Tunasikia CCM wanakutongoza ili uingie katika maridhiano na CCM , jambo hilo usjije ukalikubali hata sekunde ya sekunde, achana nalo mara moja, wamechukua serikali kwa nguvu, wameteka uchaguzi, wamepanga matokeo, wameyatangaza waliyoyapanga, leo maridhiano ya nini, kubwa lipi lililowafanya...