Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake.
Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao
Nawasilisha
Naona Lisu akipewa mialiko kila Kona ya nchi, vyombo vya habari vinakimbizana kuhojiana naye tofauti na awali tulivyoaminishwa Kwamba huyu ni msaliti na MTU asiyelitakia mema Taifa letu.
Kwa speed ya mahojiano inavyokwenda soon TBC nao watamtafuta wazungumze naye akikaa vibaya hata Chanel ten...
Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana!
Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa katika tageti zake zote za kiasa!
Kati ya mambo ambayo hayampi kuwa na historia nzuri ni pamoja na...
Wana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa...
Mhe. Tundu Lisu ameripoti kurejea nchini mwezi huu, hii ni habari kubwa nje na ndani ya nchi.
Swali la kujiuliza: Je, TBC wameripoti habari hii saa mbili kwenye taarifa ya habari?
Wameripoti mitandaoni? Kama awajafanya hivyo kwenye taarifa ya habari, tunaamini mfumo unasema na kutenda kile...
Wanasiasa kama Lissu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri.
Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wa kufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi...
Wanajua jinsi Tundu Lisu alivyopigwa risasi na nani hata yeye Tundu Lisu anajua jinsi alivyojitoa kafara na alivyopata ukilema wa maisha, yote hii sababu ya power, na ndiyo maana wanajitoa akili yote hii kuutetea uongo, uongo ni dhambi na mgumu sana kuiishi nao kwani ni lazima uendelee...
Waislamu walioa wake zaidi ya mmoja nchini UAE ni wahamiaji hasa kutoka Afrika na other poor Asian Countries, lakini pure UAE Arabs have only one man one woman, hii inakwambia nini?
Ikumbukwe kwamba UAE inaruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja kiislamu lakini Emirate men wanaoa mwanamke moja tu na...
Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji.
Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine kushambuliwa na bunduki.
Waliyo yafanya haya bila shaka ni wale wahuni ambao Erick Kabendera...
Ndugu zangu huo ndio ukweli kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii ya Tanzania, Hata Kama angezaliwa kabla ya Uhuru na kuwepo wakati huo na ikatokea uchaguzi, bado Lisu asingepewa nafasi ya kuwa Mkuu Wa nchi Hii ya Tanzania, kwa kuwa anakosa sifa za kiuongozi anazopaswa kuwa nazo Mkuu Wa...
Tundu Lissu alisema bungeni kuwa kazi ya kamati ya makinikia ilioundwa na rais Magufuli ya prof. Osolo na prof. Mruma ni professorial rubbish. Alimaanisha kuwa haina maana yoyote na haitakuwa na matokeo chanya.
Alishauri turekebishe kwanza sheria zetu, tujitoe kwenye baadhi ya mikataba ya...
Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu?
J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio...
Habari ndugu wadau.
Nilisikiliza hotuba ya TUNDU LISU Sept 7 siku ya kumbukizi ya miaka 5 tangu jaribio la kutaka kumchomoa nafsi.
Katika hotuba yake ambayo kimsingi inavutia sana alitaja mambo mazito sana.Kimsingi watanzania hatujazoea kusema ukweli ata kama ni Mchungu, tumezoea kupaka rangi...
Mh. Lissu kwa risasi alimiminiwa alipaswa kufa ila katika hali ya giza nene na mtikisiko katika siasa za Tz msg ikarudi marehem amefufuka. Wengi wetu tunaweza kusema mengi sana ila kiza kinene kimefunika hili tukio ambalo naamini limeandikwa kwa pen ya moto.
Uwenda kikawa moja ya kisa...
Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana.
Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi.
Ukiwa kama mpinzani unalazimika...
Take home msg ni hii:
1. Job Ndugai asilaumiwe
2. Tulia Ackson asilaumiwe
3. Alaumiwe anayewalipa mshahara, ambaye ni Rais.
Msikilize, jibu hoja zake kwa hoja, achana na character assassination arguments or what is called Ad Hominem arguments
This man is pure evil, ni mtu corrupt, mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.
Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life…
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.