Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 788
- 1,743
Naombeni location wakuu kwa anayepajua
Kizazi kipya JF hakitaki kupata shida hizo zote, kinataka mishangazi tuNaombeni location wakuu kwa anayepajua
Kwa hiyo ni mwongo,mwango!We jamaa jau Sana! 2022 ulisema upo mkundi, Leo unaulizia kwamba mkundi Kuna ramani gani.
Ngoja nikutag kwenye Uzi wako
Hahaaaa hadi mm nlitaka kumuulzaWe jamaa jau Sana! 2022 ulisema upo mkundi, Leo unaulizia kwamba mkundi Kuna ramani gani.
Ngoja nikutag kwenye Uzi wako
Anatuchora tuHahaaaa hadi mm nlitaka kumuulza
Mbali na mawe kuna fursa zingne za kupiga ela. Mfano dumu la maji tuu ni 2000Vp mawe yapo ?
YAH ndo ivo. Watu wanakula mwanzo mwanzoWachina wasipaone hapa maana , wachimbaji wadogo watafukuzwa wote