latra

Latrás is a locality located in the municipality of Sabiñánigo, in Huesca province, Aragon, Spain. As of 2020, it has a population of 12.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Basi la Kapricon lapata ajali Korogwe, wanne wafariki na 15 wajeruhiwa

    Wenye ndugu zao waliosafiri usiku wajaribu kufanya mawasiliano. Ni basi na lori, haijafahamika ni basi la kampuni gani. Kwa mwenye habari zaidi atatujulisha. Pole sana kwa wahanga wa ajali hiyo. ======= Watu wanne wamefariki na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Kapricon (T...
  2. JamiiForums Tanzania LATRA wamulikeni zaidi Katarama Luxury

    Wakuu hope mko poa kabisa. Straight to the topic. Kama siku kadhaa nyuma LATRA waliwafungia hawa Katarama kutokana na uvunjifu wa taratibu za usafirishaji. Sasa leo nakuja na malalamiko kuwahusu hawa jamaa kama ifuatavyo. Mosi siku ya jumatatu nimwsafiri na bus lao (wanaloita vip) kutoka dar...
  3. JamiiForums Tanzania TAKUKURU KILIMANJARO: Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji, LATRA NI MZIGO!

    Katika mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji. Vyombo vya usalama vinapaswa kufuatilia hali hii, kwani kuna madai kwamba wahusika wa LATRA wamejifanya kama vishoka. Wasimamizi hao wapo maeneo maalum, wakiwa wamevaa sare...
  4. JamiiForums Tanzania LATRA yasitisha leseni ya kampuni ya mabasi ya Katarama

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani imefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani. Aidha, LATRA imesitisha Leseni ya kusafirisha abiria kwa kampuni...
  5. JamiiForums Tanzania Napinga LATRA kuwafungia KATARAMA kwa visingizio cha kuchezea kidhibiti mwendo

    LATRA wametoa taarifa kwa umma kuhusu kufungia leseni ya usafirishaji Abiria ya Kampuni ya KATARAMA kwa kigezo kuwa wanachezea vidhibiti mwendo. Sina tatizo na hilo. Ila kama ni kweli basi, naomba wawe fair kwa makampuni mengine pia, nilidhani Abood ya Bukoba na Mwanza wangekuepo, nilidhani...
  6. JamiiForums Tanzania LATRA yasitisha leseni ya mabasi ya Katarama

    Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye mabasi yao (VTS). Aidha LATRA ametoa onyo kali kwa makampuni manne ya mabasi ambayo yamekuwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi LATRA inajitambua kweli? Arusha-Babati mabasi yanakataa kupakia abiria, leseni ya usafirishaji inasemaje?

    Kuna tabia ya ajabu hapa stand kuu Arusha, mabasi makubwa hasa yanayotoka Moshi hayapakii abiria hata km kuna nafasi. Ila matajiri wanamdharau huyu rais wa sasa, haya mambo sikuyaona kabla, wakati nauli ni TZS 6,000 mabasi yalikuwa yanapakia abiria. Sahivi nauli ya serikali ni TZS 8,000, pamoja...
  8. K

    JamiiForums Tanzania KERO Muda wa kulipia ukifika, LATRA imtumie muhusika wa gari control number ya kulipia deni

    Kama sheria inavyotamka kila mwenye gari kubwa iwe ni bus au lori anatakiwa awe amelipia gharama ya Latra. Kwa uchungu kabisa kulipia Latra kumekuwa na changamoto kubwa sana. Mfano unatakiwa uende kwa vehicle inspector akague gari lako na ulipe gharama inayotakiwa. Pili unatakiwa ulete bima...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Road Safety in Tanzania, a high priority area for SBL

    EVERY year on the third week of August, Tanzania celebrates Road Safety Week. This week is dedicated to raising public awareness about road safety laws, proper use of pedestrian crossings and the importance of following traffic rules, especially for motorcyclists. It also includes vehicle...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa LATRA, RPC na RTO Morogoro

    Habari wana bodi. Mimi ni mdau wa sekta ya usafirishaji na katika observations zangu nimegundua tatizo na nashauri watajwa hapo juu katika mkoa wa Morogoro kama ifuatavyo. Manispaa ya Morogoro iliamua kuhamishia mabus madogo yote yanayokwenda nje ya mji yawe yanaanza safari zake stand ya...
  11. W

    JamiiForums Tanzania KERO Latra Temeke usafiri wa Vikunai na nauli zake hazieleweki

