Miaka miwili au mitatu iliyopita kipindi covid ina trend sana, nlikua kwenye mahusiano kadhaa, Kama mnavyojua mambo ya ujana. Sasa kwa kipindi kile kama mtakua mmeweka kumbukumbu zenu sawa, kampuni nyingi ziliopunguza wafanyakazi na nyingine kulazimika kufungwa kabisa kutokana na changamoto ya...
Habarini wakuu,
Kuna ule wimbo wa Rayvanny "Unaibiwa" yaani huu wimbo unarelate sana mambo ya mahusiano na kudate kwa sasa.
"Unadhani niwapeke ako
Kumbe wengine wameshaweka kambi
Kakupendea macho
Wapo wengine kawapendea rangi
'Ye ni gari la dampo
Hachagui taka dereva mpe ganji
Wakubadili...
Habari wanna jm
Leo napenda nionge na vinaja 20s mpaka 35 ni kwa ufupi
Moja ya mambo muhimu ni mahusiano je mwanamke gan sio wa kuwa na mahusiano nae kabsa ?
✓kama hawez kumud gharama za kusuka na anapenda kusuka 3x a month
✓Mwanamke muomba pesa za kula
✓kijana usiwe na mwanamke amepanga...
Kulingana na tafiti mbalimbali duniani, imeonyeshwa kuwa mahusiano ya vijana chini ya umri wa miaka 25 huvunjika sana. Ni kawaida kwa vijana wa kizazi hiki kuanzisha mahusiano kirahisi na watu tofauti. Inadaiwa kuwa hali hii inasababishwa na vipindi vya ukuaji, mtindo wa maisha, na mabadiliko...
Kama Una tatizo la kutafuta vitu au watu n.k fahamu tu kuwa hauna power tena unachohitaji nikuweka power vizuri.
Kila kitu kinavutwa iwe pesa, mpenzi, good life n.k
You don't need to chase anything in this entity.
Ni kukaa chini na kujua what you need in ur life na kuanza kuchezesha mifumo...
Kwa upande wangu kuna kipindi nilisafiri kwa siku kadhaa, nikiwa huko nikapigiwa simu kwamba wezi wamevunja dirisha ghetto kwangu na kuniibia. Ikabidi nikatishe shughuli zilizonipeleka kule na kuamua kurudi niangalie mazingira. Hawakuchukua vitu vyote, ila vilivyobaki navyo viliharibika...
Ewe kijana wa kiume kama upo katika mahusiano na mtoto wa kike hakikisha anashidwa kukuelewa wala kusoma wewe ni mtu wa aina Gani iwe umeoa au hujaoa .......
Siku zote katika mahusiano wanawake huwa wana maswali mengi ambavyo wanapenda kusikia toka kwa mwanaume lengo ni kuweza kukufahamu...
Shalom,
Mishaa mishangazi na maisha matamu, amua utakavyo mapenzi ni maisha kupanga ni kuchagua Usibebe mizigo inayokuzidi akili yako.
Tuendelee na maisha matamu
Wadiz
Huku mikoani ni rahisi sana kufumaniana kwa mlio kwenye ndoa au mahusiano sababu ya ufinyu wa maeneo mfano gest, bar, sehemu za starehe nk.
Mikoani ukichepuka eneo uliopo ni rahisi kujulikana ukilinganisha Dar yaani umechepukia Kimara Bonyokwa wewe unakaa Buza Kilakala.
Yaani tuliopo mkoani...
aomba nishee ka story kangu, ila wanawake 🙌. Bana nakumbuka nimemaliza chuo, sasa nilikuwa na pisi iko mwaka wa mwisho. Sasa home ilikuwa ni karibu na chuo nilikomaliza kusoma na yeye ndio alikuwa anasoma hapo. Kuna siku bwana nilimwambia tukutane mara moja nimuone kwa sababu nilikuwa nimemmisi...
Kina Dada zangu na Mama zangu Acheni kushughulika na Mitandao ya Kijamii aka Facebook,TikTok, istagram, Youtube na mengine. Wakati Mume wako anakuwepo nyumbani.Muhudumie Waume zenu kwa kila kitu acha kumtegemea Dada wa kazi aka (House Girl) atawaharibia ndoa zenu shauri zenu.
Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........
mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
Kama mwanamume, ikiwa utaoa au kuchumbiana na mtu ambaye si bikira kwa muda mrefu, unapaswa uwe na uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti.
Kama ni mtu wa Mungu, epuka kuwaoa wanawake wasio bikra, watakufananisha utendaji wako wa chumbani na wanaume waliokuwa nao huko nyuma...
Sijue huko kwenu vipi lakini mwenzenu ninayokutana nayo sio mepesi, lakini kwasababu mimi ni mtu makini huwa nafanikiwa kutoka, si Rahis ni mkono wa Mungu tu 😁
Ndani ya kipindi kifupi nimedate na wasichana watatu wa hovyo,
unajua kuna vitu huwezi elewa wala kueleza hadi ukutane navyo upate...
1. Usioe au kuolewa na mtu kisa anahofu ya Mungu!, kwasababu swala la imani ni swala la uelewa na muda wowote mtu anaweza kubadili mawazo,ama kuamini tofauti na alivyokuwa akiamini awali!. kwa ufupi ni kwamba usaliti hutoka kwenye wema.
Tafuta mtu muelewa mwenye upeo wakuweza kujua thamani yako...
Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao,
"WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA"
Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume hatujaumbiwa Mwanamke mmoja.
Nimeishi U.S.A, ULAYA NA ASIA LAKINI SIJAWAHI KUONA KITU CHA KIJINGA...
Unaona kwamba msichana unayechumbiana naye sasa, ana nafasi kubwa ya kuifanikiwa kimaisha haraka kuliko wewe.
Ndiyo maana hupaswi kutumia ujana wako wote kujenga uhusiano na mwanamke. Ukweli ni kwamba anaweza kutoka kwenye mahusiano hayo kwa urahisi na kwenda mbele na kuolewa na mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.