Yanga imeendeleza matokeo ya kusuasua katika Ligi Kuu Bara baada ya matokeo ya 0-0 dhidi ya TRA, matokeo yanayoibakiza Yanga nafasi ya pili nyuma ya Simba.
Mchezo huo wa leo Oktoba 24, 2026 ulishuhudia Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya alipewa kadi nyekundu dakika ya 90 ambapo timu yake...