maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukraine yafanikiwa kurejesha maeneo muhimu tokea April 2022 Urusi wayanyakue

    Ni mafanikio makubwa miamba hii ya Ukrain ambayo kabla Urusi walipovamiwa Jeshi la Ukraine lilipewa masaa kusarenda waweke silaha chini.,
  2. Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

    Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji. Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya...
  3. Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    MAENEO AMBAYO WAISLAM WANAWAPIGA BAO WAKRISTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Watibeli tunazichukulia dini kama shule na vyuo ambavyo hupika wafuasi wao na kutengeneza imani kupitia mafundisho Yao. Watibeli tunajua dini zote lengo lake ni Maadili na sio zaidi ya hivyo. Watibeli tunajua Dini...
  4. SoC03 Mfumo wa miche ya Mahindi suluhisho kwa maeneo yanayo pata mvua Chache Tanzania

    Kutokana na Mabadiliko ya Tabia nchi, kumekuwepo na maeneo mengi sana ya nchi ambayo hupata mvua ndani ya mwezi na nusu tu na mvua hupotea mazima, au wanapata mvua miezi miwili pekee. Arusha ni moja ya maeneo ambayo kwa miaka mitatu sasa wanapata mvua chini ya wastani na hivyo mazao hasa...
  5. Maeneo saba sasa yamekombolewa, tunafika Crimea hivi hivi - counter-offensive

    Operesheni ya kufagia fagia takataka.... Ukrainian troop have retaken seven villages spanning 35 square miles from Russian forces in the past week, the deputy defense minister said Monday as the early stages of Kyiv's counteroffensive notched small successes. Deputy Defense Minister Hanna...
  6. Watoto Wanaofanyiwa Ukatili Katika Maeneo ya Vita ni Waathirika Wasio na Hatia wa Vurugu za Watu Wazima

    Watu wengi wanafurahia utulivu na amani katika maisha yao, lakini kuna maeneo mengi duniani ambapo vita na migogoro inaathiri maisha ya watu, haswa watoto. Watoto wanaotendewa ukatili katika maeneo ya vita ni waathirika wasio na hatia ambao wanakabiliwa na madhara makubwa ya kiakili, kimwili, na...
  7. Maeneo tatu sasa yamekombolewa, kazi iendelee, counter-offensive

    Tunafika Crimea, mzuka mzuka wanangu. Ukrainian social media channels were alight with celebratory messages as the nation revelled in the first major successes of the much-anticipated counter offensives. Ukrainian forces recaptured at least two villages from Russian occupation on Sunday...
  8. SoC03 Tatizo la udumavu au utapiamlo kwa watoto walio na umri chini ya miaka mitano hasa katika maeneo ya vijijini

    Habari zenu wanajamii wenzangu wa JamiiForums , katika makala hii fupi ninayoandika ni kwa lengo la kuelimisha na kufundisha wazazi na walezi juu ya umuhimu wa lishe bora hasa kwa watoto wadogo walio chini ya umri wa miaka mitano katika maeoneo ya vijijini na hii itaweza kusaidia kutengeneza...
  9. Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Wakuu mambo vipi? Kutokana na joto kuzidi huku niliko, imenibidi nipange safari ya kuelekea mikoa ya kusini angalau niweze kushangaa shangaa na kuota baridi; nitaanza na mkoa wa Iringa na baadaye Ruvuma. Sasa nataka nijue kwa wale waliotembelea maeneo hayo, hasa Iringa, ni sehemu gani nzuri...
  10. N

    Wakazi wa kigamboni naomba assistance nahitajiMaster rooom(single self) maeneo ya kibada, ungindonii au mji mwema

    Habarii great thinkers, Naomba assistance Kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu. Natafuta room ya kupanga iwe na choo ndani(single self) mazingira yawe na usalama Nahitaji kuhamia harak sana. Yoyote mwenyej taarifa kindly assist me Natanguliza shukrani 🙏
  11. Serikali Itenge Maeneo Maalum kwa Ajili ya Wakulima na Wafugaji ili Kuondoa Migogoro ya Hifadhi za Ardhi

