Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na Covid-19 na anatibiwa kwa dalili zisizo kali.
Bw Ramaphosa alianza kujisikia vibaya siku ya Jumapili baada ya kuondoka katika ibada ya kumbukumbu ya Rais wa mwisho wa enzi za ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini FW De Klerk mjini Cape...
Umuofia Kwenu,
Juzi kati kuna mshkaji wangu alikuwa na dem walikubaliana kupeana mambo. Huku na huko ukafika ule muda wa kupumzika bidada akaandaa mazingira tayari kwa kupumzika. Sasa kumbe huyu jamaa yangu alipanga wapime afya kwanza kabla ya mpambano na jamaa alikuwa na vifaa vyote vya...
PrEP ni nini?
Pre-exposure prophylaxis au PrEP ni matumizi ya dawa za kupunguza makali ya VVU na watu wasio na VVU ili kuzuia upatikanaji wa maambukizi ya VVU.
Tangu Septemba 2015, WHO imependekeza kwamba watu walio katika hatari kubwa ya kuambukizwa VVU, wanaojulikana kama watu walio katika...
Afrika Kusini imerekodi ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya corona ambayo yameongezeka maradufu kote nchini humo tangu Jumatatu.
Maafisa wa afya wanasema aina mpya ya Omicron iliyogunduliwa inaweza kuwa inachochea kuongezeka, ingawa haijulikani wazi ni watu wangapi kati ya wenye...
Maambukizi mapya kwa vijana kati ya miaka 15 hadi 24 yamezidi kuongezaka huku wasichana wakiwa vinara katika janga hilo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Uratibu wa Bunge, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, alisema hayo jana katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi...
Ujerumani ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kuchanja raia wake wote na busta juu.
Inakuwaje tena inaongoza kwa maambukizi ya virusi vya corona hadi kufikia watu elfu 50 kwa siku?
Serikali ya Austria imeweka 'Lockdown' ya Nchi nzima kwa watu wasiopata chanjo dhidi ya CoronaVirus. Hatua hiyo inalenga kupunguza kasi ya maambukizi katika Taifa hilo.
Mamlaka zimekuwa na wasiwasi kuhusu ongezeko la vifo, ikielezwa kuna hofu Watendaji Hospitalini hawatoweza kukabiliana na...
Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi. Inakisiwa asilimia 75 ya wanawake wote duniani hupata maambukizi haya katika kipindi cha uhai wao.
Maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na uwepo wa fangasi wanaojulikana kitaalamu...
Data mpya zilizotolewa Nchini Marekani zinasema Watu wanaokwenda hospitali kupata huduma za kawaida (sio za CoronaVirus) wanakuwa kwenye hatari ya kupata Maambukizi ya Virusi hivyo
Data hizo zilizotolewa na Shirika la Kaiser Health News zinasema zaidi ya Visa 10,000 vilivyothibitishwa vya...
Ndugu zanguni hali Sasa watu wamejiziuka sana eti chanjo,waliochanja ndio wanaombukiza sana na wengi wanaugua mafua ya hapa na pale lakini kwa kuwa Kinga ya miili yetu ni zaidi kuliko wale jamaa wanaohamasisha chanjo hivyo mjitahidi zile mbinu za kuepuka kuambukizwa kunawa kwa sabuni...
Ukanda wa Afrika Magharibi na Kati unaweza kushuhudia ongezeko la maambukizi na vifo vinavyohusiana na VVU katika miaka mijayo kutokana na Huduma za Afya kuathiriwa na Mlipuko wa Virusi vya Corona.
UNAIDS imesema Huduma za Afya zimeathiriwa kwa kiasi kikubwa na janga hilo, hali iliyolazimu...
Uingereza imerekodi takribani maambukizi mapya laki 5 kwa wiki mbili zilizopita, na vifo 223 vimerekodiwa Oktoba, 19 idadi kubwa kurekodiwa tangu mwezi Machi
Uingereza imeongoza kwa maambukizi ukilinganisha na nchi nyingine za Ulaya ambazo zimelazimisha kuwa na Passport za Chanjo (Vaccine...
Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna...
Tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa UVIKO19 katika jimbo la Wuhan nchini China, maambukizi ya virusi hivyo yamepindukia visa milioni 200 huku zaidi ya watu milioni 4.5 wakipoteza maisha. Kubadilika kwa aina za virusi vya corona kama Alpha, Beta, Delta nk., kunaongeza chumvi...
Shirika la Afya Duniani, WHO limesema idadi ya wagonjwa na vifo vitokanavyo na COVID-19 vimeendelea kupungua ulimwenguni katika wiki iliyopita.
WHO imesema leo kuwa zaidi ya visa milioni 3.6 na chini ya vifo 60,000 vimeripotiwa kati ya Septemba 13 na 19. Kupungua kwa kiasi kikubwa cha visa...
Maambukizi Barani Afrika yamefikia Milioni 8.1 hadi kufikia mwishoni mwa wiki iliyopita huku Wagonjwa waliopona wakiwa 7,454,718 na vifo 206,202
Kwa mujibu wa Kituo na Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Barani humo, miongoni mwa Mataifa yaliyoathirika zaidi ni Afrika Kusini, Morocco, Ethiopia na...
Kwa jamii yetu ya Sasa ni ngum Sana kumtambua mtu anayeishi na maambukizi ya virusi vya ukimwi, au mgonjwa ukimwi kwa kumuangalia kwa macho ya kawaida bila kufanya vipimo vya kisayansi
MAKUNDI AMBAYO YAPO HATARINI SANA KUPATA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI;
1. Watu wanao tumia madawa ya...
Nchi ya Israel hadi kufikia mwezi April 2021 ilikua imechanja zaidi ya 70% ya raia wote kuanzia miaka 12 na kuendelea.
Lakini ghafla kuanzia mwezi June hadi August 2021 maambukizi ya covid 19 yamerudi upya na kwa kasi kubwa.
Wataalamu wa Israel wanasema hii inatokana na kupungua kwa ufanisi...
Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Jakarta umefungua Shule zipatazo 600 baada ya Kanuni zilizowekwa kudhibiti mlipuko wa COVID19 kulegezwa.
Mamlaka zimesema kiwango cha maambukizi kimepungua kutoka mwezi uliopita ambapo Taifa hilo lilitangazwa kuwa kitovu cha maambukizi ya Virusi vya Corona Barani Asia...
Baada ya Visa duniani kuongezeka kwa kiwango kikubwa kwa takriban miezi 2, Shirika la Afya (WHO) limesema hivi sasa takwimu zinaonesha ongezeko la maambukizi lipo kwa kiasi kidogo.
Visa vipya zaidi ya Milioni 4.5 na vifo 68,000 vilirekodiwa wiki iliyopita ikilinganishwa na Visa zaidi ya Milioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.