Habari Wakuu
Najaribu kuInstall Adobe kama Premiere, Audition, Photoshop na zingine lakini
inakataa na kunipa ujumbe (Angalia picha hapo chini) na nimejitahidi kupata maelekezo kupitia google na Youtube sikufanikiwa.
Mwenye kujua naomba anisaidie.
Wakuu popote mlipo habari zenu, wakubwa shikamooni
Katika pitapita zangu za online nimekutana na changamoto ya kushindwa kupakua playlist kutoka youtube yaani kuihifadhi kwenye laptop yangu ya windows.
Na ni kawaida yangu sikuzote nihitajipo kujua jambo fulani la kimtandao huwa naigia kwenye...
Salaam, Shalom!!
Nimewahi kuandika Thread isomekayo,
Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe Ili kuboresha uelewa wa wanafunzi.
Katika mada hiyo, Nimeshauri Serikali kuhakikisha inaweka mfumo Nchi nzima utakaosaidia wanafunzi shule za msingi angalau wapate kikombe Cha uji wawapo mashuleni...
Habari Wana-jamii nilikua nashida nahitaji kununua laptop aina ya MacBook m1 air yenye RAM 8 GB na SSD 512 GB kwa ajili ya software development tasks as naingia college course ya CS kwa mdau mwenye experience kwenye hii mashine je ni nzuri au la msaada tafadhali wadau
Hizo laptop 2 zimeibiwa jana usiku maeneo ya Kinyerezi. Sasa hiyo Packard Bell ni computer rare kidogo, hivyo kama kuna mtu utasikia anaiuza leo au zote mbili kwa pamoja, basi nitonye, kuna critical files ambazo hazina backup kwingine. Donge nono litatolewa.
Hellow guys kwema?
Ninauza laptop ya Samsung, Ram 4GB, processor 1.5ghz, HDD ~500 GB, haikai sana na chaji unachomeka moja kwa moja ukutani, Price ni 200,000/
Contacts: 0759~124378
Nipo Mbezi ya Kimara
HABARI
Nyingine hii hapa swali la kwanza je naweza kucheza game la ETS 2 kwa high quality humu swali la pili kinacho niogopesha ni hilo jina la hicho kifaa kinaitwa MEDION AKOYA sijawahi kulisikia nigeni niokoeni nisiende kupigwa na kitu kizito
PATA MALI KATIKA UBORA WAKE, ALIKUWA ANAITUMIA MCHINA, AMEIACHA KATIKA HALI NZURI HAINA DOSARI,
SPECIFICATIONS
Model ya PC: DELL Latitude E6530
Core i5
RAM 6
SSD 232
BEI ni TZS 450,000/= tu, Njoo Ukikimbia
For Serious Buyers Only, call 0622440414
Ewe mzazi unakosaje furaha na simu yako uwapo nyumbani??? Njoo tukuondolee hilo tatizo analokusumbua mwanao kwa kumpatia Laptop ya Watoto itakayokufanya uwe huru.
UWEZO WAKE:
√ Zinatumia mfumo wa Android
√ Ni Touch screen
√ Zimesheni masomo Nursery mpaka Class 7
√ Masomo ya sekondari O-level
√...
Jipatie hii laptop HDD 500 Gb, RAM 4GB, Intel Celeron 1.6Ghz
Inakaa na charge mpaka masaa mawili na nusu kutegemeana na matumizi.
Bei Tsh 230,000. Napatikana kinondoni vijana. Simu 0765137266
Pia kuna hii kamera kwa wale wenye biashara ya studio za kupiga passport.
Sony original...
Wakuu kwema? I hope mko poa
Nina 400,000/= hapa nahitaji kununua PC, ningependa mnishauri kwa budget hii
- Napata Laptop MPYA yenye uwezo gani? na wapi naweza kuipata?
- Napata laptop USED yenye Uwezo gani? (Kutoka yale maduka wanayouza used laptops)
Naomba mnisaidie katika hili wakuu...
Nauza mkoba wa kuwekea documents na laptop.
Umetemgenezwa na material safi na ndani una sponji nyepesi ambayo haivunji PC Yako na haiingizi maji kabisa.
Bei ni 40000tshs
Nipo Dar derivery ipo ndani ya Dar na mikoani na nchi jirani ninatuma kwa uaminifu mkubwa
Mawasiliano :0628935034
Habari wakuu
Nauza
HP Pavilion x360 touch screen
RAM: 8GB
Hard Disk: 500 GB SATA
Graphics card: Intel with Radeon
Changamoto: Haikai na chaji, yaani ni direct ila inalekebishika
Ina mpasuko kidogo pembeni kama picha Inavyo onesha.
Bei laki 4 na elfu 50
Mawasiliano 0620306221
WhatsApp+255...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.