PreGE2025 Heche: Msimamo wa Chama chetu ni kusimama na msimamo wa wananchi na kutokufanya siasa za ulaghai

PreGE2025 Heche: Msimamo wa Chama chetu ni kusimama na msimamo wa wananchi na kutokufanya siasa za ulaghai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nasimama na misimamo ya chadema hata aondoke Lissu
 
Naungana na Heche, siasa za ujanja ujanja ndio zinasababisha hii nchi kukosa maendeleo katika kiwango inacho stahili.
 
Waache kubadili gear angani ,yaani wanataka kuwabebesha mzigo wananchi
Ivi wananchi ndio walisema no reform no election ?
Hauwaoni kwenye mikutano wakiyasema hayo?

Au na wewe ni moja wapo ya zwazwa la posho ya buku 7
 
Wananchi gan!?

Endeleeni kujidanganya October tunakwenda kupiga kura vizuri

Sema ninyi wauaji, watekaji, majini na machawa wasio na akili, ndio mtaenda kupiga kura, lakini watu wenye akili timamu, na wanyofu wa mioyo, hatuna huo muda wa kuidhinisha matendo ya mashetani.
 
Sema ninyi wauaji, watekaji, majini na machawa wasio na akili, ndio mtaenda kupiga kura, lakini watu wenye akili timamu, na wanyofu wa mioyo, hatuna huo muda wa kuidhinisha matendo ya mashetani.
Kura ni haki yangu ndg

Na mimi ni Raia

Endeleeni kujidanganya uchaguzi upo pale pale
 
ALIYEKUAMBIA MSIMAMO WA WANANCHI WOT NI HUO NI NANI? SPEED IMEISHA SASA HIVI
Anaongelea wananchi, wewe chawa haupaswi kujiweka kwenye kundi hilo, tqfuta mende wezako mkazibuliwe mitalo.
 
Wakuu
Mapema asubuhi leo Mei 23, 2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche anaongoza kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kujadili mambo mbalimbali moja ya ajenda zilizoainishwa kujadiliwa na kikao hicho ni pamoja na

1. Hali ya Kisiasa Nchini
2. Operesheni ya 'No Reform No Election' (Bila Mabadiliko Hakutakuwa na Uchaguzi) pamoja na

3. Uvunjani wa Haki za Binadamu na Ukandamizaji wa demokrasia nchini.

Akifungua kikao hicho Heche amesema
"Msimamo wa chama Chetu ni kusimama na msimamo wa wananchi na kutokufanya siasa za ulaghai Tumekataa kufanya siasa za ulaghai, CHADEMA SIO chama cha kufanya siasa za janja janja." - John Heche
View attachment 3342802
Uchaguzi upo palepale Mimi na. familia yangu nitashiriki.
 
Ndio
Na huu ndio ukweli wenyewe.
KAZI ni kipimo cha utu
 
ALIYEKUAMBIA MSIMAMO WA WANANCHI WOT NI HUO NI NANI? SPEED IMEISHA SASA HIVI
Ukweli ni kwamba wananchi kwa wingi wao walishagoma kushiriki chaguzi za mchongo!
Miaka mingi walikuwa wakihadaiwa kwa umuhimu hewa wa kitambulisho cha mpiga kura!
Subiri mwaka huu hutoamini macho yako! Nchi ya watu 75+M Rais atachaguliwa kwa kura hazifiki 6M!
 
Back
Top Bottom