Bado natafuta mtu anifundishe pikipiki nitachangia hela ya mafuta

Bado natafuta mtu anifundishe pikipiki nitachangia hela ya mafuta

Habari natafuta mtu anifundishe pikipiki ambaye atanisaidia nitamshukuru sana nitachangia hela ya mafuta anicheki Pm au hapa hapa
Unajua kuendesha baiskeli?Mimi nilijifunza kuendesha pikipiki kwa kumuangalia tu muendeshaji uondokaji wake na nikauliza maswali mawili -matatu,kazi ikaanza.
 
Mkuu hapo na Veta ni karibu tu, fanya ujichange uende veta usomee udereva wa bajaji na hizo boda kwa usalama wako, wa chombo na watukiaji wengine wa barabara pia na kupata leseni itakayokusaidia kupata michongo zaidi.
Nilikuwa sijui kama veta wanafundisha uendeshaji wa pikipiki na bajaji ila leo nimejua asante kwa kunipa taarifa nitaenda veta
 
Daah hili nalo ni la kuleta jf kweli?
 
Sawa
Hayo ni maajaliwa ya mungu kupata au kutopata ajali
20250811_101201.jpg
 
Back
Top Bottom