Sababu kubwa ya mahusiano mengi kutokufika mbali watu Wana force kubadilishana tabia kwa haraka
Jambo kubwa na la muhimu watu wanalopaswa walitambue .
Katika mahusiano unakutana na mtu ukubwani haujui Maisha aliyopitia au matukio aliyokutananayo mpaka kufikia umri huo . Hauwezi kwa haraka...
Uchunguzi huu nimeufanya mara kadhaa sasa nimejiridhisha kuwa mwanaume huwa anabalehe kwa mara ya pili akifika umri wa miaka 40.
Katika umri huu mwanaume anakuwa kama teenager wa miaka 16. Utashangaa anafukuzia vibinti vidogo ila yeye hajali anaona ni kama age mate wake licha ya watu kumwona wa...
Mahusiano au ndoa zenye majukumu mazito ya malezi, kwa mfano ya watoto wa3 au zaidi, huwa ziko na furaha, ziko imara na vizuri sana katika kushirikiana na kusaidiana kwa dhati na kwa upendo mkubwa, katika kutimiza msingi wa ndoto za watoto wao, mfano katika kupata haki ya mahitaji yao muhimu...
Don't Marry because of SEX
Don't Marry because u are getting OLD
Don't Marry because u are of AGE
Don't Marry because u are LONELY
Don't Marry because u need someone to support you FINANCIALLY
Don't Marry because u got PREGNANT for him
Don't Marry because u don't want to LOSE the PERSON,
Don't...
Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni haja ya kuanza kuwachosha kuyaelezea.
Ila sasa mama yake alikuwa ni mtu mwema kwangu kiasi kwamba...
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu
Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aisee
Sasa wanawake wengi wananiogopa nikiwa nao kwenye...
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.
Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani.
Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ila humpati. Kama hujaoa...
Nawakumbusha:
Unaponunua gari daima ni bora kwenda kwa muuzaji na kununua gari jipya kabisa. Lakini ikiwa hutaweza kununua gari mpya kabisa, basi upate moja bila wamiliki wengi wa zamani, mara tu unaponunua gari lililotumika, unahitaji kufahamu ukweli kwamba, hautakuwa peke yako kuiendesha...
Huu ni mkweli mchungu sana kwetu wanaume. Mwanamke wako unayemuona kwamba ni mtiifu na mwadilifu, ana kijamaa Fulani hivi huenda hata sio Cha level yako, kinamgonga tu kimasihara.
Habari za weekend ndugu zangu,
Kuna muda kwenye Maisha unahitaji mtu sahihi wa Ku share naye upendo na mapenzi yako, mtu ambaye atakudekea, utamdekeza, utampenda na kumuheshimu, ujisikie furaha akikusifia na kukubali penz nzuri lisilo na maumivu, na wish nikutane na mdada ambaye anapenda...
Wanaume sahihi hatupati wake sahihi , wake sahihi hawapati waume sahihi 😃 Dunia ngumu hii .. hivi kwanini watu sahihi huwa hatukutanagi . Nahisi shetani ana mkono wake katika hili. Unaona dada wa watu anateseka wakati anasifa zote ... kukutana watu wanao pair ni mara chache mara nyingi mtu...
Kwema ndugu zangu.
Kama mada inavojieleza hapo juu, kuna mshikaji ana mke wake amezaa nae watoto wawil huyo wa pili ana miezi minne sasa, ila kwa sasa huyo mke yupo anaishi kwa wazazi wake alikuja kujifungua tu anavodai ila anaishi mkoa mwingne kutokana na shughuli zake au ajira na mme wake...
Wakuu habari?
Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa na pale na mwisho wa siku kipato kitaonekana.
Bahati nzuri katika wazo hilo, yuko tayari...
ZINGATIA HAYA ALFAJIRI.
KIJANA JINSI ZOTE.
Nimeiita alfajiri tusiyojua kilichobebwa na mchana wake. Ndio ni alfajiri na mapema ya mahusiano unayoona pengine kuna umbali yataenda na hata kukupeleka kwenye ndoa.
Watu wengi huanguka mwanzo/asubuhi lakini athari huonekana jioni kwa sababu tu...
Karibuni kwenye simulizi yangu ya maisha yangu ya kweli,Yenye Mapenzi na uchawi juu yake.
Story inaanza mwaka 2018 nikiwa mwaka wa kwanza pale udsm main campus,mwaka huo nilikuwa mwaka wa kwanza,nilikuwa nakaa hostel za chuo pale mabibo hostel block D ,basi maisha yalikuwa yanasonga tu...
Makazini utakutana na matatizo mengi ambayo chanzo kikubwa ni mahusiano mabovui, Ukija Mtaani pia utakuta kesi nyingi chanzo kikubwa ni mahusianomabovu.
Mahusiano ni zaidi ya mapenzi kama wengi wanavyolitumia neno hilo bali hali yoyote ya kimawasiliano kati ya mtu na mtu.
Baadhi ya Afisa...
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
UPDATES:
Mtuhumiwa baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama dakika mbili kwa...
chupa
goba center
kabla
mahusianomahusiano ya kimapenzi
marehemu
mauaji ya kimahusiano
mauaji ya mapenzi
mauji goba cent
mwanaume
mwanaume mwingine
mwingine
nani
siku
tena
wewe
''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.