    SERIKALI ITENGE MAENEO MAALUM KWA AJILI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ILI KUONDOA MIGOGORO YA HIFADHI "Nchi zilizoendelea mfano Afrika ya Kusini, Durban ni sehemu inayohusika na viwanda tu. Johannesburg ni sehemu inayohusika na Biashara tu. Tanzania tutenge maeneo yawe ni Maalum kwa wafugaji wetu tu...
  12. Maamuzi ya Mawaziri 8 na Baraza la Mawaziri Kuhusu Ugawaji wa Maeneo Kaliua Yaheshimiwe

    MHE. MUNDE TAMBWE APIGILIA MSUMARI MAAMUZI YA TIMU YA MAWAZIRI NANE NA BARAZA LA MAWAZIRI KUHUSU UGAWAJI MAENEO KALIUA Mbunge Viti Maalum Wanawake Mhe. Munde Abdallah Tambwe amemshukuru Waziri wa Maliasili na Utalii kwa tamko lake la kusema Maamuzi ya Timu ya Mawaziri Nane (08) ya Baraza la...
  13. T

    Zanzibar imemtangazia nani kwamba ina maeneo yake Bagamoyo?

    Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika? Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu achilia mbali kufahamu, hata ile kusikia tu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba, Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo? Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje...
  14. Natafuta chumba cha kupanga Maeneo ya Banana, Buza, Kinyerezi, Segerea na karibu yake

    Hello wadau' Natafuta chumba Cha kupanga Maeneo Kama title hapo. Kama una namba za madali Maeneo hayo naomba unisaide. Natafuta master room Tiles, gypsum all that Maji umeme usiwe shida na iwe karibu na Barbara Kusiwe na msongamano wa wapangaji wengi. Bajeti: kisizidi laki
  15. Moja ya maeneo hatari nchi hii ni uwanja wa Benjamin Mkapa

    Huu uwanja ni moja ya sehemu hatari sana kwa maisha ya watanzania. Wakati wa mazishi ya JPM inasemekana watu arobaini walifariki kwa kukanyagana. Hatujui majeruhi walikuwa wangapi. Jana wakati wa mechi ya yanga inadaiwa kafa mmoja na majeruhi thelathini. Bado hapo ambao hupigwa na askari karibu...
  16. KKKT Konde yazidi kumuandama Askofu Mwaikali. Yaanzisha vita mpya kudai maeneo

    Picha: Askofu Mwaikali Lile kanisa lililo bomoka vipande vipande, dayosisi la konde limeendelea kumuandama Askofu Mwaikali aliyejitenga na kanisa hilo mwaka jana. Baada ya kuwanyang'anya wafuasi wa mwaikali magari, makanisa sasa ni vita mpya ya kuwanyang'anya kila walichobakiwa nacho warutheli...
  17. B

    Msaada: Lodge nzuri maeneo ya Mwenge

    Wakuu, nahitaji lodge nzuri maeneo ya Mwenge na makumbusho, Dar es salaam. Bajeti yangu ni Tsh. 20,000 hadi 25,000.
  18. Mbunge Kwezi Ataka Ajira kwenye Miradi Zizingatie Vijana wa Maeneo yao

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATAKA AJIRA KWENYE MIRADI ZIZINGATIE VIJANA WA MAENEO YAO Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoa wa Tabora, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2023-2024 ya Shilingi Trilioni 3.554 iliyosomwa na...
  19. Hivi kuna mbuga maeneo ya UDSM-Msewe-Baruti?

    Kichwa cha habari kinahusika. Katika pita pita zangu za hapa na pale, nimebahatika kupita maeneo tajwa hapo juu. Kwakweli sijawahi kuona utitiri wa ngedere kiasi hichi. Nakumbuka zamani hizo UDSM pale, tulikuwa tunawaona mara moja moja, lakini nilichokiona wiki hii, nilidhani niko Mikumi...
  20. Hivi Putin hana washauri, katoa hongera, ngoma bado, jameni aibu

    Muziki wa Bakhmut bado tena sana tu, kwanza Ukraine waanza kuzingira Mashariki...hehehe huku Putin akiingizwa mkenge na Wagner na kukimbilia kutoa hongera, hii aibu sana kwa supapawa Ukrainian forces have partly encircled the besieged eastern city of Bakhmut along the flanks and still maintain...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…