Kwa mfano unaweza kuta pc iko na specs kama
Processor type: Intel core 2Duo
Processor Model: intel 6th gen core i7 au i5 nakuendelea
Sasa nataka kujua tofauti yake ni nini?
Naomba kuwapa taarifa kuwa nina Laptop nzuri tu ambazo zimetuka na nauza kwa bei simple kabisa!
Bei yangu simple sana
1. Lenovo T430
Processor: Interl Core i5 @2.60GHz (4 CPUs)
Memory: 6G RAM
Storage: 500 GB HDD
Battery 🔋: 4 Hours
Display size 14 Inch
Second Hand
Tsh 350,000/=
2. Lenovo T440...
Sina maelezo mengi ila dili na Specifications
Hp Laptop 14
Processor Intel(R) Core i3-7020U CPU @2.30GHz (4CPUs)
7th Generation
Memory 4GB
Storage 256 GB SSD
Battery 🔋 5Hrs
Second Hand
Tsh 400,000/= kwa member wa JF tu.
#0622 901670
Habari wakuu.
Nina tatizo la Laptop kutokuwa na uwezo wa kuunganisha Mobile Hotspot pale inapokuwa imeunganishwa na Ethernet Cable. Pale ninapounganisha inakuwa na uwezo wa kupata internet lakini WiFi inazima, na inafanya kutokuwa na uwezo wa kuweza kushea internet.
Naomba msaada wa kuweza...
Juzi Ijumaa, tarehe 16 Septemba 2022 nikiwa natoka kazini nilipark gari Bunju B hii sehemu ambapo gari za Bagamoyo zinazotoka Tegeta usimama na kupakia abiria.
Nilipaki gari na kushuka kuingia dukani kwa ajili ya kujipatia mahitaji kidogo ya Familia.
Kwenye gari niliacha begi lenye Laptop aina...
Habari wadau!
Kama una Laptop au Desktop umesahau Password ya user(admin) au Bios njoo tutatue tatizo.
Gharama ya kuondoa user Password without delete data ni 10,000/= tshs na Bios Password 30,000/= Tshs
Nipo Machinga Complex Karume Dsm 0718 290779
Ni kweli na wala sio utani!
Ni Laptop aina ya Dell Inspiron N5040.
UWEZO.
1. Processor~ Core i3 @2.5 GHz.
2. Ram 4Gb.
3. Hard drive 500 Gb.
4. Betri 4 Hour's
Bei Tsh 400,000/=
Mawaliano:- 0622 901670
Location:- Kariakoo~ Dar es Salaam.
Ushindwe wewe tu mwaisa.
NB: Hizo picha hazina filter...
Hp laptop inauzwa. Laptop imetumika lakini bado ipo kwenye hali nzuri sana.
-> Kioo kina ukubwa wa inchi 15.6
-> RAM ni 4GB
-> Hard disk yake ni 500GB
-> CPU ni duo core ya 1.6Ghz
-> Kipengele chake ni betri tu (betri imekufa lakini inapiga kazi freshi ikichomekwa waya wa kuchajia)
->Bei...
Hp laptop inauzwa. Laptop imetumika lakini bado ipo kwenye hali nzuri sana.
-> Kioo kina ukubwa wa inchi 15
-> RAM ni 4GB
-> Hard disk yake ni 500GB
-> CPU ni duo core ya 1.6Ghz
-> Kipengele chake ni betri tu (betri imekufa lakini inapiga kazi freshi ikichomekwa waya wa kuchajia)
Kwa mawasiliano...
Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop.
Tunawezaje kutatua hili tatizo?
Habari zenu wana jamvi
Natafuta HP Elite X2 1012 G1 2in1 Laptop Yenye sifa zifuatazo:
Intel Core m5-6Y54
12 Inch
1.5ghz
ROM 128GB
RAM 4GB
Win 10 Pro
RANGI Silver
MASHARTI YA JUMLA
1. Muuzaji awe na ofisi rasmi maeneo ya Dar au Zanzibar.
2. Bei isizidi Tsh 650,000.
3. Iwe ni used nzuri.
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.