fadhili muhala
Senior Member
- Aug 13, 2012
- 137
- 319
Vyote vipo tayri. Njoo uongee chako, mind u. Kipande cha kuweka kibanda kinakodishwa laki moja. Na utajenga kwa gharam yako ilo tent au bandaYani ulisikia mifuko 100 , inatoa point 2 inamana mali ni ndogo kuliko umarufu wake, ila pesa hapo ipo km utapeleka huduma, kafungue viosk vya pombe kali, mgahawa, kauze tutu, n.k