https://www.youtube.com/live/FqER78na70U?si=fdkhYBIEbHCPvXlP
Huenda kweli safari ya Mbowe imewadia wimbi la mabadiliko ni kubwa sana ndani ya CHADEMA lazima tusikilize sauti za watu.
Ukipewa rushwa kula ila kamwe usiuuze chama kwa vipande vya pesa.
REFORMS za Tundu Lissu endapo Atashinda;
Moja, kufanya reform ya katiba ya Chadema na kuweka UKOMO wa atmost 5 years.
Pili, ni kukirudisha chama kwenye HIMAYA ya wanachama. Ownership iwe kwa wanachama.
Tatu, …. ni kuongeza mapato ya chama, chama kiwe na mali zake binafsi na miradi yake...
Yakiwa yamebakia masaa kadhaa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz) ufanyike, nafasi ya Mwenyekiti ni lipi chaguo lako kama ungekuwa ni mpiga kura kwenye uchaguzi huo?
https://www.youtube.com/live/3eUZr56l98U?si=Ri2UPJYSDc5O1vN2
Tuache Kudanganyana Mbowe hawezi kushinda huu Uchaguzi tuweni wa kweli na Mungu atatubariki Mbowe hatakiwi kabisa.
Mjumbe hata kama utapewa pesa toka CCM ili umchague Mbowe usifanye hivyo utakiua chama.
Kwa Hesabu za Kimamajusi wa nyota ya Mashariki Tundu Lisu ameshashinda uchaguzi wa Chadema labda tu Polizia wamsaidie Mwamba Kwa kutumia maguvu
CCM - Yanga Africa - Chadema
Ahsanteni Sana 😃
Mh Tundu Lisu amesema Mzee Mbowe kuanzia tarehe 22 January 2025 Siku ya Jumatano atakuwa ni Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema
Hiyo ni Kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Kwa Wenyeviti wastaafu na atakuwa YEYE na Mzee Mtei
Star tv
Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
tarehe 19 januari, miaka saba iliyopita Mungu alimnyanyua kitandani na kuziinua tena hatua za miguu yake mtu wake, Tundu antipasi Lisu
Mungu akiwa na kusudi na wewe mipango yote ya binadamu inafeli
Ni mjinga pekee ndiyo anaweza kuunderestimate Nguvu ya Mbowe ndani ya CHADEMA, Namshauri Lissu awamu hii akubali amekosea hesabu zake za kisiasa na ni wazi hatamuweza Mbowe atashindwa ila anaweza kurekebisha Makosa baada ya awamu hii kama kweli bado atakuwa anahitaji kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA...
Kuelekea uchaguzi Mkuu CHADEMA tunamsihi Mgombea Lissu akubali matokeo yoyote yajayo ili Tujenge chama kwa pamoja.
**Pia apunguze kelele, Wajumbe Wana bills za kulipa
https://www.youtube.com/live/98PbB_z9DZo?si=ErMXG6DXe_NNGU6_
Hawa watu wanaomwambia Mbowe hadharani kuwa amechoka sio wajinga wasikilizwe wamekuwa wengi huenda Wana hoja.
Huenda Mbowe akishinda CHADEMA itageuka kuwa kama CUF,TLP au NCCR,
#WAJUMBE KULENI YAMINI MKINUSURU CHAMA NA KIFO CHAKE
Kama Freeman Aikael Mbowe akishinda au Tundu Antipas Lissu akishinda, unadhani kitatokea nini kwenye mtizamo na msimamo wa CHADEMA juu ya mambo haya yafuatayo;
1. Marekebisho ya Katiba ya CHADEMA
2. Ruzuku inayotolewa Kwa CHADEMA
3. Mgombea Urais chadema uchaguzi Mkuu mwaka 2025.
4. Mfumo wa...
Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA
Katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni wa CHADEMA, matokeo ya kukosa kura na kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba, mwenyekiti wa chama hicho, yamekuwa pigo kubwa kwa Tundu Lissu na...
Hawa watu wamemdhalilisha Mwenyekiti hadharani. Wafutwe uanachama mapema Sana kabla haijamgharimu Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Wajumbe wenyewe hawasomeki mpaka sasa
Tundu Lisu amesema hataomyeshwa cha mtema Kuni na Mbowe kwa sababu anaenda Kushinda KITI chake
Namba majimboni na mikoani ziko upande wetu
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Mlale unono 😄
Wakuu!
Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama.
Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya chama kuchunguza kiini cha rushwa pia atataka chama kiazimie kufuta rushwa, hatolipa visasi
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutudhihirishia yale ambayo wazalendo wa nchi hii tuliyotabiri na kuyaamini.
Upinzani wa nchi hii bado ni mchanga na CCM inatakiwa kuendelea kuulea hadi ukue.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Aidha amesema na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu...
Heshima kwenu wanajamvi,
Baada ya uchaguzi mkuu wa Mwenyekiti Mheshimiwa Lissu atakuwa mwanachama wa kawaida kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA Lissu atatakuwa kuhudhuria vikao vya Tawi na si vinginevyo.
Mapovu ruksa lakini ukweli utabakia ukweli Lissu hana nafasi ya kushinda.
Kampeni...
Wajumbe wa mkutano mkuu timu ya Tundu Lissu imetoa watatu (3) kati ya wajumbe watano (5)
Uchaguzi wa makamu mwenyekiti BAWACHA Taifa unaenda duru ya pili baada ya duru ya kwanza kukosa mshindi. Team Tundu Lissu alikuwa anaongoza.
Uchaguzi wa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa bado box...
Kwa akili kubwa kama za Lissu unapelekaje aina hii ya waendesha vipindi vya burudani (sio Waandishi wa Habari) kumhoji? Mtu kahojiwa BBC Hard Talk tena kwa lugha ya Kiingereza utamuweza wewe Kanjanja??
https://www.youtube.com/watch?v=h9cHr7NLIBA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.