mahakamani

  1. Walimu 6 walioonekana katika video ya watoto wakiigiza ngono wafikishwa Mahakamani

    Walimu sita wa Kenya wamefikishwa mahakamani, baada ya kukamatwa kwa video ambayo walionekana kuwaruhusu watoto wa shule ya msingi kuiga vitendo vya ngono, katika shule moja magharibi mwa nchi. Video hiyo ilisambazwa sana nchini Kenya na kusababisha hisia kubwa ya umma. Walimu hao walikamatwa...
  2. Vitendo vya Onesmo Buswelu vyaifanya Mahakama Kuu itoe fidia ya milioni 100

    Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu alimkamata mtu, akamuweka ndani kwa siku kadhaa. Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imetoa amri kwamba serikali ilipe fidia ya milioni 90 na Mkuu wa Wilaya alipe fidia ya milioni kumi. Maamuzi mabaya yanaligharimu taifa, piga hesabu TRA wanahangaika kukusanya...
  3. Kigoma: Kisa mgogoro wa ardhi, Kanisa Katoliki laishitaki CCM Mahakamani

    Mgogoro wa ardhi ambao umekuwa ukiendelea kwa muda umesababisha Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma kuamua peleka Mahakamani mashitaka dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Shitaka hilo lililofunguliwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Kigoma, Kanisa limewashtaki Bodi ya Wadhamini wa CCM, Waziri wa...
  4. Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

    Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret...
  5. Kwa mujibu wa sheria za nchi, Manara na bi mdogo bado ni mke na mume, ndoa huvunjwa mahakamani. Manara mahakamani mkaanikane ya ndani

    Kwa sheria za nchi, ndoa ya Manara na bi mdogo wake waliyevurugana bado ni halali, talaka, kwa sheria za Tanzania, inatolewa mahakamani baada ya mahakama kujiridhisha na sababu za kuomba talaka. Yale mambo ya kumtamkia mke hayatambuliki kisheria. Kama gari za Manara lina breki za upepo mpaka...
  6. Mkuu wa Wilaya na Katibu Tawala wafikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewafikisha Mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ruben Mfune na Katibu Tawala Msaidizi wa Fedha mkoani Kilimanjaro, Juma Masatu kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh51 milioni. Wawili hao walidaiwa...
  7. Kupiga Honi ovyo au maeneo ya Shule, Mahakamani na Hospitali ni kosa kisheria

    Dereva anatakiwa kutumia honi tu iwapo ni lazima katika kuwaonya watumiaji wengine wa barabara au kuwajulisha kuwa kuna gari nyingie ipo karibu nao. Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 Kifungu cha 39 (3) Sura ya 168 inawakataza Madereva kutumia Honi katika #Kusalimia, Kuonesha hisia...
  8. Ila nyie Dunia ina mambo, kuna watu kazi yao kukaa Mahakamani kusubiri wenye kesi wapate chochote!

    Yaani makubwa haya kama hujui kuna mengi ya ajabu sana kwenye hii dunia. Kuna wakati unashangaa Lakini ndio ukweli wenyewe. Binadamu ana namna mbalimbali za kujippatia Riziki. Utakuta vishoka. Hii ya vishoka mahakamani inatia woga. Wakati wewe unahangaika kutafuta Riziki kkwa njia zako wapo...
  9. Watumia mkongo wanatuharibia kizazi hiki, wapelekwe mahakamani

    Wanawake wako tofauti tofauti sifa, tabia, mwenendo wao pia ni tofauti kamwe hutoweza kumridhisha Mwanamke kwa chochote. Nilikua na mpenzi wangu, during sex kwa muda mfupi sana alikua anamaliza na anakua yuko satisfied, hutoki jasho jingii kama vile unaponda mawe. Nikapata mwingine pia ndani...
  10. T

    TANZIA Aliyewahi kuwa mwendesha mashtaka mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani Afariki Dunia

    Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani. Bwana Gibson Gathu Mbugua ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia. Kipindi cha Vioja Mahakamani kilikua kipindi cha vichekesho kilichokua kinarushwa na televisheni ya taifa la...
  11. Mtanzania atakupa umbea unaotoa ushahidi lakini hatakubali kukusaidia kutoa ushahidi huo mahakamani

