macho

  1. jamesandrew

    Afrika katika uasi: Je, ukombozi wa pili dhidi ya ukoloni uko kwenye upeo wa macho?

    Baada ya msururu wa mapinduzi, nchi moja baada ya nyingine zinasonga mbele kufukuza mabaki ya madola ya zamani Africa ni chimbuko la ustaarabu wa binadamu na bara tajiri zaidi katika sayari zote upande wa suala la maliasili. Lakini kulingana na Kapteni Ibrahim Traore, rais wa Burkina Faso...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Uzuri wa Mwanamke huwezi kuuona siku ya kwanza, Macho hudanganya.

    UZURI WA MWANAMKE HUWEZI KUUONA SIKU YA KWANZA, MACHO HUDANGANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sisi wanaume kisaikolojia tunapomuona Mwanamke Kwa mara ya Kwanza, macho yetu hutuonyesha kama tumeona kiumbe kizuri. Hii ni Kwa sababu wanaume kiasili katika Akili zetu tumezaliwa tukijua...
  3. comte

    Taarifa ya 2022 ya ufanisi wa bandari duniani: Djbouti 26, Berbera 144, DSM 312 na Mombasa 326

    Djbouti 26- DP WORLD Berbera 144- DP WORLD, DSM 312- DP WORLD (analetwa), Mombasa 326-wabia wanatafutwa === President William Ruto's announcement of a raft of measures to improve efficiency will give the Port of Mombasa an edge over its biggest competitor, Dares Salaam. The measures include...
  4. R

    Rais Samia anafanya vizuri ila kuna mambo anatakiwa kurekebisha

    Naomba nizungumzie Mama wa Taifa, Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kama nionavyo mimi; 1. Tabia binafsi Mama Samia Suluhu Hassan ameumbwa na hofu ya Mungu, ameumbwa na utashi wakuona baya kwake laweza kuwa baya kwa wengine hivyo hana sababu ya kuhukumu. Ameumbwa na moyo wa...
  5. Kenney

    Mkataba wa DP World umetufumbua macho

    Habari za Mchana Wazalendo Mliomo jamvini, Kuna vitu ambavyo usipo viangalia kwa makini au kuvipuuzia vinaweza kuleta matokeo ambayo yakawa ni majuto baadae sababu tu ya kudhani uwepo wa mambohayo ni mambo ya kawaida tu. Kuna hii mikataba inayo endelea huku mitaani kwetu ambayo tunaweza...
  6. saidoo25

    Mikutano ya Chongolo kutetea mkataba wa bandari kiini macho

    Mikutano ya Katibu Mkuu wa Ccm anayoifanya kikanda ni kiini macho kumdanganya Rais aone kwamba mikutano ya CCM inapata watu wengi na kwamba wana ccm wote wanaunga mkono mkataba wa bandari jambo ambalo ni kiini macho. Mikutano ya Chongolo mfano uliofanyika Singida unachukua viongozi wa CCM ngazi...
  7. CK Allan

    Naamini mshahara umeongezwa sema huwezi kuona kwa macho ya kawaida ni mpaka ufafanuzi utolewe

    Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe. Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama, kwa hivi nategemea ndugu Gerson Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo, Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa...
  8. Mwachiluwi

    Bila kupepesa macho, Wanawake wengi mnaenda gym kujiuza sio kufanya mazoezi

    Wadada mnaenda gym kudanga na sio kufanya mazoezi kule mnaenda kudanga kutafuta watu muwachune hela za pango Kipindi cha gym kujaa ni mwezi wa sita na mwezi wa kumi na mbili ndio gym inakuwa na wateja wengi wakike kama uongo mbona ukimpata dango unaacha kufanya mazoezi? Na mkiacha mbona...
  9. Mwl.RCT

    SoC03 Kuwa na Macho Kama Tai: Jukumu la Sekta Binafsi na Asasi za Kiraia katika Kushirikiana na Serikali na Jamii kwa Ajili ya Kuimarisha Utawala Bora

    MADA: Kuwa na Macho Kama Tai: Jukumu la Sekta Binafsi na Asasi za Kiraia katika Kushirikiana na Serikali na Jamii kwa Ajili ya Kuimarisha Utawala Bora. Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Makala hii inalenga kuchunguza jukumu la sekta binafsi na asasi za kiraia katika kushirikiana na serikali na...
  10. H

    Msaada: Macho kuuma mpaka kutoa machozi inasababishwa na nini?

