macho

  1. Upofu na uoni hafifu

    Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha uwepo wa watu takriban bilioni 2.2 wenye changamoto za macho zinazohusisha upofu na uoni hafifu. Kwa kiasi kikubwa, changamoto hizi zinaweza kuepukika kwa kushughulikia vizuri magonjwa yanayoweza kudumaza afya ya macho mfano kisukari na...
  2. Ameshasaini tayari sasa tuelekeze macho Ukraine

    MWAMBA Putin signs unification treaties for new regions The Russian president has signed agreements on accepting four former Ukrainian territories into Russia Putin signs unification treaties for new regions The Russian president signed into law four unification treaties with the Donetsk and...
  3. Serikali tupieni macho usafiri wa Kamanga Ferry Mwanza

    Wizara inayoshughulikia vivuko ndani ya ziwa victoria na Serikali mkoani Mwanza tunaomba mtupie macho wananchi tutakufa. Hali ya bandari siyo rafiki kwa usafirishaji. Kwa wasafiri wa kivuko cha KAMANAGA FERRY kutoka Mwanza Kamanga na Sengerema tunatabika sana hiloeneo ni barabarani watoto...
  4. Nyepesi: Huwezi amini lakini CHADEMA wamefikia hapa...Yetu macho

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea na vikao vya ndani ambavyo vilianza kurindima tarehe 17/09/2022. Sasa tazama hizi picha kisha tafakari nini namaanisha.
  5. Sijui na London pia kutatokea Fursa ya 'Kupaishwa' kama ya Nairobi ili 'niwarembulie' zaidi na 'Macho Kungu' yangu..!!!!

    Ikitokea nitaamini kuwa kweli Wasukuma wana Dawa Kali ya Mvuto mbele ya Wageni wanazowapa Wageni wao hasa hasa Wasio Wasukuma japo Dawa ya Kutuliza Hasira ya Tozo Kali kwa Watanzania mpaka hii leo wameikosa.
  6. Modi kamchana live Puttin uso kwa uso bila kupepesa macho

    Huyu mwamba namwaminia sana kwenye ,ukweli anasema hana biashara za kinafk amemwambia kabisa puttin kama unataka kufanya biashara achana na hiyo vita ,haikusaidii achana nayo tukae tupige michongo ya biashara ,kumbuka msela kamchana live live yan makavu live ana kwa ana.Putin akamjibu kwa aibu...
  7. TANESCO ya Rais Samia , Iache Uhuni , Watanzania walifunuliwa Macho na Hayati Magufuli!!

    Et Mgao wa Umeme kuanzia 15--18/9 . Sababu , Kupungua Kiwango Cha maji pale Kihansi na Pangani .......... Niwaulize, Kwa hiyo kuanzia tarehe 19 , Maji hapo Kihansi na Pangani yatakua yamejaa ?????? ACHENI UHUNI.!!. Mbona wakazi wanaozunguka maeneo hayo wanakiri kutokupungua Kwa maji ...
  8. Uingereza haina utawala wa kifalme, kinachoendelea pale ni kiini macho

    Sifa za mtu anayetambulika kama mfalme: 1. Awe anamiliki ardhi yote anayotawala. 2. Awe na amri juu ya watu wote wa eneo lake kila wakati 3. Awe anamiliki mali zote katika eneo lake na kwamba kila raia awe anafanya kazi kwa ajili ya mfalme 4. Tamko la mfalme linakuwa sheria ambayo inatekelezwa...
  9. Wanasimba wenzangu suala la vyeti vya Mgunda vitufumbue macho

    Ndugu zangu wanasimba poleni na stress za hapa na pale juu ya timu yetu. Tuna uongozi mbovu haijawahi kutokea. How comes unarelease barua ya kupata kocha mkuu wa Mda (MGUNDA) huku hujajiridhirisha kama ana nyaraka zote zinazotakiwa na mamlaka za mpira? Vetting ya kumchagua imefanyikaje? Tuna...
  10. Uso Kwa Macho na Bingwa wa Kutafsiri Qur'an Sheikh Mselem bin Ali

    USO KWA MACHO NA BINGWA WA KUTAFSIRI QUR'AN SHEIKH MSELEM BIN ALI Leo katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Ponda Issa Ponda, ''Juhudi na Changamoto,'' Peacock Hotel nilibahatika kukutana na Sheikh Mselem bin Ali mwisho wa shughuli. Miaka 10 imepita toka tuonane Zanzibar na sikuweza kumuona kwa...
  11. Mtoto wa Jicho, Kisukari ni chanzo kikuu cha Upofu Kanda ya Ziwa

    James Shimba, Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando amesema uchunguzi wao umebaini kuwa magonjwa ya Mtoto wa Jicho na Kisukari ndio chanzo kikuu cha Upofu kwa kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Shimba ameeleza kuwa Hospitali hiyo kwa mwezi inapokea Wagonjwa wa Macho zaidi ya 1000...
  12. Tum-judge Rais Samia kwa mawazo, maneno, na matendo yake ya sasa akiwa ni Rais wa JMT na siyo kwa alivyokuwa VP!

