Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma.. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031, Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu anayeweza kuchukua yote kwa jumla, AU at least kuanzia heka moja..Huku wananunua matatu sh 1000...