maadhimisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki maadhimisho ya miaka 60 ya Mkoa wa Singida, leo Oktoba 16, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya miaka 60 ya mkoa wa Singida na kuhutubia mkutano wa hadhara uwanja wa Bombadia mkoani Singida leo tarehe 16 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/K8j7hmFrrgQ?si=gNNG4Lv6ssAf5wxO Rais wa Jamhuri ya...
  2. Roving Journalist

    Maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani: Rais Samia aahidi kutatua changamoto za walimu ili kuleta ufanisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kushughulikia changamoto za Walimu nchini hatua kwa hatua ikiwa ni pamoja na kuwapandisha Madaraja na kutoa malipo ya stahiki mbalimbali. Rais, Dkt. Samia ameyasema hayo tarehe 6 Oktoba 2023, alipokuwa...
  3. JanguKamaJangu

    Watu 604 wapimwa Moyo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani

    Watu 604 Wamepata huduma za upimaji na matibabu ya moyo wakati wa maadhimisho ya siku ya moyo duniani yaliyofanyika katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group iliyopo Temeke jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni jijini Dar...
  4. Erythrocyte

    Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

    Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya...
  5. Roving Journalist

    JKCI kutumia Maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani kufanya vipimo vya moyo kwa Wananchi wa Dar

    Katika kuadhimisha siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2023 yenye kauli mbiu "Tumia Moyo, Kulinda Moyo wako" wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo Tanzania (TCS) watatoa huduma ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa...
  6. Roving Journalist

    Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, Septemba 15, 2023

    JamiiForums na Haki Mawasiliano wameshirikiana kuandaa mjadala katika kuadhimisha Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani. Kauli Mbiu katika mjadala huu ni “Kuwezesha Kizazi Kijacho”, ambapo Mada husika ni “Demokrasia ya Kidijitali kama Kichocheo cha Utawala Bora” Mjadala unafanyika kwenye...
  7. BARD AI

    Septemba 15, Maadhimisho Siku ya Kimataifa ya Demokrasia

    Siku ya Kimataifa ya Demokrasia huadhimishwa Septemba 15 kila mwaka kwa lengo la kuangazia hali ya Demokrasia duniani kote, Kuhimiza harakati za Kidemokrasia na Kukuza Uhuru, Amani na Haki za Binadamu Siku hii ilianzishwa rasmi na Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2007 na kila mwaka tukio hili...
  8. Roving Journalist

    Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  9. benzemah

    Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha. Mwenyeji wa Rais...
  10. Roving Journalist

    Rais Samia: Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya Nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha sikuku ya Nane Nane jijini Mbeya, leo Agosti 8, 2023. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amesema wakazi wa Mbeya wanaunga mkono uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Bandari ya...
  11. benzemah

    Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.
  12. R

    Maadhimisho ya Siku ya Homa ya Ini Duniani: Una ufahamu wowote juu ya ugonjwa huu na jinsi ya kujikinga?

    Siku ya Ini Duniani huadhimishwa tarehe 28 Julai ya kila mwaka, leko kuu ikiwa ni kuelimisha na kuikumbusha jamii katika athari za ugonjwa huu, jinsi unavyoambukizwa na namna ya kujikinga. Takwimu za Shirika la Afya Duniani kupitia taarifa ya Homa ya Ini yam waka 2021 zinaonesha kuwa, mwaka...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia: Vijana waliopita JKT wanapaswa kubeba uzalendo wa Nchi moyoni na sio mdomoni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho va Miaka 60 ya JKT katika Uwanja wa Jamhuri - Dodoma leo terehe 10 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema vijana wanaopita JKT wanapaswa...
  14. benzemah

    Rais Samia Kuongoza Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), yatakayofanyika kesho. Kwa mujibu wa taarifa kwenye maadhimisho kumeandaliwa mambo mbalimbali...
  15. benzemah

    Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya, 26 Juni Mkoani Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya kimataifa ya siku ya kupiga vita dawa za kulevya duniani. Kamishna Jenerali wa Tume ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya, Aretas Lyimo ameeleza hayo alipokuwa akizungumza...
  16. Gideon Ezekiel

    SoC03 Haya huishia katika maadhimisho?

    Ili maisha bora yaendelee kila kiumbe kinchopumua kinahitaji chakula kwanza ndipo mambo mengine yaweze kuendelea. Lakini siyo chakula tu bali inahitajika kutambua kwanza usalama wa hicho chakula na ubora wake ndipo uweze kukitumia kwa uhakika wa kukupa nguvu na afya ya kuendelea kuujenga mwili...
  17. J

    Posta ilivyoshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani

    POSTA ILIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI Shirika la Posta Tanzania limeshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, ambapo kitaifa yamefanyika Mkoani Morogoro. Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu inayosema "Mishahara Bora na Ajira za Staha ni Nguzo kwa Maendeleo ya...
  18. benzemah

    Rais Samia asamehe wafungwa 376 Maadhimisho ya miaka 59 yaMuungano

    Katika kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanzania Bara tarehe 26 Aprili, 2023 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 376. Kati ya wafungwa hao 376 watanufaika na...
  19. GENTAMYCINE

    Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

    Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa...
  20. Msanii

    Maadhimisho miaka miwili ya SSH ni wazi CCM na Serikali wanalazimisha shibe ya supu ya mawe

    EWURA ni jipu la Taifa, ikulu iliangalie hili kwa jicho la kuwajali wananchi TANESCO inatumika kisiasa, na hili limefanikisha wananchi kukosa imani na serikali. Polisi imeshapoteza uadilifu wake. Sheria na muundo wake vibadilishwe kwani ushshidi ni mwingi wa maovu yanayofanywa na polisi kuliko...
Back
Top Bottom