Do the impossible
Member
- Oct 29, 2024
- 49
- 94
- Thread starter
- #41
Sawa nitumie no yakopembezoni
Sawa nitumie no yakopembezoni
Nichangie sasa hiviMimi nitachangia hela kwaajili ya bima yako ya afya
Ifwenkenya....umenikumbusha huko mpaka MkwajuniSasa huandiki upo wapi unatarajia nini?
Haya, Njoo Ifwenkenya hapa pkpk ina mafuta
Nimeona mdau hajui kuna watu tunatokea hukoIfwenkenya....umenikumbusha huko mpaka Mkwajuni
hospital tena, labda wosia, aandae na jeneza-sanda asitusumbue na bukunuku za mtaa. hili.howo la mnyaru lilimla kichwa kijana wetuAndaa na budget ya hospitali kabisaView attachment 3438219
Fala Sana 😂 😂Aaah sa mbona umekuja kutafuta huku ushantia hasara nmeweka mafuta ya elf 20 nikufundishe hadi mchana.
Kwanini haujaenda hapo vijiwe vya boda karibu yako, sa 20 yangu itakuaje
The same to me! Tena mi hata sikuuliza kitu niliangalia tu then nilivyopewa nikatembea😀Unajua kuendesha baiskeli?Mimi nilijifunza kuendesha pikipiki kwa kumuangalia tu muendeshaji uondokaji wake na nikauliza maswali mawili -matatu,kazi ikaanza.