Anayepajua Mkundi mwisho Morogoro atupe ramani naskia Kuna Machimbo ya Dhahabu.

Anayepajua Mkundi mwisho Morogoro atupe ramani naskia Kuna Machimbo ya Dhahabu.

Ndio ndio ni ya kwenye mito na kwenye visima visivyo safi au mambomba yasiyo safi

Hujawahi ishi nje dar ndugu yangu?!
Maji ya dumu sio kw ajili ya kunyw ni kwa ajil ya ajili ya shughul ya uchimbaji au usafishaj, kwaio uwez kunyw bila kujua wap yametoka, Morogoro kuna shida ya maji so most ya natok miton au mferejini
Tanzania hii, hakuna sehemu inautajiri mkubwa wa dhahahabu kama Chunya.
Mind you..... huu ni mwaka wa 26 nipo kwenye mining industry
Hii haina
 
Mambo ya mlio ukienda kesho keshokutwa pashakuwa kapa

Ova
 
Tangu jana serikal imefik, imeanza kutoza kodi kwa kila kiroba, kinapigwa muhuri kabla ya kwenda kuchenjuriwa, na baadh ya watu wameshusha vifaa vya kisasa
Asante Sana kwa taarifa mkuu

Kwahiyo nadhani hata guest house na bado havijawa sawa?
 
Tanzania hii, hakuna sehemu inautajiri mkubwa wa dhahahabu kama Chunya.
Mind you..... huu ni mwaka wa 26 nipo kwenye mining industry
Chunya Gold Belt huwezi shindanisha na Kanda ya Ziwa na huweza kukuta Gold Mining kubwa kama Tulawaka, Buzwagi, GGM ama Bulyankulu Barick...
 
Kwahiyo hata watu wengi hakuna

Yaan maana yake uzalishaji bado wa chini sana?
In short makunganya bado ni kijiji kina watu ila sio sehemu iliyochangamka sana kama mkundi mwisho, naona fursa za malazi hasa guest houses kwa namna watu wengi wanavyomiminika kutokana na fursa ya ugunduzi wa dhahabu
 
Asante Sana kwa taarifa mkuu

Kwahiyo nadhani hata guest house na bado havijawa sawa?
Gest nying tuu apo mkundi. Na kutoka mkundi ad apo machimbo sio mbali wamepandisha gharama tuu kutokana na io gharama. Ila samaki wapo ukifanikiwa kuvua
 
Asante Sana kwa taarifa mkuu

Kwahiyo nadhani hata guest house na bado havijawa sawa?
Gest nying tuu apo mkundi. Na kutoka mkundi ad apo machimbo sio mbali wamepandisha gharama tuu kutokana na io gharama. Ila samaki wapo ukifanikiwa kuvua utalala majini kwake
Asante Sana kwa taarifa mkuu

Kwahiyo nadhani hata guest house na bado havijawa sawa?
Huku watu hawaji kulala, kama unatak gest utalala mkundi mwisho au sheli
 
Political, Morogoro ni mkoa wa kimkakati, maeneo mengi ni ya jeshi na serikal au mission... L ikitokea lakutokea headmaster anakua hapa salama zaid
 
Nina M5 mkuu nije nipige deal gani kipabde hicho?
Nakushauri nenda lindi wilaya ya ruangwa, uko namungo, pita kijiji kikaitwa mbekenyera, ulizia machimbo ukifik uko utapata mchongo, Chunya Walimu wengi utatapeliwa, ushaur wa bure m5 kweny dhahabu sio ishu. Nenda mtwar au uko lindi msim wa kuvuna korosho unakarbia, anza kw kununua cheap kw wakulim6, hifadh ghalan, utakuj kupat faida kubwa baadae
 
We jamaa jau Sana! 2022 ulisema upo mkundi, Leo unaulizia kwamba mkundi Kuna ramani gani.
Ngoja nikutag kwenye Uzi wako
Aise we jamaa unakumbukumbu kishenzi ngoja nikutag kwenye nyuzi zako za kukumbushia watu nukuu zao
 
Back
Top Bottom