mahusiano

  1. Qashy Lilith

    Ukweli mtamu ila mchungu kwenye mahusiano

    1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke 2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela.. 3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ... 4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu...
  2. Dogoli kinyamkela

    Wadogo zangu kabla hujaanza mahusiano na mwanamke.

    Wadogo zangu kabla hujaanza mahusiano na mwanamke, hakikisha anaweza kula kwa kipato chake mwenyewe. Hakuna kuanza uhusiano na mtu anayekuomba mtaji, umkute bize na mambo yake ndiyo umpe support. Unaweza kudhani umepata mpenzi kumbe mwenzio kapata pa kuhemea. Kila mtu anastahili kupata kilicho...
  3. Zero Competition

    Nimeghairi kuwa nae kwenye mahusiano baada ya kugundua kafanyiwa tohara

    Huyu ni binti ambae nilianza kuwasiliana nae kama mwezi hivi umepita na sikutaka mambo ya kuonekana nina uchu kwa kumtongoza haraka haraka mana tulikutana kwenye event flani ndo tukapeana namba za simu. Kwa muda wote huo tulikua tunajuliana hali na chatting za hapa na pale mpaka tukaanza...
  4. M

    Najikuta kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ana pacha wake

    Habari wakuu, niliwahi kuuliza hili swali kipindi fulani ila sikupatw majibu hivyo nalirudisha tena kwenu wana JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye...
  5. Smooth Criminal

    Ukweli kuhusu mahusiano

    Mahusiano yana usiri mkubwa sana kiasi cha kujirudiarudia kwa watu wengi. Ufuatao ni ukweli kuhusu mapenzi na mahusiano • Lazima muwe tofauti, mmoja mtulivu mwingine awe kicheche(ukweli mchungu) • Lazima mmoja awe wa kujishusha au kuonekana mjinga kwa mwenzake(akianza kuonesha kujua mambo ndo...
  6. P

    Safari yangu ya mahusiano

    Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nilifanikiwa kuwa kwenye mahusiano na mkaka mmoja hivi mwenye umri wa miaka 30. Tulipendana kwa mtazamo wa macho ya nyama. Ila maisha yalibadilika nilivyobeba mimba. Mvutano ulikuwa mkubwa sana. Let's go.... Safari yangu ya ujauzito bila baba wa...
  7. Balqior

    Wanaume wengi wanaojiona wako kwenye mahusiano, kiuhalisia wako single ila hawajijui kuwa wako single

    Habarini, Ukichunguza vizuri mahusiano mengi sahivi, Mdada akiwa na birthday atategemea kupokea outing, lunch, and gifts toka kwa boyfriend wake, ila boyfriend akiwa na birthday mdada hatompa boyfriend kitu chochote. Mkiwa mnatembea mtaani, mdada akiona kitu kizuri kitachomfaa, k.v kiatu...
  8. B

    Neno "tafuta hela" limeua dhana nzima ya neno" mahusiano" na" upendo"

    Kigezo Cha kuwa kwenye mahusiano kimekuwa kimoja🤔tu utasikia watu mtaani Wakina dada wanasema "tafuta hela"?! Utaweza kummliki huyo demu Lakini watu waliojipata kifedha mfano "vunja bei " wakati fulani alipublish sana swala la Kuhonga Ina maana hakuna aspect nyingine zinazowakutanisha watu...
  9. Manyanza

    Mahusiano kwa sasa yamekuwa kama ajira ya kudumu kwa wanawake wa kizazi hiki

    Kuna muda mwanamke yupo na wewe kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sababu ni masikini hana chaguo lingine la ziada. Ukweli ni kwamba wanawake wengi tunaotembea nao na wale mliowaoa wanashikilia mahusiano ya mapenzi na wanaume zao kwa sababu wanataka msaada wa kiuchumi. Ni masikini ,hawana...
  10. Last_Joker

    Kuchumbia kwa miaka au kufunga ndoa haraka: Njia gani inahakikisha ndoa imara?

    Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia halisi za mwenza wako na kuona kama mnaweza kuishi pamoja kwa maisha ya ndoa. Lakini pia, kuna wale...
  11. Natafuta Ajira

    Kanuni za mchezo zimebadilika, mahusiano hayapo kama yalivyokua hapo awali

    Asili ya muingiliano wa mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke kila upande una jukumu lake. Mwanaume ni provider na protector, mwanamke ni reciever na helper, na huu ndio ulikua msingi wa kumuweka mwanamke kando kwenye masuala magumu na muhimu. Bahati mbaya hapo karne za katikati kuna baadhi...
  12. jmushi1

    Marekani yatilia shaka mahusiano ya Urusi na Houthi

    Urusi inaweza kutoa msaada kwa Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran huku wakihatarisha njia kuu za meli. Afisa mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alisema Moscow inashirikiana na waasi katika "kiwango kikubwa." Afisa huyo aliiambia BI kwamba usaidizi wa Urusi ungekuwa "wasiwasi mkubwa...
  13. Magical power

    Wakati mwingine tunakutana na watu wakiwa wameumizwa sana na mahusiano ya nyuma.

    Wakati mwingine tunakutana na watu wakiwa wameumizwa sana na mahusiano ya nyuma Tunalazimika kuzinyanyua nafsi na mioyo yao iliyojiinamia ndipo tuwapandikize upendo wetu Huwezi kuupata upendo mkubwa toka kwa mtu mwenye mapito mazito kama hujamponya na maumivu yake ya nyuma ili awe mpya kwanza...
  14. Shanily

    Kwanini watu wapole hawanaga bahati hasa kwenye mahusiano na hawadumu kwenye ndoa?

    Yaani kwa tafiti kadhaa nilizofanya na uzoefu binafsi nimeamini kweli watu wapole na watulivu hawanaga bahati kwenye mahusiano. Unaweza kuta mdada mzuri, mtulivu, hana makuu lakini aliyeolewa nae sasa pasua kichwa, vurugu, amani hakuna. Au mkaka mpole, mvumilivu anaoa kicheche, mtaa mzima...
  15. Samaritantz

    Mwanamke anaweza akawapenda wanaume wawili?

    Hivi mwanamke anaweza akawapenda wanaume wawili. Nikimaanisha kwamba mwanamke yupo na mahusiano yake na tayali amesha tolewa posa. Je, anaweza akampenda mwanaume mwingine na wakadumu katika uhusiano?
  16. U

    Serikali ya Iran yafunga kiwanda chake cha kutengeneza magari kilichojengwa Syria miaka 20 iliyopita, sababu za kiuchumi na mahusiano mabaya zatajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji nchini Syria kwa sasa Serikali ya Iran ikimiliki asilimia 80 huku Syria ikimiliki asilimia 20 Syria...
  17. Magical power

    Mwanaume huu ndio mgawanyo wa wanaume kulingana umri waolionao na hulka walizonazo katika mahusiano

    1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara nyingi zinatoka kwa wazazi sio zao (hawajazitesekea) lakini wanaume waliko mjini kwa 20-27 wengi ni...
  18. B

    Kuna mahusiano gani kati ya kiwango cha elimu na kiwango cha mafanikio kwenye maisha? Mafanikio ni nini?

    Sasa nianze kwa kutanguliza Hongera kwa wote ambao hamkukwepa umande lakini poleni ambao mlikwepa umande kwasababu zenye mashiko kama Ada, magonjwa na kufiwa na Wategemezi hali iliyopelekea kuanza kutafuta hela mapema. Lakini ifike mahala wasiosoma mtuheshimu ambao hatukukwepa umande...
  19. Rorscharch

    Mwanamke Mwenye Hekima: Siri ya Kuijenga Au Kuiangusha Nyumba Yako Katika Mahusiano!

    Katika mahusiano, mwanaume amebebeshwa mzigo mkubwa wa majukumu na matarajio, ambayo kwa kiasi kikubwa yamejengwa na miiko ya kijamii na tamaduni zetu. Kwa mfano, jamii inamtegemea mwanaume kuhakikisha makazi yapo (swali la kwa nini hajajenga linaelekezwa kwake, tofauti na mama mlezi anayeweza...
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Tahadhari kwa wanaume! Hakuna mahusiano ya kweli yanayo anza mwisho wa mwaka

    Wanaume heshima kwenu. WANAUME NI KUSANUANA,UKIENDEKEZA GENYE ZAKO UMELIWA. Haihitaji Utafiti lakini kwa uzoefu wangu katika kipengele hiki sasa hivi kila binti ama mwanamke ni mrahisi ajabu hata hapo awali alikuwa mgumu kiasi gani. Wanajirahisha ili wakupige boom apate hela ya sikukuu pendwa...
Back
Top Bottom