Let assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi. KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku upinzani asimame Lisu kama mgombea Urais na Salimu Mwalimu Makamu wa RAIS; huo uchguzi unatabiri...
Naona CHADEMA wamemualika Bobi Mpinzani Mkuu kutoka UG kama mgeni rasmi, najiuliza kwa nini wao akina Mbowe hawaalikwi au ni lini waliwahi kualikwa popote na kuwa wageni wa heshima?
Watanzania sisi ni watu wa kujipendekeza sana, ukiachilia kwa Mbowe kujipeleka kwa Raila Kenya na kupiga naye...
Kura 18 zimemkataa.
Alikuwa na kashfa ya kushiriki birthday ya shoga mmoja hapo Moshi.
Ni kashfa iliyotrend sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti.
Nafikiri ndio hiyo imemng'oa labda kama kuna sababu nyingine tutajua
Kapigiwa kura Leo, 18 zimemkataa na 10 zimemkubali...
Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini.
Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani.
Sina historia yoyote inayomuonyesha lisu kama kiongozi anayeweza kuwaunganisha watu kwa busara na hekima zake.
Mara zote...
Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.
Wakimnyima...
Lissu ni Dikteta kwa kuwa anamshawishi Rais Samia kutozingatia utawala bora na kuingilia mihimili mingine.
Lissu anataka Samia avunje Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuingilia Bunge la JMT kwa kuwaondoa wabunge wanaowawakilisha wananchi tena jambo baya zaidi wabunge...
Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.
Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu...
1. Mhe. Rais ameonyesha wanadamu wenye damu ya siasa Kwamba hakuna Nchi itapiga hatua ikiwa vipande vipande. Tanzania ilimkosea Tundu Lisu Kwa Yale yaliyomkuta, Tanzania ilimkosea Tundu Lisu kumfuta Ubunge na Mwisho Tanzania ilimkosea Tundu Kwa kuacha kuchukua hatua ikiwemo kuchunguza shambulio...
Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu!
Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku...
Lazima kuweka maneno ambayo yanaamsha hisia za watu kuwa hil ni la kwetu na si la serikali kama wanavyotaka kufanya kuuteka tena mchakato wa katiba.
Napendekeza
1. Wananchi Ndio wenye Nchi Katiba Initiative au
2. Katiba ya wananchi Initiative
3. Or any other catching words one might think of...
UJIO WA TUNDU LISU UTAWAUNGANISHA CCM.
Anaandika Robert HERIEL.
Kheri ya Mwaka MPYA Ndugu zangu. Nimesikiliza Hotuba zote mbili za viongozi wetu. Hotuba ya Rais wetu Mama Samia Suluhu, kisha nikamsikiliza Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Tundu Lisu.
Sio lengo langu kuelezea hotuba zao...
Kwema Wakuu!
Nimejikuta nacheka Sana nilipokumbuka habari za mwaka Jana. Yaani ilikuwa vituko na aibu kubwa.
Hivi ni kweli Tundu Lissu hakuweka matangazo kwenye nguzo na barabarani Kama alivyoweka mwenzake nchi nzima😀😀😀 na bado akawa anaogopwa??😀😀
Ila Lisu Kiboko tuacheni utani.
Lisu ni...
Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu.
Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu.
ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa
Lisu kampiga zito spanna
lisu kulikuwa kuna haja ya...
Akitoa hotuba katika Miaka 60 ya Uhuru, Mhe Tundu lLisu amependekeza mambo yafuatayo kufikia au kuelekea kupata Uhuru wa kweli baada ya kupata Uhuru wa bendera.
1. Ni lazima tuakikishe kwamba, bila masharti yoyote wafungwa wote wa kisiasa wanakuwa huru kutoka mikononi mwa Mahakama na dola.
2...
Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania.
CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi.
Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe...
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga.
Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni...
Mama naamini katika chanjo na Lisu pia anaamini katika chanjo.
Mama anaamini sana wazungu, Lisu pia wazungu kwake ni kila kitu.
Mama hajawai kuwa na bifu na Lisu, na Lisu pia hajawa kuwa na bifu na mama.
Mama hajalala sana au kabisa katika dini, Lisu pia hana historia ya kugusa kanisani.
Mama...
Muundo wa uongozi wa CHADEMA unapata nguvu kutokana na aina ya watu waliokaa juu, mfumo wao una watu wenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi mmoja Wapo Mwenyekiti na una watu wenye akili nyingi na maarifa mmoja Wapo Tundu Lisu.
Serikali ilipoaanza kupambana na Mwenye akili walidhani Mwenye fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.