    Watanzania ni watu waajabu sana atakupa taarifa in detail ya jambo lolote la kiuhalifu lililotokea lakini ukimuambia sasa naomba taarifa hizi ukanisaidie kuwa shahidi mahakamani hatakubali kwà uoga hii inaumiza sana.
  12. Serikali na Zitto warudishana Mahakamani tena kwa kesi ya CAG Prof. Assad

    Wakati Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akijiandaa kukata rufaa kupinga sehemu ya hukumu ya kesi ya kikatiba ya utumishi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Serikali imemtangulia na kuweka kusudio la kukata rufaa. Mahakama Kuu katika hukumu yake ya Desemba 5, mwaka huu chini ya...
  13. NMB kama hamtambui hizi taasisi si muende Mahakamani?

    Mpendwa Mteja, Benki ya NMB inakutaarifu kuwa haihusiki na huduma yoyote ya kutoa huduma ya Mikopo mtandaoni kupitia UmojaLoan au Mshiko APP.
  14. Sengerema: Diwani wa Buzilasoga (CCM), David Shilinde afikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji

    Diwani wa Buzilasoga (CCM), David Shilinde na watu wengine 13 wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Getruda Dotto. Mbali na diwani huyo, yumo pia Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B, William Nengo...
  15. M

    Kafulila: Lissu acha kuzipaka matope Mahakama za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa?

    Wasalaam wana wa Mungu. Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Zacharia Kafulila, amekosoa vikali kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu A Lissu kuhusu kesi iliyopelekea kukamatwa kwa Ndege yetu na Kesi zingine mashauli yazo kushughulikiwa kwenye Mabaraza ya Usuluhishi ya kibiashara...
  16. Naweza kujisimamia rufaa mahakamani?

    Habari wakuu, Nina kesi inayohusu masuala ya ndoa. Tumefikia hatima mahalama ya mwanzo pale Stop Center Temeke. Mwenzangu kakata rufaa. Nimeambiwa na Hakimu kujibu hoja za upande wa pili wa maandishi. Ndio nauliza. Naweza kujibu mwenyewe? Najibu vipi? Mawazo yenu muhimu sana 🙏
  17. Kwanini wawepo Wanasheria na Mawakili mahakamani na si kila mtu azijue tu sheria kama Amri za Mungu?

    Sheria ilipaswa kuwa ni sharti la lazima tujue kuanzia watoto. Kama hatufundishwi darasani na makanisani kama amri kumi basi ule msemo Kutokujua Sheria sio hudhuru haukutakiwa kuwepo. Huo msemo ulipaswa kuwa Kwa wasomi wa Sheria sio sisi maamuma na wananchi wasio na ufahamu huo. Ni kama...
  18. Kwanini wenyeviti Serikali za mtaa/Vijiji hawashitakiwi mahakamani au kufungwa kwa kushiriki utapeli/wizi wa ardhi?

    Wadau hawa jamaa wanashiriki mno ktk wizi WA ardhi kwa makusudi. Mbona sisikii wakifungwa au walau wakipandishwa kizimbani? Yaani hata akijua mahali ni open space au palishauzwa, maadam tu wamekuja watu wanataka kuuziana, anasaini, anatia mihuri anaomba 10% anasepa. Wanaogopwa? Kunani? Wengi...
  19. Naunga mkono wanaokataa kutoa ushirikiano kwa Ulinzi Shirikishi wachukuliwe hatua na wapelekwe Mahakamani

    Huku mtaani kwetu suala la ulinzi shirikishi ni kama limekuwa linachukuliwa poapoa hivi, kuna wengine wao wanajiona wapo salama labda kutokana na mazingira yao ya nyumba zao kuwa na geti au kuwa na walinzi. Wengine wanaona ni ubahiri kutoa fedha kwa vijana au watu wanaofanya kazi ya kulinda...
  20. Kijitonyama: Wananchi wanaokataa kulipia ulinzi shirikishi kupelekwa Mahakamani

    Maamuzi hayo yanatarajiwa kufanywa na Serikali ya Mtaa wa Bwawani Kata ya Kijitonyama, Dar es Salaam kwa wale watakaokaidi kulipa kutoa ushirikiano kwa ulinzi shirikishi. Mwenyekiti wa Bwawani, Felicianus Kamkala amesema “Wapo baadhi ya raia wanaotaka kuleta mgomo wa kuchangia fedha za motisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…