fadhili muhala
Senior Member
- Aug 13, 2012
- 137
- 319
Jana tuu mtu kaenda mita 3 kapata GM 5
Dhahabu Morogoro ipo kila pahali, pia kuna madini mengine mengi sana.Naombeni location wakuu kwa anayepajua
Umeuza dhahabu 😇😄Nliuziwa shamba huko mkundi, hivi karibuni tumeambiwa tumevamia Hifadhi, nadhani sio mbali na hapo, kumbe na dhahabu ipo dah 😳
Umefika mahenge?? Ruangwa?? Mkuyuni?? Au umekariri.. Morogoro kuna maeneo zaid ya 10 wachina wanaokota dhahabuDhahabu ya uhakika ni kamda ya ziwa na chunya.
Tumia hiyo simu yako kupajua, kazi ya simu si kuchati na kujipiga picha tu.Naombeni location wakuu kwa anayepajua
Tanzania hii, hakuna sehemu inautajiri mkubwa wa dhahahabu kama Chunya.Naombeni location wakuu kwa anayepajua
Kutoka dar mpaka makundi nauli bei gani kakaDhahabu ipo, kama week mbili kuna sehem wanaita makunganya, FIKA mkundi mwisho, tafuta boda waambie unaend makunganya kweny dhahabu, nauli ni 1500
Umesema dumu la maji n 2000Mbali na mawe kuna fursa zingne za kupiga ela. Mfano dumu la maji tuu ni 2000
Ghafla lita moja n 1500.Maji ya kunywa kita moja ni 1500.
Mkuu naomba kujua uzalishaji wake ni mkubwa au mdogo?YAH ndo ivo. Watu wanakula mwanzo mwanzo
Mkuu kwahiyo hakuna kitu?Kuna mtu alisikika akisema viroba 100 kapata point 2, bado ujala, ujanywa soda, ujalala.
Kazi kwako, dhahabu zipo aina nyingi mkuu,,
Yuko sahihi dumu moja la maji yaan maji ya kutumia kuoga na kufulia nguoUmesema dumu la maji n 2000
Ghafla lita moja n 1500.
Sasa tukuelewe vp?
Kwamba hayo maji ya dumu hayafai kunywa hvy yanatumika kuoga na kufulia tuu?Yuko sahihi dumu moja la maji yaan maji ya kutumia kuoga na kufulia nguo
Lita moja ya maji yaan maji ya kunywa, sema kwa mikoan maji ya kunywa ni elf moja siku zote
Ndio ndio ni ya kwenye mito na kwenye visima visivyo safi au mambomba yasiyo safiKwamba hayo maji ya dumu hayafai kunywa hvy yanatumika kuoga na kufulia tuu?
Ah nmekuelewa mkuu.Ndio ndio ni ya kwenye mito na kwenye visima visivyo safi au mambomba yasiyo safi
Hujawahi ishi nje dar ndugu yangu?!
Dumu la maji ya lita 20 kwa ajili ya kusafisha sio ya kunywa tumia akiliUmesema dumu la maji n 2000
Ghafla lita moja n 1500.
Sasa tukuelewe vp?