Kwenye sayansi ya tiba na saikolojia kuna kitu kinaitwa "anxiety" na "Post-traumatic stress disorder' au PTSD. Hizi ni hali zinazomkabili mtu baada ya kupitia tukio fulani linaloacha kumbukumbu katika saikolojia yake. Mtu aliye na tatizo hilo anaweza kupata kiwewe pale kichocheo fulani...
Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA
Wote tunafahamu ccm walipenda nani apite na tunajua kwa hakika waliwekeza nguvu kubwa kiasi gani, muda, nyenzo na...
Katika hali isiyotarajiwa umeme umekatika hapa Ukumbini Mlimani City wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akielekea kufunga Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho.
Walinzi wameimarisha hali ya usalama kwa kuzunguka meza kuu mpaka umeme uliporudi.
Soma Pia: Tundu Lissu amteua John Mnyika...
Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana
Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote.
Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
Amani iwe nanyi wanabodi.
Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id nyingine ambayo kwa sasa siitumii.
Mimi ni mwanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI ninayependa Demokrasia...
Wakili Peter Madeleka ameandika "Nitamuomba JENERALI Tundu Lissu ASIFANYE TAFRIJA ya KUSHEREKEA USHINDI WA CHADEMA mpaka DR. WILBROAD SLAA ATOKE GEREZANI. Ni muhimu pia DPP akahudhuria TAFRIJA hiyo."
===================================
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumatano...
Mwenyekiti mpya wa CHADEMA katika sentensi yake ya kwanza ya hotuba yake ya kwanza baada ya uchaguzi amesema yeye anachagua maneno yake very carefully.
Akitangaza ratiba ya leo ya Baraza Kuu amesema litakutana na agenda ya kumchagua Party Secretary na manaibu wake, wa Zanzibar na Tanganyika...
Hili limeleta maswali mengi pande zote mbili. Kuwa kuna pandikizi la akina Tundu Lissu lilikuwa upande wa Mbowe. Watu wengi wamejiuliza je alikuwa Bonny Bonge au nani?
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema
Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?
hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.
Toa Maoni yako
Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema kunatoa fursa ya kushughulikia madhaifu kadhaa ndani ya chama hicho wakati kikijiandaa na uchaguzi wa 2025. Maeneo muhimu yanayohitaji tahadhari ya haraka ni pamoja na:
1. Mshikamano wa Ndani na Umoja
Chadema imekuwa na migogoro ya ndani...
Wanabodi Habari Za Mchana...
Nimekaa nikatafakari kwa kina matokeo ya uchaguzi mkuu wa Chadema 2025, hasa katika ushindi wa Tundu Antipas Lissu Kwenye Nafasi Nyeti Na Ya Juu Kabisa Ya Chama, Mwenyekiti Wa Chama.
Hali hii inanipelekea kujiuliza na kuwauliza ninyi mambo kadhaa kwa mustakabali wa...
Wana CCM wanauliza Lissu kushinda nini kitabadilika, na Mimi nawauliza Mbowe angeshinda, nini kingebadilika?
Swali la pili, hicho ambacho hakitabadilika kwa ushindi wa Lissu ni kitu gani? Jee ni maslahi ya Taifa letu au ni maslahi yenu CCM?
Nini hicho ambacho kama Lissu asingeshinda...
Kwanza niwape Hongera CHADEMA kwa kuendesha Uchaguzi wa Kiwango cha juu, na nimpongeze Lissu kwa Ushindi.
Pili niombe Watanzania wote tuungane kuiombea CHADEMA kwa kipindi kigumu itakachopitia cha kuunganisha Chama chao,hekima ya hali ya juu sana inahitajika wakati huu.
Ukiangalia Matokeo...
Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea.
Hii ni taarifa njema kwa Tanzania
Huu ni msiba kwa CCM
Hii mvua inayonyesha inanikumbusha zile nyakati zetu utotoni, kila event yenye baraka za Mungu lazima mvua...
NImeamka saa kumi kasoro 20 muda huu usiku.
Nikawasha Data naona bando limeisha.
Nikajiunga bando. Nikaaingia mtandaoni nikaona Web browsee zinagoma kufunguka.
Nikawasha VPN ikagoma.
Nikasema moyoni mbona kama yale ya 2020 ndio kama haya?
Nikazima simu, nikawasha bado shida iko pale pale...
Ghafla nimetamani iwe hivi. Lissu aachane na huo uenyekiti ili hapo mbeleni agombee Urais wa JMT tena.
Sioni mwingine wa kupambana na Mama hapo mbeleni kwenye uchaguzi mkuu zaidi ya Lissu.
Oyaaa oyaaa ni aibu kwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakuwa mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au...
Mimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia.
Nimekuwa nikimsikiliza Mbowe akihubiri amani ndani ya chama, in fact kwa mahela aliyoweka katika kusaidia chama chake ni mengi na hawezi kuachia chama coz hatalipwa mahela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.