Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani, inaelezwa kuwa uhusiano wa kimapenzi usio wa ndoa, wala wa kibiashara unaochochewa na dhana ya wazi kwamba ngono itabadilishwa kwa usaidizi wa mali au manufaa mengine almaarufu ngono muwawana, unazidi kujengeka...
Wiki tatu zijazo ni muhimu kwa Uganda kudhibiti Ebola kufuatia kupungua kwa maambukizi mapya kwa mara ya kwanza ndani ya siku 10.
Iwapo hali hiyo itaendelea, nchi inaweza kufurahia likizo "huru" za Krismasi baada ya takriban miezi miwili ya vizuizi kwa watu kutoka wilaya za Mubende na Kassanda...
Takwimu zimeonesha kuwa China imerekodi maambukizi mengi zaidi kuwahi kutokea tangu mlipuko wa virusi hivyo ulivyotokea, majiji ya Beijing na Guangzhou yakiwa vinara kwa walioambukizwa.
Hadi kufikia Novemba 23, 2022 walioambukizwa ni 31,527 wakati rekodi ya mwisho kwa idadi kubwa ilikuwa ni...
Zaidi ya wananchi milioni nne wa Dar es Salaam katika Halmashauri za Temeke, Kinondoni na Ilala kuanzia wenye umri wa miaka mitano wameanza kupatiwa tibakinga dhidi ya ugonjwa wa matende na mabusha kuanzia Kata ya Tandale ambayo ina idadi kubwa ya wagonjwa kwa Manispaa ya Kinondoni.
Kauli hiyo...
Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imesema maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) yamepungua kutoka watu 110,000 mwaka 2016/17 hadi kufikia 54,000 mwaka 2020/2021.
Hayo yamesema Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk Leonard Maboko, Jumanne Novemba 14, 2022 wakati akizungumzia maadhimisho ya...
Kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa wanaume waliyofayiwa tohara hupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokua, na ni kundi ambalo lipo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU kwa urahisi ukilinganisha na wale ambao hawajafanyiwa tohara.
Ukweli upoje?
Habari wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu, maswali machache niliyo jiuliza yalinifanya nifanye utafiti ili kupata majibu ya maswali yangu. Miongini mwa majibu niliyoyapata kwenye utafiti wangu ni haya:
1) Kwanza nimegundua wanaosumbuliwa na matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume wengi ni...
Wizara ya afya nchini Kenya imesema watu 127 wamekutwa na maambukizi ya Covid-19 kati ya watu 763 walichukuliwa vipimo ikiwa ni asilimia 16.6
Kwenye visa hivyo, wanaume ni 61 huku wanawake wakiwa 66 na mtu mdogo zaidi ni mtoto wa mwaka mmoja na mkubwa zaidi ana umri wa miaka 87.
Jumla ya watu...
Ugonjwa wa UKIMWI bado ni tatizo kubwa katika jamii, hivyo ni muhimu kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya kujikinga na ugonjwa huo.
Ni muhimu kuhimiza watu kuchukua tahadhari kwa wale ambao hawajaambukizwa na wale waliokuwa na maambukizi kuzikubali hali zao na kufuata masharti yanayotolewa...
Waziri wa Afya Jane Ruth Aceng ameripoti ongezeko la Wagonjwa 9 waliothibitishwa kuwa na Ebola jijini humo na kufanya jumla ya wagonjwa kufikia 14 ndani ya saa 48 zilizopita.
Usambaaji wa kasi wa Ebola jijini Kampala umezusha hofu kwa raia kuwa huenda Rais Museveni akatangaza hatua kali za...
Serikali imeweka kituo maalum cha ufuatiliaji wa ugonjwa wa Ebola kwa abiria wanaotoka mikoa ya mipakani mwa Tanzania na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na EATV mratibu wa huduma za maabara kutoka Manispaa ya Ubungo Nalimi Nacharo...
Dkt. Mohamed Ali aliyekuwa akisomea Udaktari Bingwa wa Upasuaji alizikwa katika makaburi ya umma huko Fort Portal jana Oktoba 2, 2022.
Kwa mujibu wa Dkt, Alex Adaku, Mkurugenzi wa Fort Portal Regional Referral Hospital ambako Dkt. Mohammed Ali alilazwa hadi umauti, amesema walifikia uamuzi huo...
Kwa mujibu Wizara ya Afya, hadi kufikia Septemba 24, 2022, jumla ya wagonjwa 31 waligundulika kuambukizwa na wengine wakihisiwa kuwa na maambukizi hayo, ikiwa ni ongezeko la haraka kutoka visa 7 vilivyoripotiwa Sept. 23,2022.
Wizara hiyo pia imesema jumla ya vifo vilivyothibitishwa na...
Post-Exposure Prophylaxis au PEP ni njia inayotumika kumkinga mtu ili asipatwe na maambukizi mapya ya VVU baada ya kupitia mazingira hatarishi yanayoweza kumfanya aambukizwe.
Ni njia inayohusisha matumizi ya wiki nne ya dawa za kutibu VVU kama kinga ya dharura kwenye kuzuia kutokea kwa...
Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo katika jukwaa la JamiiForums.com, kumekuwa na majadiliano na masuali yanahoji au kutoa taarifa ambazo wengi hawana uthibitisho nazo kuhusu dawa za kuzuia maambukizi ya VVU ambazo muhusika anatakiwa kutumia ndani ya masaa 72. Je, hili lina ukweli? Na...
Waliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15.
Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive.
Nimeomba mzigo kasema fresh. Sasa hofu yangu ni kula mzigo wa namna hii.
Shirika la Afya Ulimwenguni limesema kuwa halijashangazwa na ripoti ya kwanza iliyotolewa hivi karibuni inayoonesha kuwa mbwa ameambukizwa ugonjwa wa homa ya nyani kutoka kwa binadamu aliyekuwa anaishi naye.
Kwa mujibu wa Dr. Rosamund Lewis, kiongozi wa jopo linalofuatilia kwa ukaribu ugonjwa...
Hali ya maambukizi ya Ugonjwa wa Surua Nchini Zimbabwe inazidi kuwa mbaya baada ya vifo kuongezeka mara mbli ya ilivyokuwa ndani ya wiki moja iliyopita, idadi ya waliofariki imefa Watoto 157, huku kukiwa na maambukizi zaidi ya 2,000.
Waziri wa Afya wa Zimbabwe, Monica Mutsvangwa takwimu hizo ni...
Imefahamika kuwa Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un alipata homa wakati wa maambukizi ya Uviko-19, hayo yamesemwa na dada wa kiongozi huyo, Kim Yo-jong.
Kwa kauli hiyo ni wazi anathibitisha Kim Jong alipata maambukizi kama ilivyodaiwa, lakini Yo-jong amelaumu Korea Kusini kwa kudai walirusha...
Umoja wa Mataifa (UN) imesema kuwa kuna Ongezeko Kubwa sana na la Kutisha la Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (Dally Kimoko) duniani kuliko awali huku Waathirika Wakubwa wakiwa ni Wasichana na Wanawake.
Taarifa: BBC Swahili
Mwaka jana zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.