama na msimamo wa wananchi na kutokufanya siasa za ulaghai

PreGE2025 Heche: Msimamo wa Chama chetu ni kusimama na msimamo wa wananchi na kutokufanya siasa za ulaghai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuu
Mapema asubuhi leo Mei 23, 2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche anaongoza kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kujadili mambo mbalimbali moja ya ajenda zilizoainishwa kujadiliwa na kikao hicho ni pamoja na

1. Hali ya Kisiasa Nchini
2. Operesheni ya 'No Reform No Election' (Bila Mabadiliko Hakutakuwa na Uchaguzi) pamoja na

3. Uvunjani wa Haki za Binadamu na Ukandamizaji wa demokrasia nchini.

Akifungua kikao hicho Heche amesema

"Msimamo wa chama Chetu ni kusimama na msimamo wa wananchi na kutokufanya siasa za ulaghai Tumekataa kufanya siasa za ulaghai, CHADEMA SIO chama cha kufanya siasa za janja janja." - John Heche

 
Back
Top Bottom