Bado natafuta mtu anifundishe pikipiki nitachangia hela ya mafuta

Nenda veta Watakufundisha pikipiki,
Sheria za barabarani
Jinsi ya kusoma na kutafsiri vibao vya barabarani
Jinsi ya kusoma na kutafsiri taa mbali mbali zanazowaka kwa pikipiki na barabarani
Na kikubwa kuzidi vyote watakupa cheti hii itakusaidia leo kesho na hata milele,maana sku izi ku renew resen lazma uwe na cheti
 
Andaa na budget ya hospitali kabisa
20250811_101246.jpg
 
Nenda veta Watakufundisha pikipiki,
Sheria za barabarani
Jinsi ya kusoma na kutafsiri vibao vya barabarani
Jinsi ya kusoma na kutafsiri taa mbali mbali zanazowaka kwa pikipiki na barabarani
Na kikubwa kuzidi vyote watakupa cheti hii itakusaidia leo kesho na hata milele,maana sku izi ku renew resen lazma uwe na cheti
Veta ni 120k kwa week moja
 
Sawa mkuu
 
Ni kwanini watanzania wengi hawajui kujielezea?, hivi hili ni swala la mfumo wa elimu au ni kuwa watanzania wengi hawajanufaika na elimu yetu?.

Sasa mtu unaacha kabisa kusema upo wapi, unatarajia kupata mtu wa kukufundisha kutoka maeneo gani, unataka ufundishwe kuendesha aina gani ya piki piki na unataka kuwa na matumizi ya aina gani na hiyo piki piki.

Anyway, tembelea vijiwe vya boda vilivyopo mtaani kwenu hapo watakupa ABC za jambo lako.
 
Ni kwanini watanzania wengi hawajui kujielezea?, hivi hili ni swala la mfumo wa elimu au ni kiwa watanzania wengi hawajanufaika na elimu yetu?.

Sasa mtu unaacha kabisa kusema upo wapi, unatarajia kupata mtu wa kukufundisha kutoka maeneo gani, unataka ufundishwe kuendesha aina gani ya piki piki na unataka kuwa na matumizi ya aina gani na hiyo piki piki.

Anyway, tembelea vijiwe vya boda vilivyopo mtaani kwenu hapo watakupa ABC za jambo lako.
Asante mkuu pia nitazingatia ushauri wako wa kujieleza
 
Back
Top Bottom