    Wakazi wa Vikunai kata ya Toangoma, wilayani Temeke usafiri wetu umekuwa ni wa kubahatisa na nauli zake hazieleweki. Kwa mfano kuna ruti za Vikunai - Stesheni via Kijichi na ruti ya Vikunai Stesheni via Zakhem vivyo hivyo kwa ruti za Gerezani hazifiki kabisa Vikunai huna zinaishia Zakhem kwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania LATRA kuanzisha utaratibu mpya wa usafiri Dar es salaam

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra), inatarajia kuanzisha huduma ya ‘Ride Sharing’ kabla ya kuisha mwaka huu wa fedha 2024/25. Watu tisa hadi 14 wataweza kupanda gari moja kwa kuomba kupitia mitandao ya simu hata kama wapo vituo tofauti. Akizungumza na Mwananchi, leo Jumanne, Agosti...
  13. JamiiForums Tanzania Itashangaa "LATRA isipoifungia kampuni ya mabasi ya Shabiby.

    Kila siku kampuni hii, inazalisha vifo na walemavu. Nitashangaa kama LATRA. haitawatendea haki Watanganyika. Suala la usalama na usimamizi wa kampuni hii ya mabasi limekuwa ni tatizo kubwa kwa muda mrefu. Ni zuri kwamba serikali imekuwa ikiangalia hali hii, lakini inaonekana kwamba bado hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania LATRA Watangaza route mpya wafanya biashara ya usafiri changamkieni hii fursa

    Mamlaka ya usafiri wa Ardhini imetangaza kutoa leseni ya usafiri wa umma kwa njia mpya Kibaha, kama ilivyoainishwa hapo chini 👇🏻
  15. JamiiForums Tanzania Morogoro: Afisa anayetuhumiwa kuingia mitini na fedha za madereva za kulipia Leseni za LATRA asimamishwa kazi

    Dar es Salaam, 18 Julai, 2024 Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) iliona taarifa zilizosambaa kupitia mtandao wa Jamii Forums tarehe 17 Julai, 2024 kuwa, "Afisa anayejulikana kwa jina la Fadhili anawalazimisha Madereva wampe fedha awalipie Faini na Stika za LATRA kwa madai mfumo...
  16. JamiiForums Tanzania LATRA: Anayetuhumiwa kuchukua hela za Madereva Bajaj si Mtumishi wa LATRA ni Afisa wa Halmashauri ya Morogoro

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna Afisa wa LATRA amekuwa akichukua fedha za madereva Bodaboda na Bajaj ili awalipie faini na malipo mengine ikiwemi ya stika, kisha kutofanya hivyo, mamlaka husika imejibu. Kusoma tuhuma za Afisa huyo bofy hapa ~ Huyu Afisa anaichafua...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba link ya LATRA niweze kutengeneza control number ya kulipia bajaji.

    Kichwa cha uzi kinajieleza.naomba kwa mwenye uelewa anisaidie
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Magari ya abiria wilaya ya Siha wanatesa abiria kuwatoza nauli kubwa zisizostahili

    Viongozi wilaya ya Siha fuatilieni wananchi wanateseka toka tarehe 26/06/2024 magari ya abiria aina ya Noah na Hiece (daladala) wamepandisha nauli kiholela, ambapo kutoka Boman' ombe mpaka Sanya nauli ya Hiace imepanda mpaka Tsh 1,500 kutoka Tsh 1,000. Hii imepelekea kuleta changamoto kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania LATRA kampuni ya mabasi ya BM inastahihli kufungiwa kwa utapeli

    Tunaomba mamlaka ya usafiri LATRA iifunge kampuni ya mabasi ya BM yandayo Dar -Kilimanjaro/Arusha kutokana na udangajifu kwenye nauli. Wanafunzi wa shule ya anwarite ambao walikuwa wanatakiwa kusafiri leo kwa mabasi aina ya luxury wametapeliwa kwa kulazimishwa kusafiri kwa kutumia mabasi ya...
  20. W

    JamiiForums Tanzania LATRA kujadili maoni ya kupandisha nauli za mabasi ya mwendokasi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imepokea maombi ya kurejea nauli za mabasi yanayotoa huduma ya usafiri wa haraka kutoka kwa UDART ambayo inatoa huduma za mpito za usafiri wa Mabasi ya Haraka katika Jiji la Dar es Salaam Mapendekezo ya Nauli yaliyotolewa ni kama ifuatavyo, Nauli ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…