Strong leader.
Ujumbe wa Lissu:
Wandugu wapendwa. Ninaandika haya nikiwa nyumbani kwangu Dodoma. Najiandaa kwenda mahakamani kwa ajili ya uamuzi wa Mahakama Kuu juu ya kesi ya kutaka kuzuia Uchaguzi wa TLS.
Ninawapa taarifa kwamba nimefuatwa nyumbani na askari wawili kutoka ofisi ya RPC...
Polisi ni rahisi kujua wahusika kwa haraka na wale wakongwe wa kazi za kuvunja sheria.
Tuulizane sisi wana JF tukifanya matukio ambayo kama kumtoa mtu uhai siku mbili si nyingi kukamatwa ila lilofanyika pale tena sehemu za serikali mpaka leo hakuna lolote.
Nafahamu maganda ya risasi yana namba...
Kwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya...
Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho.
Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi...
Kwa mfano Tundu Lisu uandaliwe Mdahalo na Mgombea Urais wa CCM na iwe live unategemea kuna TV itaacha kuonyesha huo mchuano ?
Pamoja na kwamba tunatamani ,je hivi vyama viwili vitaruhusu kutokea kwa mdahalo huo? Kama haitaruhusu unadhani kwanini itakuwa ngumu kuruhusu msuguano huu wa fikra?
Mhe. Tundu Lisu anapasha misuli michuano ya Afrika huko Ivory Cost. Kauli mbiu yake ni moja tu TUTARUDI NA KOMBE.
Nimefurahi sana kumwona yeye na familia yake wameungana na vijana wetu. Amefanya nijifunze kwamba kwamba mambo ya kitaifa mzalendo namba moja ni huyu Bwana.
Anapigania rasilimali...
Salaam Mhe. Tundu lissu, Natumaini unaendelea vema. Mhe. Tundu lissu nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania ninayekupenda na kukufatilia sana.
Naamin kabisa katika siasa za Tanzania wewe ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa kwa sasa. Ushawishi wako unajengwa na misimamo yako na...
Makonda hata ajifarague na kujibaraguza vipi mbele ya watanzania, yeye ni jambazi, mtekaji, mporaji na muuaji.
Niliowataja hapo juu walitoa shutuma za uhalifu wa Makonda hadharani kabisa.
Cloudsmedia walirusha kwa masaa 3 kwenye TV, shutuma za uvamizi wa Makonda kwenye jengo lao la matangazo...
Baada ya kuibuka Mnyukano ndani ya Chama na sintofahamu mbalimbali baina ya Viongozi wa chama na Baadhi ya Wanachama.
Jambo hilo limemuibua Makamu Mwenyekiti Bara akielezea sintofahamu hizo.
Hali hii imetokana na wiki kuibuka mnyukano kati ya Mariastella na martin na Ntobi kurushina maneno...
Tangu Tundu Lissu tangu arudi nchini hii nadhani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kusema sababu yoyote hali hii sidhani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya urais.
Maoni yangu ni vyema awe...
Je Tundu Lisu Ameenda kutoa ripoti na mrejesho Kwa Wanaomfadhili? Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.
Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa...
Hotuba ya Dr Samia jana imenipeleka mbali sana kutafakari kama tungefanya makosa tukaikabidhi nchi kwa Lisu ingekuwaje.
Samia wewe ni Muungwana nimekuelewa vizuri, sisi ambao tumepata bahati ya kuziona nyakati zote za uongozi wa Nchi hii tunauona mzigo mkubwa uliojitwisha wa kuiongoza Nchi...
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.
Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.
Hata hivyo, kuendelea...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema.
Ni hivi.. inasemekana baada ya Dkt. Slaa kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi jana, kitu cha kwanza alichofanya...
Ni mfuatiliaji na mshabiki halisi wa Mheshimiwa Tundu Lisu, na namuhesabu kati ya wasomi waliosheheni elimu ya sheria.
Ninachohitajia kwake ni kutumia hekima na busara amuombe radhi na msamaha Raisi Samia.
Photos speaks thousands word.
Iko hivi: Tundu Lissu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu
pressure kubwa ambayo dhahabu iliyonayo ukiigusa lazima wewe uumie
Tundu Lisu ni kichaa aliyejificha kwenye mche wa muhindi huku kichwa chake kikiwa nje kimeonekana na watu woote
yaweza...
Ukweli usiopingika, watanzania wanyonge wananyongwa haswaa ili tu kufanikisha misheni za wana ccm wachache, bora hata kipindi cha mwendazake wanyonge walithaminiwa,
Nachukulia mfano mdogo tu wa juzi juzi ndio uone kabisa, ccm inawatafuna watanzania,
Hivi majuzi, tarifa kupitia ITV...
Tundu A. Lissu, homeboy ni mwanasheria mzuri na mwanasiasa machachari sana, hapa ninakiri kumkubali.
Kiongozi huyu anaewapeleka chadema kwa kasi ya 4g pasina kueleweka anako wapeleka. Kimsingi hatabiriki kesho atakuja na stori gani na dhihaka gani kwa viongozi walio hai na wasio hai japo yeye...
Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.
Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.