Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani.
Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni kauli ambayo imekaa kibusara au kwenye kheri.
Hii kauli imevikwa muonekano wa hekima lakini ndani...
Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wa namna ya kuweza kuendelea na mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu sana hata kwa jambo ambalo halina maana ya mtu kukasirika. Mana naona uvumilivu unaelekea kunishinda.
Kila mmoja utamani kuingia kwenye mahusiano; haijalishi anapata faida au hasara, ingawa wapo wachache wanaopata faida, na pia wapo wengine wanapata hasara na kujikuta wanarudi nyuma miaka 20 iliyopita kimaendeleo.
Sasa ndugu zangu nawauliza; Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha...
Inakuwaje binti anaishi na familia yake, namaanisha baba na mama na bado analilia kuhudumiwa kama vile mtoto yatima??
mahusiano ndio kwanza yana wiki mbili sijakuowa unaishi kwenu na bado unataka kuhudumiwa kama mke wa wan ndoa,
Aisee nimeshangaa sana bora nitafute visa tu nikimbie nchi hawa...
Mwanaume au mwanamke wako anapokufanyia vituko vya kushangaza, kama ku-mute simu akilala au kubadilisha password mara kwa mara, unajua kuna mambo. Hivi unadhani ni sawa kuingia kwenye mahusiano ya kutomwamini mtu? Au kuna uwezekano kwamba huyu mtu wako ni mdumilakuwili? Karibu hapa tujadili...
Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa.
Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga.
Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
Mahusiano mazuri ya kimapenzi ni yale ambayo wote wawili kwa maana ya mwanamke na mwanaume mpo mkoa mmoja hivyo ni rahisi kuonana.
Pindi mmoja wenu anapokua mkoa mwingine mfano wewe mwanaume upo Dar na mpenzi wako yupo Kigoma tayari mahusiano hayo yataanza kupoteza mvuto.
Mara nyingi kwenye...
Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza.
Uoga wa kumpoteza utakufanya kushusha chini standards zako na kupuuzia red flags unazoziona kutoka kwake.
Iwe kumsomesha, kumfungulia biashara mwanamke n.k, usifanye ilo kosa, kwa sababu utakua mateka wa wema wako...
kwa miaka ya zamani kwa baadhi ya makabila familia zilikuwa na utaratibu wa wenza kuishi nyumba mbili tofauti ambapo mme aliishi nyumba kubwa mke nyumba ndogo pamoja na watoto wake
Baadhi ya makabila wao chumba kimoja kitanda viwili Kila mtu kitanda chake mme kitanda chake mke kitanda chake...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Israel yazidi kutengwa kimataifa
Serikali Nicaragua inayoongozwa na Rais mhafidhina Daniel Ortega
imetangaza kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel wakipinga uvamizi huko Gaza.
Hatua hiyo imetangazwa rasmi na Makamu wa Rais Bi Rosario Murillo ambaye...
1)UNYENYEKEVU
Kuacha kujiona wewe ni bora na mwenye thamani na umuhimu kuliko wengine/wenzako.
Kuacha majivuno,kiburi na dharau.
2)KUTOHUKUMU WENGINE.
unapokuwa unanyooshea wengine kidole kuwahukumu ,mkono wako huo mmoja wenye vidole vitano,ukimnyooshea mtu kidole shahada kimoja, vidole vyako...
Kwa hio mnataka kujifanya mmelemewa na wateja, aaah wapi, hii benki kimei aliondoka nayo na waliobaki ni wazinguaji tu.
Kama ukuu wenu ndio unawapa viburi tambueni akaunti zetu sio mikataba na ipo siku kuna benki kubwa itakuja nyingine na tutaondoka kama lile tangazo la hamia Airtel.
Mikopo...
Sisi tuliojaliwa kuwa na wapenzi vibonge, tunapata raha sana kuliko wale wenye wapenzi wenye muonekano wa namba moja iliyosimama.
Muda wote nashawishika kumtoa 'out' ata kwa mkopo kwa sababu muonekano wake unanishawishi.
Na hii baridi baridi hii, ngoja nimpigie simu angalau tukapate moja moto...
Shtuka! Usafi wa mwili wako ni jukumu lako....
Swaka kinywa chako zaidi ya mara moja kwa siku. Kama shughuli zako ni za juani baada ya kumaliza kazi koga vizuri na sugua vizuri kwapa zako, tena upake mafuta ya kukata harufu mbaya ya kwapa. Kwa wanawake mnaosuka, kama nywele za kichwani...
Wazawa wa pale wana kuambia eneo lile kuna laana athari ya vita ya wa kibosho na wa machame.
Damu ilimwagika sana, infact hata mimi niliwahi kuonesha mahala walipokowa wanatupia miili ya victims wa vita kati ya Wakibosho na Wamachame miaka hio ya zamani.
Sasa shule ya umbwe ipo jamii ya...
Kuelimishana ni muhimu kwenye mahusiano ila ukiona kila siku unakuwa mshauri kwake jua upo unamlazmisha afanane na unayemtaka.
Kwenye mahusiano kuna kukosea vigezo baadhi na kukosea vigezo vingi kwenye machaguo, aliyekosea vigezo baadhi huyu ni rahisi kujifunza kuvumilia ila kwa aliyekosea sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.