Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka...
Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%.
Bwana Yericko ameenda mbali zaidi Kwa kusema hata nafasi ya kukata rufaa inatakiwa isiwepo Ili bwana...
Jambo la kusikitisha zaidi kuhusu usaliti ni kwamba hautokani na adui zako.
Sio lazima Lissu achaguliwe ila mpinge mwamba kwa hoja maalum, tena kwa heshima kubwa, ila sio kwa dharau na kejeli utafikiri damu yake haikuwahi kumwagika kwa ajili ya mapambano yenu.
Kigaila kawanyima baadhi ya wajumbe
vitambulisho makao makuu, Mikocheni.
Amewaambia warudi kesho asubuhi.
Wengi ya walio nyimwa vitambulisho ni
kutoka maeneo yaliyo onyesha upande.
Kigaila anaendelea kufanya uhuni ule ule
alioufunya kwenye chaguzi za chini. John,
ACT, ASAP.
Toa vitambulisho...
Naona wafuasi wengi wa TAL wamekuwa wakipost kuashiria kuwa huenda wakajiunga na CHAUMA kwa mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe. Ingawa TAL mwenyewe alishasema kuondoka CHADEMA labda wamtimue.
Je inaweza kuwa karata nzuri?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu.
Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais.
Atashinda uchaguzi Iła wale wote waliomtukana atawaingiza kwenye Kamati Kuu.
Mbowe hana kinyongo lkn ukitaka...
Mgombea Uenyekiti BAVICHA Masoud Mambo akifunguka A to Z kilichotokea kwenye Uchaguzi BAVICHA baada ya wakubwa kuingilia kati.
Source: East Africa Radio
My take: Usafi wa Heche na Lissu uko mdomoni tu- ni wachafu kuliko uchafu wenyewe
Katika vikao vya Baraza Kuu vinavyoendelea leo hii, tayari mambo kadhaa yameanza kutolewa maamuzi.
La kwanza ni hili la kuidhisha mtanange wa Wagombea wa Juu wa uongozi wa Chama hicho.
Taarifa yao hii hapa
Usiondoke JF kwa Taarifa za uhakika za Vikao hivi, Hii ni kwa sababu Mimi Mtumishi...
Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
Katika siasa za kisasa, uongozi wa taasisi za kisiasa unahitaji mtu mwenye busara, hekima, na uwezo wa kuunganisha watu wenye mitazamo tofauti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya pamoja. Ndiyo maana kwa muda imekuwa ikisemwa sasa CHADEMA ihame kuwa vuguvugu la harakati na kuwa taasisi. Hata...
Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa.
Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa.
Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje!
Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno...
Chama ni watu na watu ni chama.
Mbowe na Genge lake Kwa kuwasikiliza tu ni watu wabinafsi, walotanguliza Mali , watu wasojali wanachama wao na gharama ambazo wanachama wanalipa...ndio Sababu kwao ni rahisi sana kununulika.
Hata hivo, CHADEMA itakufa Kifo cha Mende endapo LISSU ATAPOKONYWA...
Kwanini Nyerere alisahau kutamka RUSHWA kama adui mojawapo hapa nchini?. Ni kwamba alichukulia suala la Rushwa kama kitu kidogo?
Katika mataifa ye Demokrasia, hizo tuhuma anazotoa LISSU Kila siku zilitakiwa tuone Serikali inatoa Tamko.
Na Serikali inapokaa kimya, basi Dola na vyombo vyake...
Za ndani kabisa, Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya hapa Nchini, amempigia simu Tundu Lissu na amemtakia kila lililo la kheri kwenye Uchaguzi Mkuu wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama keshokutwa.
Godbless Lema akizungumza na wanahabari leo Januari 19, 2025 amesema kuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa, Tundu Lissu anaungwa mkono na asilimia kubwa ya wenyeviti mkoa
"Mheshimiwa Lissu anaungwa Mkono na Wenyeviti wa Mikoa 25 kati ya 33(iliyopo Tanzania), Wenyeviti 21...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.