Habarini,
Kuna baadhi ya wadada ni majirani zangu, kimuonekano ni wazuri tu, wameajiriwa, wapo kwenye umri wa kuolewa lakini hawajaolewa, kwa nyakati tofauti nilibahatika kupata wasaha wa kukaa nao chini na kupiga story kuhusu mahusiano ya kimapenzi waliowahi kupitia. Tuliongea mengi ila...
Kuna mtu toka umfahamu yupo na heka heka za mahusiano tu kuanzia maongezi mpaka vitendo ila KI UCHUMI hali yake mbaya
Yawezekana ukawa wewe pia 😊 Mawazo yanayotembea kichwani mwako kwa wingi ni mahusiano tu , unatafuta ubunifu wa mahusiano kwa kasi kubwa zaidi ya unavyotafuta ubunifu...
Haya siyo maneno yangu bali ni maneno ya Mwanasaikolojia mmoja ambaye huwepo sana katika Kipindi huko Channel Ten ambapo huwa anazungumza na kuchambua Mambo mbalimbali ya Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kimahusiano.
Ngojea GENTAMYCINE niendelee hivi hivi tu kuwa Mkorofi mbele ya Wanawake ili...
miongoni mwa changamoto kubwa kwenye mahusiano na ndoa nyingi kwa sasa ni kukosekana kwa uaminifu baina ya wahusika..
kuchepuka na michepuko limekua jambo la kawaida na ni chanzo cha migogoro na kusambaratika kwa chumba nyingi, mahusiano na ndoa nyingi sana, huku wanaoathirika zaidi ni watoto...
Habarini wanajukwaa
Leo nimeamka na roho ya huruma kuwahurumia wanaume wenzangu wanaoteswa na wanawake hivyo nikaona ni share vitips viwili vitatu vya kuwafanya waenjoy mapenz kama mimi maana ndoa imekua tamu kama niko peponi mwezenu naenjoy
Twende kwenye mada
Kwanza anzia kwako uwe smart...
Nyakati zimebadilika sana, wanawake single mothers , talaka kwa Wakristo na ndoa kwa watu wa makabila tofauti sio mwiko(taboo) tena, katika mazingira haya je kuna haja ya kuwasikiliza na kuwatilia maanani wazee walioishi karne hiyo kuhusiana na masuala ya ndoa au mahusiano?
TANBIHI: Andiko hili ni kwa ajili ya watu wanaotaka wenzi kwa ajili ya kuishi hivyo kama lengo lako ni kula na kuacha huna uhusika wako hapa.
Mvuto wa nje ni sehemu muhimu sana kwenye mahusiano kwa sababu itakufanya uwe na hisia dhidi ya umpendaye na pia utakuwa huru kutembea naye na...
Ni rafiki yangu anafanya biashara zake mikoa fulani alikuwa na mpenzi wake wakaachana mazoea yalipoanza na mdogo wa ex- wake alikua ananiomba ushauri sana anamkataeje dogo maana dogo alikua anatimba adi ghetto kwa jamaa kupiga story.
Sasa siku jamaa kayatwika kaamua kumrushia vocal mdogo wa ex-...
Hello JF,
Wanaume kwanini mnakuwa hamjiamini ukiwa kwenye mahusiano Na mwanamke au ukioa mke aliyekuzidi kipato ingawa unakuta anakuheshim vizurii.
inferiority inampelekea mpaka mwanaume kuanza kumnyanyasa mwanamke kimwili,kiakili Na kihisia....why ebu mtusanue
Mahusiano ya kimapenzi kwa sasa kama huna pesa mwanamke atakutesa Sana Atakudharau nainawezekana akakuacha kabisa au kukawa na migogoro isiyo isha.(wanaume tutafuteni pesa)
Kama kuna mtu anabisha aje na hoja au kama una chakuongezea unaweza ongezea.
Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi.
Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke, akiomba pesa anapewa, akiomba pesa ya kusuka anapewa, jamaa akiomba waonane wanaonana sehemu kama kwenye...
Habari!
Leo mchana nikiwa ofisini kwangu somewhere in Dar amefika dada Mwenye umri wa miaka 24
Amekuja kwangu kimakosa alielekezwa aende kwa Afisa ustawi wa jamii wa kata yake kwani ana changamoto za kimahusiano na mwenza wake
Kiukweli shauku ikanijia nikamuuliza kwanni unataka kwenda ofisin...
Kuwa na mahusiano na Mwanamke ambaye anapatikana muda wowote pale anapohitajika ni kitu cha muhimu sana kwa sisi ambao bado tunapigania kombe na hatuna wake.
Kuna jirani yangu alikuwa ananisaidia sana wakati wote sikuwahi kuiona value yake mpake pale alipohama mkoa kutokuwepo kwa huyu binti...
Kwa kuwa mimi ni wa koo ya simba, inakua ngumu sana kuelezea tukio (adventure), kwani nikitazama koo za simba inakua kila tunachokifanya kuhusu mahusiano ni tukio (adventure) kwa wengine.
Kuanzia makuzi yetu mpaka tunapokua kwenye umri wa kuoa / kuolewa kwa wengine, ambao sio wa koo za simba...
Huyu slay queen akikataa kunyoa kipara itabidi niyamwage manyanga
Nilizoea kienyeji wangu. Budget yake kusuka ni Tsh. 5,000 kwa wiki
Nimekutana na nguchiro mmoja, after every two weeks anataka 120,000 ya kusuka na 45,000 ya kucha. Hapo achilia mbali gharama zingine kama outings, mavazi...
Copy&paste👇umakini unahitajika sana.
Nyie mwenzenu 😭😭😭😭😭😭natamani kulia mimi yamenikuta
Mwenzenu nipo kwenye mahusiano na kaka mmoja mkoa fulani. Yeye ni mfanya biashara mkubwa tu wa mbao Malawi kuleta Tanzania
Miaka mingi nipo nae sijawahi kuona maajabu Kama niliyoyaona jana. Nyie mwenzenu...
Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.
Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.
Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na...
Mara nyingi mahusiano ya wanandugu huwa yanaharibika / kupungua pale wanapo oa au kuolewa , kuna wengine akili zinabadilika anaanza kutumia akili ya mke au mume zaidi na kudharau mambo ya familia aliyotoka.
Wanaume wengine wanaendleshwa na wake zao anafarakanishwa na ndugu zake
1. Hakikisha mpenzi wako hatilii shaka uaminifu wako. Kikwazo nambari moja kwa maisha ya mapenzi yenye afya ni mawazo ya ukafiri kuwa na wasiwasi na mpenzi wako
2. Maandalizi mazuri Kabla ya Mapenzi sio ajenda. Maisha ya mapenzi yenye afya huanza na maandalizi kati ya wawili Kwa kuvaa nguo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.