Na Dr.Kenge MD,
Jini makini,vidole Madini
2024,
Tabasamu la furaha linashamiri nyusoni kwa wengi.Ni saa ya Kirumi inaposoma kukamilika kwa Majuma 365 ambayo kwa wanajiografia wanasema "Earth completes its orbit within 365½ days" .Kukamilika kwa mzunguko wa dunia ambao ndani kuna misimu minne...
Habarini ndugu,
Nipo macho mpaka muda huu nashindwa kulala macho yanauma misuli ya macho inavuta nkifumba macho nilale yanauma naskia kizunguzungu kichwa kinauma mwili unaishiwa nguvu, hii hali imenipata baada ya kubadilisha miwani.
Nilienda hospital private pale Morroco nataka niende hospital...
Kama unahitaji amani kwenye mahusiano yako basi zingatia sana macho ya uyo mwanamke, ogopa wanawake wenye macho madogo yakujifinya, wastani yalivoshuka pembeni, makubwa ila hasiyo sexy.
No offens.
Madogo yakujifinya
Hawa wengi ni wembamba, wanatunza vitu moyoni hawajui...
Mtaa wa Lindi leo.
Tutapiga kelele hadi serikali msikilize uozo uliokuwa wa Jiji la DSM.
Jiji ilitoa tenda kwa wachina miaka minne tu iliyopita.
Kwa kawaida ujenzi wa barabara, barabara inatakiwa kutokuwa na matatizo yoyote ndani ya miaka 10.
Barabara ya Lindi, Kariakoo ndani ya miaka minne...
Jioni hivi nikawa nazubaa zubaa mtaani kusafisha macho. Nitaenda kupiga stori kwenye kijiwe jirani cha boda.
Nikiwa nimebaki mwenyewe kwa mbali barabarani ikapita pisi moja matata imefungasha. Ni lile zigo za kutetemeka kila anapopiga hatua yaani bouncing booty.
Nikasema ngoja nilishe macho...
Aloo wakubwa Matumaini yangu mko vizuri na ambao Afya zao haziko sawa Basi na Mwenyezimungu awasaidie wakae vizuri,
Leo nataka tushee kitu kuhusiana na Afya ya macho. Wengi wamekuwa wakisumbuliwa na macho Kwa eidha kuwa na uoni hafifu na chàngamoto zingine pia za macho.
Na hapana shaka yakuwa...
Kwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi.
Kwanza vifungashio vyake vingi...
Nilishawahi kuona vitoto vya chuo vikicheza Amqpiqno kwa style hiyo ya kubinulisha mboni za machoxjuu na kuchezesha kope za macho kama mtu anapandisha mashetani hivi..,
Ila nimeona mwanaume anafanya hivyo nimeona kituko sana..,kwanza ndio nini hivyo?
Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi.
Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za...
Kimsingi, hakuna teuzi yeyote anayofanya Rais isiyokuwa na masharti. Wakurugenzi ni watumishi wa umma ambao ni permanent and pensionable. Wanatambulika kwenye muundo wa utumishi wa umma. Na sifa za kuwa mkurugenzi ni kuwa angalau umetumikia managerial position ya ukuu wa Idara kwa miaka mitano...
Salaam, Shalom!!
INTRODUCTON.
Napoongelea macho ya kinabii, Siongelei hao mnaowaita wazee wa kamati, HAPANA. Pia sichanganyi dini na siasa, sababu Asili ya Siasa ni Mbinguni, sasa Mwana wa Mungu nakupa codes Kutoka JUU, ambazo zaweza kututoa hapa kwenye mkwamo.
Wakati Nchi zilizoendelea...
Wengine wamechipuka tu, wakaona dunia ndio hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo, kila unachomwambia, kama jogoo? Kama jogoo? Kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, kwa hiyo anachokijua duniani ni jogoo tu.
https://youtu.be/xvzea3alrRg?t=1293
Sasa dunia ya leo upeo wa watu kuheshimu...
Mimi huwa napenda kuobserve sana mambo, kwa hiyo mtanisamehe nikiwa naleta hoja ninazoitaga "hoja fukunyuku".
Mechi ya kwanza lazima wangetaka iwepo Al Alhy au Wydad.
Nimeedit huu uzi baada ya kurudi tena kuiangalia video ya draw baada tu ya kufungua huu uzi. Kuna vitu kadhaa nimeviona...
Kupoteza maono ya macho (Acute Vision Loss) kwa kawaida hutokea ndani ya dakika chache hadi siku kadhaa. Inaweza kuathiri jicho moja au yote mawili au sehemu ya uga wa kuona.
Sababu kubwa za kupatwa na dalili za kutoona vizuri ni mtengano mdogo wa safu ya seli za vipokea picha (retinal...
MZEE KIUNYA ANAOMBA KUMUONA MHE RAIS: HAAMINI MACHO YAKE KUONA SHULE MPYA IKIJENGWA KWENYE KITONGOJI CHAO
Kijiji cha Kigera cha Musoma Vijijini kimepokea Tsh 348,500,000 (Tsh 348.5m) kutoka Serikalini kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi mpya (Mradi wa BOOST) ambayo itakuwa ya pili, na...
Utafiti mpya uliofanywa na Global Myopia Awareness Coalition (GMAC) umebaini kadri Mtoto anavyokaa ndani au kunyimwa fursa ya kucheza nje ya Nyumba, ndivyo anavyopata athari katika Afya ya Macho.
Utafiti huo umeonesha kuwa kitendo cha Mtoto kucheza nje angalau kwa Dakika 76 kila siku...
Wakati mwingine tuongee ukweli. Mimi ni muumini wa demokrasia. Kuna mtu nchi hii asiyeeleweka. Ni Mwandishi Bollen Ngetti. 2010 huyu Dk. Slaa alimtuhumu kutumiwa na TISS na kuhadharisha viongozi wa Chadema wasimpe ushirikiano.
Wiki tatu zilizopita alisambaza clipu ya video akiliomba Jeshi la...
Jicho langu moja LA kushoto miezi 5 iliyopita nilianza kuhisi lina uono hafifu,badaye nikaanza kuhisi jicho kama linajiziba kama linajifunga wakati huo huo miale ya mwanga ikawa inaniumiza sana hasa wakati nikitoka kulala au kukiwa na jua na usiku mwanga wa gari au pikipiki unaniumiza pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.