Walitana kwa ukaribu na hii ishara kuwa kuna uwezekano wa kuambukizana maana hata chanjo za kovidi hazizuii maambukizi
👇
Vice President Kamala Harris tests positive for COVID-19
Kwa mujibu wa Takwimu za Wizara ya Afya, 94% ya Watanzania wapo katika hatari ya kupata maambukizi ya Ugonjwa wa #Malaria katika kipindi cha mwaka mzima. Hayo yameelezwa na Waziri Ummy Mwalimu katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani
Amesema kwa Mujibu wa takwimu za Mwaka 2021...
Ni siku ya 31 leo tangu nianze kutumia dawa za Kuzuia maambukizi ya Ukimwi kwa watu walio mazingira hatarishi kupata ugonjwa huo (PEP), Dozi hii nimeimaliza jana.Hofu niliyo nayo imenifanya nishndwe kufanya kitu chochote cha maana zaidi ya kuzorota mwili.
Binafsi nina utaratibu wa kupima afya...
Idadi ya maambukizi ya Corona na vifo vinavyotokana na virusi hao vimepungua kwa kiwango kikubwa katika Bara la Afrika kwa mara ya kwanza tangu kuibuka kwa maambukizi hayo.
Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika ripotiN yao ya Aprili 14, 2022, ambapo maambukizi...
Kuna Mtoto alizaliwa mwaka 2009 wazazi wake walikuwa waathirika na walifariki miaka minne baadae. Mtoto inasemekana hakupata maambukizi wakati wa kujifungua . Mtoto Sasa hivi yupo darasa la saba na anaonekana ana afya njema Tu.
Je ni Kweli kabisa waathirika wanaweza kujifungua Mtoto asie na...
Teknolojia zimetoa mchango mkubwa kwenye mapambano ya China dhidi ya janga la virusi, hasa kwenye kipindi ambacho inakuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing.
Vyoo vya kisasa vinavyohamishika vimekuwa sifa maalumu ya mfumo wa mzunguko uliofungwa kwenye michezo hiyo...
Niliwasikia kamati ya bunge ya mambo ya ukimwi ikishauri kwamba Dawa za kuzuia Mimba (P2) Ziuzwe pamoja na condom kama kifurushi!
Lakini utafiti wangu unaonyesha kwamba wanaotumia P2 hununua hizo dawa baada ya kufanya ngono, SIYO KABLA YA NGONO!
Yaani namaanisha ukiona amekuja pharmacy kununua...
Habari za kuthibitishwa kutoka Uingereza zinasema Malikia Elizabeth II amepata maambukizi ya corona. Mpaka sasa taarifa hizo zinasema Malikia huyo ana hali ya homa isiyo kali bila ya madhara mengine na atendelea na majukumu yake madogo madogo. Malikia Elizabeth II amepatiwa dozi tatu za chanjo...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Maambukizi vya Virusi vya Corona yamepungua kwa 19% Wiki iliyopita ikielezwa Visa vipya vipatavyo Milioni 16 na Vifo 75,000 viliripotiwa kuanzia Februari 7 hadi Februari 13, 2022.
Imeelezwa, aina nyingine zote za Virusi zikiwemo Alpha, Beta na Delta...
Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema asilimia 60 ya kundi balehe la vijana wa kati ya miaka 15-24 walipima na kujua hali zao kwa mwaka 2020.
Hata hivyo, katika matokeo hayo kundi la wasichana balehe na wanawake vijana lilikuwa mara mbili au tatu ya vijana wenzao wa kiume kwenye...
Mji huo umeondoa marufuku iliyowekwa kudhibiti mizunguko ya mwisho wa wiki, na kuruhusu Migahawa na Masoko kufunguliwa kutokana na maambukizi kupungua.
Hata hivyo, Shule bado zitaendelea kufungwa na migahawa, baa na kumbi za sinema zitaruhusiwa kufanya kazi kwa sharti la kuchukua watu 50% ya...
Korea Kusini imerekodi maambukizi zaidi ya 13,000 kwa mara ya kwanza, huku Mamlaka zikionya Kirusi cha Corona aina ya Omicron kinaweza kuchangia hadi 90% ya maambukizi mapya katika wiki zijazo.
Visa 13,102 vimerekodiwa siku moja baada ya maambukizi mapya 8,000 kuripotiwa, na Serikali imesema...
Serikali Nchini humo imezifunga Shule kwa muda wa siku 10 na kuimarisha upimaji katika Viwanja vya Ndege kufuatia ongezeko la maambukizi.
Uamuzi wa kufungwa Shule umetolewa na Rais Abdelmadjid Tebboune baada ya Kikao cha Dharura na Mawaziri pamoja na Maafisa wa Juu wa Usalama na Afya.
Nchi...
Idadi hiyo ya maambukizi imetajwa kuwa kubwa zaidi kurekodiwa tangu kuanza Mlipuko wa COVID-19, pia Vifo vipya 239 vimerekodiwa kwa mujibu wa Takwimu za Taasisi ya Robert Tech (RKI).
Jumla ya Visa ni 8,186,850 huku Vifo kutokana na Corona vikifikia 116,081. Waziri wa Afya, Karl Lauterbach...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amewaonya Viongozi wa Mataifa kuwa mlipuko wa Virusi vya Corona haujaisha.
Amesema kwa wiki iliyopita pekee, Kirusi cha Corona aina ya Omicron kimepelekea maambukizi mapya Milioni 18 ulimwenguni kote.
Ameeleza wasiwasi wake...
Kundi hili limekuwa likisahaulika sana kupewa elimu juu ya maambukizi yanavyoweza kuambukiza kwa njia ya kushirikiana vitu vyenye ncha kali huko mashuleni kama vile viwembe, pini nk.
Watoto hawa wadogo wapo wengine wana maambukizi waliyoyapata kutoka kwa wazazi wao na hawajui lolote kutokana...
Kanuni mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya COVID19 yatokanayo na Kirusi cha Omicron zimetangazwa Nchini humo
Waziri Mkuu wa Ufaransa, Jean Castex amesema kuanzia Januari 03, kufanyia kazi nyumbani itakuwa lazima kwa angalau siku 3 kwa wiki kwa wale wanaoweza. Mikusanyiko ya ndani...
Wakati aina mpya ya kirusi cha corona kinachofahamika kama Omicron kikiendelea kusambaa kote Uingereza, ligi kuu ya Premier League ya England imefuta mechi kadhaa kutokana na ongezeko la maambukizi, pamoja na wachezaji wengi kujiweka karantini.
Mechi ya leo kati ya Leeds United na Aston Villa...
Habari wakuu
Katika kujipima kutumia bioline nimejikuta nimejichoma sindano niliyokuwa nimemchoma mtu mwenye HIV
Sasa nilikuwa mbali kidogo na eneo la kituo cha afya kwahiyo kesho yake ikanibidi niende kituo cha afya mida ya saa nane nikawaelezea wakanipa dawa ya pep imeandikwa LTD m...
WAZIRI DK DOROTHY GWAJIMA AZINDUA MPANGO WA JAMII HARAKISHI NA SHIRIKISHI WA CHANJO YA COVID -19 AWAMU YA PILI
===
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Kampeni Harakishi na Shirikishi kwa Jamii awamu ya pili na kusema, changamoto za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.