Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania.
Tumepitia kipindi kigumu sana,
nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai, hakukuwa na disposable syringe, nesi akipitiwa...
Rais wa Marekani bwana Joe Biden amepimwa na kupatikana na virusi vya korona
Joe Biden mzee mwenye umri wa miaka 79 aliyepata chanjo kamili ya covid 19 kwa sasa amejitenga katika Ikulu ya white house huku akiendelea na majukumu yake ya siku zote
---
Joe Biden test positive for COVID-19
United...
Hivi karibu kumekuwepo na taarifa ya kuwataka watu kutokula vitafunwa kama vile mikate n.k kwa ajili ya kuepuka maambukizi ya CoronaVirus
Taarifa hiyo ili kupewa uhalali wake, iliambatanishwa na nembo ya Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa(WHO) imesambaa kwenye Mitandao ya Kijamii ikidai watu...
Maambukizi ya Virusi vya Corona yameongezeka kwa 30% Nchini Uingereza ndani ya wiki moja iliyopita
Takwimu zilizotolewa na Ofisi ya Takwimu ya Taifa ya Uingereza imeonesha zaidi ya watu milioni 3 walipata maambukizi ya vizuri hivyo vinavyosababisha COVID-19 huku idadi ya vifo ikipungua...
Mamlaka zinapambana kudhibiti mlipuko mkubwa zaidi wa CoronaVirus Jijini humo tangu janga hilo kuanza. Wakazi wote wametakiwa kupima kila siku na kukaa nyumbani mara nyingi iwezekanavyo
Ndani ya Wiki moja, upimaji kwa Wakazi zaidi ya 600,000 umeshafanyika mara tatu na watu wapatao 7,000...
Watu 246 wamekutwa na maambukizi ya COVID-19 kati ya 2,484 waliofanyiwa vipimo ndani ya saa 24 zilizopita Nchini Kenya, huku Wizara ya Afya ikisema kuna ongezeko la 9.9% la maambukizi
Katika waliobainika kuna Wakenya 196 na wageni 50, Wanaume wakiwa ni 135 na wanawake 111. Jumla ya wenye...
Hivi karibuni, mlipuko wa wimbi jipya la COVID-19 katika miji kadhaa nchini China ikiwemo Shanghai na Beijing umefuatiliwa na vyombo vya habari na jamii ya kimataifa. Watu wengi wanashangaa kwamba, wakati kirusi kipya cha Omicron, ambacho kinaambukiza kwa kasi zaidi na bila ya sumu kali...
Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya kuanzia Mei 05 - Juni 03, maambukizi mapya 161 yamerekodiwa ikiwa ni ongezeko la 137% ikilinganishwa na kipindi cha Aprili 02 - Mei 04, 2022
Dar imeripoti visa 130, Arusha (10), Mwanza (5), Shinyanga (4), Mtwara (3), Dodoma (2), Mara (2), Morogoro, (1)...
Msaada anayejua dawa ya maambukizi kwenye ulimi kwa jina la Geographical toungue kama inavyoonekana hapo kwenye picha.
Niliambiwa ni upungufu wa vitamin C, nikaandikiwa dawa za Vitamin C, nikaambiwa nile vyakula vyenye Vitamin C lakini wapi.
Je, kuna yeyote anafahamu huu ugonjwa na dawa yake...
Dunia ikiwa bado haijamalizana na janga la COVID-19, ambalo limeondoka na roho nyingi za watu na kukwamisha shughuli nyingi za kiuchumi, sasa kuna taharuki mpya imezuka baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kutangaza virusi vipya vinavyosababisha ugonjwa wa monkeypox.
Monkeypox ni virusi...
Mataifa yametakiwa kuchukua hatua za haraka kudhibiti maambukizi ya Ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kanuni sahihi zikiwekwa kuanzia sasa, kuna nafasi nzuri ya kukabiliana na maambukizi
Hatua zinazoshauriwa ni pamoja na utambuzi wa mapema, kutengwa kwa wanaohofiwa kuwa na...
Uingereza imekumbwa na maambukizi mapya ya Virusi vya monkeypox kwa watu 36 kubainika kuwa na maambukizi hayo, hivyo jumla ya watu ndani ya muda mfupi walioambukizwa imefikia 57.
Takwimu hizo ni hadi kufikia jana usiku Mei 23, 2022, ambapo wagonjwa wanakumbwa na upere mkubwa mwilini ikiambatana...
Korea Kaskazini imeweka wazi kuwa imeanza kupata matokeo mazuri katika vita yake dhidi ya Ugonjwa wa Covid-19 lakini idadi ya walioambukizwa ikitajwa kuwa imefika zaidi ya watu milioni 2
Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol na Rais wa Marekani, Joe Biden ambao wanatarajiwa kukutana leo...
Afrika Kusini imerekodi Maambukizi mapya 10,017 ikiwa ni mara ya kwanza Taifa hilo linaripoti Visa vipya zaidi ya 10,000 tangu Januari. Tayari Mamlaka zilishaonya kuhusu Wimbi la Tano la Maambukizi
Nchi hiyo imerekodi Visa na Vifo vingi zaidi barani Afrika, na Wataalamu wanakadiria Wimbi la...
Maafisa wa afya wamegundua Maambukizi ya ugonjwa wa nadra unaofanana na tetekuwanga ujulikanao kama ‘Monkeypox’
Inaelezwa kuwa dalili za awali ni pamoja na homa, maumivu ya kichwa, maumivu ya misuli, mgongo na uchovu hata hivyo maumivu huwa makali zaidi kwa baadhi ya wagonjwa na huenea kwa...
Vipimo vimeonesha kuwa Antony Blinken ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekutwa na maambukizi ya Ugonjwa wa COVID-19, ametakiwa kufanya kazi kwa njia ya mtandao.
Licha ya maambukizi hayo, Waziri huyo alipata chanjo mara mbili na nyongeza ya kujikinga na ugonjwa huo.
Msemaji wa...
Ikiwa 'umeuza' mechi au kondomu imepasuka, basi usihamaki kwea bodaboda fasta wahi hospitali ya karibu na jipatie PEP kwa siku 28 na utakua safi.
TAHADHARI: Utapewa PEP baada ya kupimwa HIV na kuonekana NEGATIVE pia utapaswa kupitia hatua kadhaa za mahojiano (ya kukera) utawekwa kwenye foleni...
Shirika la Afya Duniani limesema bara la Afrika linashuhudia kuongezeka kwa visa vya COVID-19 vinavyotokana na kuongezeka maradufu kwa visa vya maambukizi vilivyoripotiwa nchini Afrika Kusini
Benido Impouma, Mkurugenzi wa Magonjwa ya yasiyoambukiza WHO-Afrika, Aprili 28, 2022 alisema, ndani ya...
Mama aliye kwenye matibabu akitenganishwa na mtoto wake kutokana na kupata maambukizi ya Ebola
Dozi 200 za chanjo ya Ebola zimepelekwa Nchini DR Congo na nyingine zinatarajiwa kupelekwa katika siku zijazo baada ya watu wawili kuripotiwa kufariki kwa ugonjwa huo.
Shirika la Afya Duniani (WHO)...
Makamu wa Rais wa USA Kamala Harris tests positive with Corona virus …
=======
(CNN)Vice President Kamala Harris tested positive for Covid-19 on Tuesday after returning from a weeklong trip to California.
"Today I tested positive for COVID-19. I have no symptoms, and I will continue to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.