Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha uwepo wa watu takriban bilioni 2.2 wenye changamoto za macho zinazohusisha upofu na uoni hafifu.
Kwa kiasi kikubwa, changamoto hizi zinaweza kuepukika kwa kushughulikia vizuri magonjwa yanayoweza kudumaza afya ya macho mfano kisukari na...
MWAMBA
Putin signs unification treaties for new regions
The Russian president has signed agreements on accepting four former Ukrainian territories into Russia
Putin signs unification treaties for new regions
The Russian president signed into law four unification treaties with the Donetsk and...
Wizara inayoshughulikia vivuko ndani ya ziwa victoria na Serikali mkoani Mwanza tunaomba mtupie macho wananchi tutakufa.
Hali ya bandari siyo rafiki kwa usafirishaji.
Kwa wasafiri wa kivuko cha KAMANAGA FERRY kutoka Mwanza Kamanga na Sengerema tunatabika sana hiloeneo ni barabarani watoto...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea na vikao vya ndani ambavyo vilianza kurindima tarehe 17/09/2022. Sasa tazama hizi picha kisha tafakari nini namaanisha.
Ikitokea nitaamini kuwa kweli Wasukuma wana Dawa Kali ya Mvuto mbele ya Wageni wanazowapa Wageni wao hasa hasa Wasio Wasukuma japo Dawa ya Kutuliza Hasira ya Tozo Kali kwa Watanzania mpaka hii leo wameikosa.
Huyu mwamba namwaminia sana kwenye ,ukweli anasema hana biashara za kinafk amemwambia kabisa puttin kama unataka kufanya biashara achana na hiyo vita ,haikusaidii achana nayo tukae tupige michongo ya biashara ,kumbuka msela kamchana live live yan makavu live ana kwa ana.Putin akamjibu kwa aibu...
Et Mgao wa Umeme kuanzia 15--18/9 .
Sababu , Kupungua Kiwango Cha maji pale Kihansi na Pangani .......... Niwaulize, Kwa hiyo kuanzia tarehe 19 , Maji hapo Kihansi na Pangani yatakua yamejaa ?????? ACHENI UHUNI.!!.
Mbona wakazi wanaozunguka maeneo hayo wanakiri kutokupungua Kwa maji ...
Sifa za mtu anayetambulika kama mfalme:
1. Awe anamiliki ardhi yote anayotawala.
2. Awe na amri juu ya watu wote wa eneo lake kila wakati
3. Awe anamiliki mali zote katika eneo lake na kwamba kila raia awe anafanya kazi kwa ajili ya mfalme
4. Tamko la mfalme linakuwa sheria ambayo inatekelezwa...
Ndugu zangu wanasimba poleni na stress za hapa na pale juu ya timu yetu.
Tuna uongozi mbovu haijawahi kutokea. How comes unarelease barua ya kupata kocha mkuu wa Mda (MGUNDA) huku hujajiridhirisha kama ana nyaraka zote zinazotakiwa na mamlaka za mpira?
Vetting ya kumchagua imefanyikaje?
Tuna...
USO KWA MACHO NA BINGWA WA KUTAFSIRI QUR'AN SHEIKH MSELEM BIN ALI
Leo katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Ponda Issa Ponda, ''Juhudi na Changamoto,'' Peacock Hotel nilibahatika kukutana na Sheikh Mselem bin Ali mwisho wa shughuli.
Miaka 10 imepita toka tuonane Zanzibar na sikuweza kumuona kwa...
James Shimba, Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando amesema uchunguzi wao umebaini kuwa magonjwa ya Mtoto wa Jicho na Kisukari ndio chanzo kikuu cha Upofu kwa kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Shimba ameeleza kuwa Hospitali hiyo kwa mwezi inapokea Wagonjwa wa Macho zaidi ya 1000...
Wanabodi,
Mimi ni mtu wa mastori mastori hivyo kama wewe sio mtu unaependa mastori mastori just jump this.
Self Proclaimed Psychoanalysis Teacher wa Jf
Naomba nisikutajie majibu yake, ila na mimi naomba kujiita humu Jf ni mwalimu wa somo liitwalo Psychoanalysis na nawaomba mnikubalie na...
Miaka kadhaa nyuma familia ya Mzee Masega wa kijiji cha Mkata kamba ilipata mtoto mzuri wa kiume mwenye afya njema ya kuridhisha na mwenye tabasamu mwanana. Mama wa mtoto akapewa Heko na hongera nyingi kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki wa familia yake. Baba alipongezwa kwa kupata dume, dume...
Nimefumba macho. Si kwa sababu nipo usingizini na wala si kwa sababu ni usiku wa giza totoro. Bali ni kwa sababu ya hofu, hofu ya kuiona leo. Hii ni kwa sababu jana ilifanya macho yangu yajawe na simanzi. Na kibaya zaidi ni kuwa, matumaini yangu ya kuiona leo yenye ahueni yanazidi kupotea kwa...
Umeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC huku akilazimisha Wajumbe watakaopiga Kura wamchagulie huyo Mtu?
Tulipoona Yanga SC wameruhusu GSM...
Mwanamke hajawahi kueleweka anataka nini kwenye ndoa/mahusiano.
Nakumbuka utawala wa Rais JPM kuna rafiki yangu kipenzi sana, alipata bahati ya kuajiriwa usalama wa Taifa hivyo alikuwa akisafiri sana na msafara wa Rais kabla ya Rais kwenda sehemu yeyote wao walikuwa wanatangulia kwanza...
BI. HALIMA MZEE MTOTO WA BI. TITI MOHAMED YOTE KAYAONA KWA MACHO YAKE
Picha hiyo hapo chini ni tawi la TANU lililofunguliwa na Ali Msham nyumbani kwake Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa mwaka wa 1954.
Ali Mshama katuachia hazina ya picha muhimu sana katika historia ya TANU.
Moja ya picha hizo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.