KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhandisi Joseph Nyamhanga, amewataka viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhakikisha Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani cha Mbezi Luis, kuanza kutumika ifikapo Desemba 20, 2020.
Ametoa maagizo hayo leo Desemba 7, 2020, alipotembelea...