mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama mafuta yatapatikana kesho au keshokutwa Baada ya bei kupanda ntaidharau sana serikali hii

    Nilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
  2. D

    EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

    Habari Wananchi Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza! Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni! Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta: Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake, Anapotafta eneo...
  3. Ukosefu wa mafuta nchini - Serikali ilaumiwe?

    SALAAM! Hapa niko Kakonko - Kigoma kusema kweli ukosefu wa mafuta umekwamisha shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi. Nachotaka kufahamu ukosefu wa mafuta nchini Serikali ndiyo ilaumiwe? Wabobevu wa Masuala ya nishati mnashauri kipi ili kurejesha matumaini ya kuporomoka kwa sekta ya...
  4. Mnashinda Baa kulewa na kufanya zinaa kwenye malodge mnaogopa magari mazuri na kujaza mafuta. Ubahili wa kizamani umewajaa watu

    Wasalaam JF, Kuna hii kasumba ya Kiafrika na kitanzania watu wanaogopa kununua magari mazuri kisa tu et bei ya spares, spare availability, na ulaji wa mafuta. Ujinga mtupu , wakati matumizi yenu ya kuruka vianja bar na kufanya ngono kwenye guest/lodges ni makubwa kuliko hofu zenu za kijima...
  5. B

    Serikali isiwachekee wanaohujumu juhudi za usambazaji wa mafuta

    Salaam wanabodi, Ndiyo, kumekuwako ukosefu wa mafuta katika baadhi ya vituo vya kuuzia mafuta nchini, ukifika hapo unaambiwa petrol imekwisha. Mtazamo wangu ni kuwa hawa wafanya biashara aidha wanakuwa wakisubiri bei kupanda au wanatengeneza uhitaji wa ziada kwa sababu wanazuia usambazaji na...
  6. Hizo ndio kampuni 27 zinazoshikilia tenda za Uagizaji Mafuta yanayotumika Tanzania kila mwezi

    Tanzania Association of Oil Marketing Companies (TAOMAC) ni shirika ambalo lilianzishwa tarehe 23 Machi 2000 chini ya Sheria ya Vyama, SURA 337. TAOMAC inajitahidi kukuza sekta endelevu na yenye ushindani wa mafuta ya petroli, ambapo makampuni yote ya uuzaji wa mafuta (OMCs) yanaendesha...
  7. Jerry Silaa na Daganya Toto kwenye ujenzi wa Vituo vya Mafuta

    Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba. Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo...
  8. Waziri Jerry Silaa apiga marufuku ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo. Waziri Silaa...
  9. J

    EWURA: Nchi ina hifadhi ya Mafuta inayojitosheleza, Petrol inatosha kwa siku 19 na Diesel siku 18

    Mkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18. --- Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile Mamlaka ya udhibiti wa...
  10. Hali ya mafuta ikoje huko uliko?

    Nipo Katoro mkoani Geita. Kwa zaidi ya siku moja, kuna baadhi ya sheli zimesitisha huduma. Hawana mafuta. Hiyo ndiyo hali niliyoishuhudia katika baadhi ya maeneo niliyopita katika huu Mkoa tajiri wa dhahabu. Hali ikoje kwingineko, hasa mliopo mijini DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA na DODOMA?
  11. K

    Ushauri: Kwako Waziri wa Nishati, Tumia mkakati huu kama mpango wa dharula kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Kwa kuwa Waziri wa Nishati umepewa na jukumu la kuratibu shughuli za serikali ukiwa kama Naibu Waziri mkuu, ninaamini jukumu hilo limekuja kipindi sahihi na linaweza kukusaidia katika majukumu yako kama Waziri wa nishati hususani kipindi hiki cha uhaba wa mafuta. Kwanza ninakushauri, katika...
  12. Mafuta ya Gari kupanda tena Jumatano kwa Tsh 300 mpaka 400. Wakubwa waneemeke

    Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika. Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri...
  13. Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika

    Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika
  14. Waziri wa nishati simamia Mafuta yapatikane

    Kumekuwa na hali mbaya ya upatikanaji mafuta hasa ya petroli katika miji mingi hapa nchi. Manispaa ya Songea sheli kubwa zote hazina mafuta yapata siku 5 sasa. Hii hali inahatarisha uchumi wa wananchi kwasababu sehemu walizokuwa wanaenda kwa 1000 kwa pikipiki saizi wanatumia 2000. Foleni kwenye...
  15. Depo kubwa ya mafuta yalipuka Urusi, tutafika tu

    Taratibu tutaongea lugha moja.... PHOTO: OSTOROZHNO, NOVOSTI On Sunday, 3 September, a big fire broke out at an oil depot in Krasnogvardeysky District, St Petersburg, Russia. Source: Ostorozhno, novosti (Careful, News); Readovka Details: Local residents reported that they heard sounds of...
  16. Mafuta ya tumeric na fair and love whitening yapi mazuri zaidi?

    Habarini wana jamii, naomba msaada wa kuyajua haya mafuta tajwa hapo juu. Nahitaji mafuta mazuri ya kung'arisha mwili mzima ambayo ntachanganya na lotion au ntapaka juu yake. Nataka kufahamu kama hayachubui, na je yana madhara. gani kama mtu alishawahi tumia. Naona yanasifiwa sana, kabla...
  17. Ushauri: Serikali iwapigie magoti wafanyabiashara wa mafuta

    Wafanyabiashara wameshika nchi. Wanaweza kupanga nini wafanye wakati gani. Wanaweza kupata taarifa nyeti za serikali. Wale wa mafuta wamejua bei inaenda kupanda. Kwa hiyo wameficha mafuta ili waje wapige hela. Lakini wanafanya hivyo mbele ya mamlaka za nchi, na pengine chini ya ulinzi wa...
  18. K

    Kwanini mkurugenzi mkuu mpya WA EWURA tangia ateuliwe kwanini mafuta yamekuwa yanafichwa hapa nchini?

    Tangia mme WA TULIA Acksobi kuteuliwa kuwa mkurugenzi WA EWURA sakata la mafuta limekuwa Shida.Je kwanini Bunge lismuazimie nlmkurugenzi husika kuondolewa Kwenye nafasi huska
  19. DOKEZO Tabora Mjini hali tete, mafuta hakuna! Maji hakuna

    Niendee moja kwa moja kwenye mada husika! Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta! Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima inatoa huduma ya mafuta! Hakuna kiongozi yoyote wa chama (CCM) au serikali ambaye ametoa ufafanuzi...
  20. Kwanini Urusi inauza mafuta yake kwa siri?

    Urusi imebambwa inauza uchochoroni mafuta inayozalisha. Imegundulika kuwa Urusi inapeleka mafuta yake Bahari Kuu (Deep Sea) na kuyapakia kwenye meli nyingine na mafuta hayo hupelekwa India kuchakatwa. Mafuta hayo yakichakatwa hupelekwa Uingereza kuuzwa kwa makampuni yauzayo mafuta ya ndege...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…