#HABARI: Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, aliyetambulika kama fundi wa magari, amepata ajali maeneo ya River side Ubungo, jijini Dar es Salaam, wakati akipeleka gari yenye namba za usajili T 120 ANP, kwa mmiliki wa gari hiyo maeneo ya Temeke.
Mashuhuda wa ajali hiyo...