machimbo ya dhahabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua naomba mnijuze katika machimbo ya dhahabu mfuko wa mawe kg50 mpka kg70 ni bei gani kwa ajili ya kusaga

    Mwenye kujua naomba mnijuze katika machimbo ya dhahabu mfuko wa mawe kg50 mpka kg70 ni bei gani kwa ajili ya kusaga
  2. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Moro wamegundua machimbo ya dhahabu?

  3. JamiiForums Tanzania Anayepajua Mkundi mwisho Morogoro atupe ramani naskia Kuna Machimbo ya Dhahabu.

    Naombeni location wakuu kwa anayepajua
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uvivu umefanya wengi watupe dhahabu chafu kwa kushindwa kusafisha tope

    Kila mtu ana dhahabu maishani mwake inaweza kuwa kipaji, biashara, ndoa, kazi, au ata rafiki lakini dhahabu nyingi haziji zikiwa zinang'aa. Dhahabu asili huchimbwa ikiwa imefunikwa na tope, mchanga na mawe ambapo itahitaji kazi, subira, na utayari wa kuchafua mikono kuisafisha. Shida ni kwamba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya dhahabu ambayo kuna WACHINA yapo wilaya gani mkoa wa Singida na Mbeya?

    wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
  6. JamiiForums Tanzania RC Tabora aagiza kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake cha Mkombozi

    Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Nzega kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake kinachojulikana kwa jina la Mkombozi ambacho kina leseni halali ambayo imetolewa kwa ajili ya kikundi...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha ya machimbo ya dhahabu ni zaidi ya jeshi, nilikimbia

    Bwana Yesu Asifiwe. Tusifike mbali maisha ya machimbo ya dhahabu yasikie tu kwa jirani kama unampenda mtoto wako huwezi ruhusu akatafute maisha machimbo sisemi kwamba watu wasiende ila naandika hapa siwezi rudi tena machimbo kwangu mimi ni heri saidia fundi lakini sio maisha ya solovea maporini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…