    Hivi macho kuuma, mfano kutoa machozi mpaka jicho moja kuanza kutoona mbali kunasababishwa na nini?
  11. Pascal Mayalla

    Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa. IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni...
  12. T

    Mmeangalizwa Kibra na sasa macho yote yapo Idarani

    Igweeeeeeeee, hii ni zaidi ya moto ask me not... 🤐😭 Ni hivi, baada ya ule muswada wa wana idara wengi wakapiga makofi kumbe yajayo ni furaha zaidi. Baada ya kujua wanoko hawa kupitia vijana wanaonukia na kulamba maji ya bendera kwa Uhai ama kifo, muswada ukapelekwa bungeni. Kitalu wakapitisha...
  13. The Burning Spear

    Watanzania Hotuba hii ya Mkapa itufumbue Macho

  14. covid 19

    CAF wasifumbie macho uhuni wa waarabu ule sio mpira ni fujo

    kwa tuliyoyaona jana kwenye mechi ile kubwa kabisa ya fainali africa zima imeshuhudia na rais mwenyewe wa CAF ameshuhudia ule haukuwa mpira zile ni fujo. Lazima waarabu waadhibiwe kwa upumbavu ule, mpira ulisimama mara mbili sababu ya moshi wa baruti kutoka kwa washabiki wao. Mpira ulikuwa...
  15. B

    Morogoro: Dereva bodaboda auawa, atobolewa macho

    Dereva wa Bodaboda, Oscar Samuel (36) Mkazi wa Mtaa wa Kilongo B Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro ameuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kutobolewa macho na Watu wasiojulikana. Akiongea na @ayotv_ Mdogo wa marehemu, Huruma Samweli amesema May 31,2023 Oscar...
  16. Pfizer

    Huu Wimbo umenifumbua Macho kuhusu Uchafuzi wa Kelele. Kweli NEMC hawazimi Muziki

    Kuna watu ambao hawajapata elimu ya Kwanini NEMC inapambana na Bar na Hotel zinazopiga Kelele kisha wakifungiwa wanakimbilia kwenye kichaka cha Muziki na kudai NEMC inakataza na kuzuia Muziki ili wapenda Muziki wawaunge Mkono. Ukweli NEMC inataka watu wapige Muziki kwa sauti inayokubalika na...
  17. BARD AI

    Baba wa Mapacha waliochunwa ngozi ya uso, kukatwa Ulimi na kutolewa macho agoma kuzika miili

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian amesema baada ya mazungumzo ya muda mrefu, Isaka Rafael ambaye ni Baba wa Watoto Mapacha waliofariki katika Kituo cha Afya Kaliua na kuzua taharuki baada ya pacha mmoja kuondolewa na jicho na ngozi ya paji la uso macho, amekubali kushirikiana na...
  18. GENTAMYCINE

    Tuwe sehemu ya Msaada kwa Walemavu wa Macho (Vipofu) hasa Vituoni na Barabarani kwani hata Wewe ni Kipofu Mtarajiwa

    GENTAMYCINE huwa Nakereka mno kuona Mlemavu wa Macho Kipofu (tena yuko na Fimbo yake) anaomba Msaada wa ama Kupandishwa katika Dala Dala au Kumvusha Barabara au kutaka Kukaa mahala kisha unawaona Watu wanamkwepa au kujifanya hawamuoni. Waswahili tuna Roho Mbaya mno halafu ni Wanafiki sana japo...
  19. Lububi

    Hospitali ya macho dsm

    Nasalimia kwa jina la Muumba aletaye uzima na kifo. Mhusika: miaka 17. Kazi: mwanafunzi. Jinsia: ke. Tatizo: mcho hawezi kuangalia mwanga. Hali yake: critical, hawez kusoma. Ombi: wapi napata huduma ya tiba ya macho kwa bei ya mtanzania wa kipato cha chini asiye na bima.
  20. phina98

    Ngozi ya jicho inaungua, napenda kujua tatizo ni nini?

    Naomba kujua tatizo ni nini ngozi ya nje ya jicho inaungua na kutoka magamba yake baada ya mda kama mtu alietembelewa na narrow bee fly ila tatizo sjajua ni nini wana forum kwa anaefahamu msaada tafadhali
Back
Top Bottom