Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha.
Utangulizi
Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022.
Tanzania ina wananchi wapatao Milioni 65+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022.
Wakati Marekani ina idadi ya...