    Wanabodi, Mimi ni mtu wa mastori mastori hivyo kama wewe sio mtu unaependa mastori mastori just jump this. Self Proclaimed Psychoanalysis Teacher wa Jf Naomba nisikutajie majibu yake, ila na mimi naomba kujiita humu Jf ni mwalimu wa somo liitwalo Psychoanalysis na nawaomba mnikubalie na...
  13. S

    SoC02 Machozi yako yananiliza

    Miaka kadhaa nyuma familia ya Mzee Masega wa kijiji cha Mkata kamba ilipata mtoto mzuri wa kiume mwenye afya njema ya kuridhisha na mwenye tabasamu mwanana. Mama wa mtoto akapewa Heko na hongera nyingi kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki wa familia yake. Baba alipongezwa kwa kupata dume, dume...
  14. M

    Ama kweli najuta, sitasahau hii tarehe 20/08/2022

    Sitasahau, imetokea 20.08.2022 somewhere. Demu nimnywesha bia tukaenda lodge, sijafanya chochote nae katoa bonge la kojo hapohapo bed. Nikazira, nikajitenga kwa chini, shortly baada ya lisaa nasikia pwaah nauliza umejisaidia au umejamba? Kustuka kaamka kaenda chini kaongeza kujisaidia, kahamia...
  15. Dejan wa Simba SC afunga goli huku akiwa amefumba macho

    Huyu Dejan ana balaa afunga goli huku akiwa amefumba macho, kama viungo wa simba watamlisha haswa atafanya makubwa sana.
  16. SoC02 Natamani kufumba macho, lakini ni nani ataisimulia leo katika kesho yenye mpasuko?

    Nimefumba macho. Si kwa sababu nipo usingizini na wala si kwa sababu ni usiku wa giza totoro. Bali ni kwa sababu ya hofu, hofu ya kuiona leo. Hii ni kwa sababu jana ilifanya macho yangu yajawe na simanzi. Na kibaya zaidi ni kuwa, matumaini yangu ya kuiona leo yenye ahueni yanazidi kupotea kwa...
  17. Baada ya Rais Samia kumaliza teuzi katika vyombo vya dola, Sasa macho yote Mahakamani. Nani kuwa Jaji Mkuu?

    Naona Mh. Rais SSH kamaliza kupanga safi ya viongozi wa vyombo vya dola. Macho yetu yote ni kwa Mahakama. Je, nani atakalia kiti Cha Jaji Mkuu?
  18. Ukimsikiliza Kiumakini sana Bibie Suma Mwaitenda utagundua kuwa Yanga SC kuna Amani ya Kiini Macho tu, ila kuna Bomu linakaribia Kulipuka Yanga SC

    Umeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC huku akilazimisha Wajumbe watakaopiga Kura wamchagulie huyo Mtu? Tulipoona Yanga SC wameruhusu GSM...
  19. Mwanamke unapewa kila kitu macho juu juu ya nini?

    Mwanamke hajawahi kueleweka anataka nini kwenye ndoa/mahusiano. Nakumbuka utawala wa Rais JPM kuna rafiki yangu kipenzi sana, alipata bahati ya kuajiriwa usalama wa Taifa hivyo alikuwa akisafiri sana na msafara wa Rais kabla ya Rais kwenda sehemu yeyote wao walikuwa wanatangulia kwanza...
  20. Bi. Halima Mzee, mtoto wa Bibi Titi Mohamed yote kayaona kwa macho yake

    BI. HALIMA MZEE MTOTO WA BI. TITI MOHAMED YOTE KAYAONA KWA MACHO YAKE Picha hiyo hapo chini ni tawi la TANU lililofunguliwa na Ali Msham nyumbani kwake Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa mwaka wa 1954. Ali Mshama katuachia hazina ya picha muhimu sana katika historia ya TANU. Moja ya picha hizo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…