Miongoni mwa mambo machache mazuri ambayo yaliwahi kufanywa na Magufuli basi kumteua Salvatory Mabeyo kuwa CDF.
Hapana shaka utumishi wake jeshini na Taifa ni wa kutukuka. Moja ya jambo kubwa alilolikabili na kuhakikisha nchi inabaki salama kipindi cha msiba wa Magufuli.
Ukikutana nae...
Kwa mtazamo wangu mkuu wa Majeshi, aliepita ( Mabeyo).ameweka Alama au histolia kwa Majeshi ya Afrika, ninachowaza ni kua ameacha Alama na Elimu kwa Majeshi mengine ya Afrika.
Na hili nimeliwaza baada ya Rais kufa,Mkuu wa Majeshi alikua imara kusimamia majukumu yake hiki ndicho, Mimi nimewaza...
Mkuu wa Majeshi unatakiwa uwe na Sura za Kazi Kazi hasa kama za Marehemu Jenerali Musuguri, CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo na huyu wa sasa Jenerali Mkunda. Mkuu wa Majeshi kamwe hupaswi kuwa na Sura laini laini ambazo zinachochea Kutabasamu na Kuchekacheka bali zinatakiwa ziwe Sura Ngumu na za Kazi...
Loliondo FM
Loliondo FM
Habari za Jumla
Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi
Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi
7 May 2024, 11:17 am
Mwenyekiti wa bodi yawakurugenzi NCAA katikati jenerali Venance Mabeyo wakati wa ukagunzi wa ujenzi wa jingo la NCAA Karatu, picha...
DAR ES SALAAM - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo amesema vijana wengi kwa sasa wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa ni wasomi wazuri akishauri wenyeviti wa bodi za...
CDF MABEYO AMEPASUA MASIKIO YETU
Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, amesema maneno yanayopasua ngoma za masikio yetu. Amefanya mahojiano na “kutoa siri” za kilichotokea miaka 3 iliyopita wakati hayati Rais JPM anaaga dunia. Nimesita kumpongeza na nimesita kumlaumu.
Nimewahi...
Nimeona maandiko kadhaa yenye kumsifu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya mahojiano yake ya video na Daily News Digital kuhusu namna alivyo-play role yake katika dakika za majeruhi za uhai wa Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli...
Ni miaka 3 imepita tangu Rais Magufuli afariki. Ni jambo la kawaida, hasa siku ya maziko au wakati wa kutangaza kifo, kutolewa taarifa za kina za mazingira ya kifo cha marehemu, na kama pengine marehemu alitoa kauli yoyote. Haikuwa hivyo kwa Hayati Magufuli.
Wengi walipenda na walikuwa na...
1. Aliyestahili kumpatia taarifa Makamo wa Rais juu ya kifo cha Rais Magufuli ni daktari wa Rais.
2. CDF Mabeyo alikuwa mkuu wa majeshi ndiyo, yeye pamoja na viongozi wengine wa vyombo vya usalama walitakiwa pia kupatiwa taarifa na Makamo wa Rais (Baada ya yeye kuwa mtu wa kwanza kabisa...
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
Na aliteuliwa na Pontiff ( Pope ) Mwenyewe kutokea kule kule kwa Wenye dunia yao Vatican ambao Wanaogopwa mno na Marekani na Israel.
Endeleeni tu Kujichanganya sawa?
hii ni kwa uchache sana kwa sasa,
Ni raia mwema wa Tanzania, mzalendo na muadilifu alietukuka.
Ni Mzoefu katika utumishi wa Uma.
Ni mtu mzima aliepikwa vilivyo ktk utumishi na kwahivyo hekima, busara na uzoefu wake ni wa mfano.
Ana nia na uthubutu mwema usio na shaka kwenye kila jambo...
CDF mstaafu General Venance Mabeyo ameonekana ktk video clip iliyosambaa mitandaoni toka juzi aliwa Kanisa la Mt Petro akishiriki shuguli kadhaa za Kikanisa Nchini Vatican.
Pamoja naye anaonekana na baadhi ya Maaskofu kutoka Tanzania na masister
Haijafahamika zaidi ni shughuli gani lakini...
Sijui Magufuli watu kama hawa aliwapataje. Ambapo kwa sasa kama vile hawapo.
===
Maaskofu wa Kanisa Katoliki Nchini wapo Vatican kukutana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo kama sehemu ya ratiba za kawaida za Maaskofu kukutana na Papa kila baada ya miaka michache.
Baadhi ya picha kutoka Vatican...
Kwa kazi nzuri na ya kutukuka huko Takukuru, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni namuona akifika mbali sana katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Kuna sauti ndani yangu inanambia, CP Hamduni atapanda juu zaidi siku si nyingi toka sasa.
Kwahyo wale waliobakia, ambao taasisi zao hazijaguswa...
Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima.
Ametibua nini? Mpaka akag'olewa?
Pia, soma=> Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI
"Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo."
- Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini.
CC: swahilitimes
UTEUZI
Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
Lots of praises and congrats have been waved to general Mabeyo since the public was notified for his retirement till today. Yes he deserves some, but not as much as it is exaggerated by praise singers.
The main verse of their praise song to gen. Mabeyo is that he protected and defended the...
Rais Samia amesema CDF mstaafu General Mabeyo bado ana nguvu hivyo Serikali itampangia Majukumu mengine ya kufanya na Leo tutasikia redioni
Source ITV habari