Tanzania na Oman zimeahidi kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano katika sekta za
uwekezaji, elimu, uvuvi na utamaduni,
Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb.) alipokutana kwa mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Mhe. Saudi...