lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Sipendezwi na mbinu zinazotumika kuchochea hali ya wasiwasi kwa Tundu Lissu

    Kwenye sayansi ya tiba na saikolojia kuna kitu kinaitwa "anxiety" na "Post-traumatic stress disorder' au PTSD. Hizi ni hali zinazomkabili mtu baada ya kupitia tukio fulani linaloacha kumbukumbu katika saikolojia yake. Mtu aliye na tatizo hilo anaweza kupata kiwewe pale kichocheo fulani...
  2. Siasa sio ugomvi bali ni ujenzi wa hoja.. Je ccm wamempongeza LISSU?

    Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA Wote tunafahamu ccm walipenda nani apite na tunajua kwa hakika waliwekeza nguvu kubwa kiasi gani, muda, nyenzo na...
  3. Umeme umekatika tena wakati Tundu Lissu akiongea wakati wa kufunga Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA

    Katika hali isiyotarajiwa umeme umekatika hapa Ukumbini Mlimani City wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akielekea kufunga Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho. Walinzi wameimarisha hali ya usalama kwa kuzunguka meza kuu mpaka umeme uliporudi. Soma Pia: Tundu Lissu amteua John Mnyika...
  4. Nataka niwatupie roho mchafu, pepo wa mafarakano kwenye chama fulani, wavurugane mpaka mgombea wao asuse hatua za mwisho Lissu apite kiurahisi

    Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote. Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
  5. Niliacha kumuunga mkono magufuli na kujitenga na CCM baada ya jaribio na kumuua Tundu Lissu

    Amani iwe nanyi wanabodi. Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id nyingine ambayo kwa sasa siitumii. Mimi ni mwanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI ninayependa Demokrasia...
  6. Wakili Peter Madeleka amtumia Ujumbe Tundu Lissu kuhusu kesi ya Dkt. Slaa

    Wakili Peter Madeleka ameandika "Nitamuomba JENERALI Tundu Lissu ASIFANYE TAFRIJA ya KUSHEREKEA USHINDI WA CHADEMA mpaka DR. WILBROAD SLAA ATOKE GEREZANI. Ni muhimu pia DPP akahudhuria TAFRIJA hiyo." =================================== Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumatano...
  7. Hotuba ya kwanza Mwenyekiti Lissu aiita Tanganyika Tanganyika. Tumepata mtetezi!

    Mwenyekiti mpya wa CHADEMA katika sentensi yake ya kwanza ya hotuba yake ya kwanza baada ya uchaguzi amesema yeye anachagua maneno yake very carefully. Akitangaza ratiba ya leo ya Baraza Kuu amesema litakutana na agenda ya kumchagua Party Secretary na manaibu wake, wa Zanzibar na Tanganyika...
  8. Kachero wa Team Tundu Lissu aliyehatarisha Maisha yake Kuishi Upande wa Mbowe

    Hili limeleta maswali mengi pande zote mbili. Kuwa kuna pandikizi la akina Tundu Lissu lilikuwa upande wa Mbowe. Watu wengi wamejiuliza je alikuwa Bonny Bonge au nani?
  9. Kama USA tu, celebrity endorsement imefikia ukomo hata bongo

    Haifanyi kazi tena. Watu wanatumia akili sasa hivi. hatubebeki kiselasela Sio tu huko mjini hata hapa Nanjirinji. Uzi tayari Ngoja nikabet
  10. Lissu: CHADEMA ni kubwa kuliko CCM

    Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote? hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza. Toa Maoni yako
  11. Chadema Mpya na hatma ya siasa zetu!

    Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema kunatoa fursa ya kushughulikia madhaifu kadhaa ndani ya chama hicho wakati kikijiandaa na uchaguzi wa 2025. Maeneo muhimu yanayohitaji tahadhari ya haraka ni pamoja na: 1. Mshikamano wa Ndani na Umoja Chadema imekuwa na migogoro ya ndani...
  12. Hapa Lissu, Hapa Mwabukusi, Hapa Slaa

    Wanabodi Habari Za Mchana... Nimekaa nikatafakari kwa kina matokeo ya uchaguzi mkuu wa Chadema 2025, hasa katika ushindi wa Tundu Antipas Lissu Kwenye Nafasi Nyeti Na Ya Juu Kabisa Ya Chama, Mwenyekiti Wa Chama. Hali hii inanipelekea kujiuliza na kuwauliza ninyi mambo kadhaa kwa mustakabali wa...
  13. Mnaouliza Kuwa Lissu kushinda nini kitabadilika, angeshinda Mbowe nini kingebadilika?

    Wana CCM wanauliza Lissu kushinda nini kitabadilika, na Mimi nawauliza Mbowe angeshinda, nini kingebadilika? Swali la pili, hicho ambacho hakitabadilika kwa ushindi wa Lissu ni kitu gani? Jee ni maslahi ya Taifa letu au ni maslahi yenu CCM? Nini hicho ambacho kama Lissu asingeshinda...
  14. E

    Chato yalipuka kwa shangwe ujio wa Lissu

    Nipo Chato ni nderemo na vifijo hakika leo sio jana Kwa sura hii tutegemee Mabadiliko makubwa sana katika siasa za Tanzania Mungu ibariki TANZANIA
  15. M

    Lissu kashinda ila tuiombee CHADEMA inaingia kwenye kipindi kigumu sana

    Kwanza niwape Hongera CHADEMA kwa kuendesha Uchaguzi wa Kiwango cha juu, na nimpongeze Lissu kwa Ushindi. Pili niombe Watanzania wote tuungane kuiombea CHADEMA kwa kipindi kigumu itakachopitia cha kuunganisha Chama chao,hekima ya hali ya juu sana inahitajika wakati huu. Ukiangalia Matokeo...
  16. Mvua hii kubwa inayoanguka Dar ni ushahidi kuwa Mungu amemtia muhuri Lissu Oktoba 2025

    Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea. Hii ni taarifa njema kwa Tanzania Huu ni msiba kwa CCM Hii mvua inayonyesha inanikumbusha zile nyakati zetu utotoni, kila event yenye baraka za Mungu lazima mvua...
  17. B

    Niko Nachinja Mbuzi wa Sherehe, wewe umejiandaaaje Ushindi wa Lissu?

    NImeamka saa kumi kasoro 20 muda huu usiku. Nikawasha Data naona bando limeisha. Nikajiunga bando. Nikaaingia mtandaoni nikaona Web browsee zinagoma kufunguka. Nikawasha VPN ikagoma. Nikasema moyoni mbona kama yale ya 2020 ndio kama haya? Nikazima simu, nikawasha bado shida iko pale pale...
  18. Ghafla nimetamani Lissu asishinde Uenyekiti ili agombee Urais wa JMT tena

    Ghafla nimetamani iwe hivi. Lissu aachane na huo uenyekiti ili hapo mbeleni agombee Urais wa JMT tena. Sioni mwingine wa kupambana na Mama hapo mbeleni kwenye uchaguzi mkuu zaidi ya Lissu.
  19. Lissu anashinda Kwa kishindo, Wajumbe wamteua Mwakajoka kuwa Mwenyekiti kwa kishindo dhidi ya Dickson Matata

    Oyaaa oyaaa ni aibu kwa Timu Mbowe... Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakuwa mwenyekiti. Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA. TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au...
  20. M

    Utabiri wangu: Mbowe atashinda uchaguzi na atamtangaza Tundu Lissu kuwa mgombea urais 2025, imeisha hiyo

    Mimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia. Nimekuwa nikimsikiliza Mbowe akihubiri amani ndani ya chama, in fact kwa mahela aliyoweka katika kusaidia chama chake ni mengi na hawezi kuachia chama coz hatalipwa mahela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…