Kama mahusiano yako yanakufanya ujisikie kuchoka na hauna raha,basi si wakati muafaka kwako kuendelea nayo
Kama unajikuta kila unachofanya ni kwa ajili ya kuhakikisha mahusiano yako yanaendelea basi jua unapoteza namna ya kufanya mambo yako mengine,kwa maana nyingine umepoteza uhuru wa kufanya...
Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar....
Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya.
Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume.
Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa...
huu ni ujumbe wangu mimi mwanayanga halisi kwako wewe white haji manara :
mzungu pori umekuwa chanzo cha chuki na fitina kila mahali ulipopita kama mfanyakazi , unasifika kwa kufitinisha watu makazini na kutaka kuwa katikati ya kila kitu kinachokuzunguka.
umejawa sifa za kipumbavu na...
“Kwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi. Sina la kuongea nae maana yeye alisema mimi ni Mwanachama tu hivyo siwezi kumtafuta nalinda brand yangu”
“Tulikuwa ‘very close’, Yeye ndiyo alisema mimi ni Mwanachama na Kutokana na mazingira unakaa pembeni...
Hakuna tena sababu ya kukaa kwenye mahusiano kwa miaka 5 halafu mwanaume anakwambia anataka kuoa mwanamke mwingine!
Dalili zote za mwanaume ambaye anakutumia zinaanza kuonekana ndani ya miezi 3 ya mahusiano. Shida inakuja tu kuwa, baada ya miezi 3 ya mahusiano, wanawake wengi ni vigumu kuona...
SIFA ZA MWANAMKE AMBAE YUPO KIMASLAHI KWENYE MAHUSIANO
Mwanamke ambaye yupo kimaslahi kwenye mahusiano anaweza kuonyesha sifa zifuatazo:
1. Kuweka Kipaumbele Kwenye Faida za Kifedha:
Atazingatia sana hali ya kifedha ya mwanaume wake na kuonyesha nia ya kujinufaisha kifedha zaidi kuliko kujenga...
Utakapokua umejipata wanawake watajisogeza kwenye maisha yako, sasa hiki ndicho kipindi ambacho hautakiwi kuwa na huruma kabisa kwa mwanamke.
Kumbuka walijiweka mbali na wewe kipindi unajitafuta, hivyo basi na wewe utakapojipata jiweke mbali na wanawake masikini.
Kumbuka hakuna mwanamke...
Mambo 5 Muhimu Ya Kuyajua Unapoingia Kwenye Mahusiano!
(1) Sio kazi ya Mwanaume kukuhudumia hivyo acha kabisa kumuambia matatizo yako mwanaume ambaye ndiyo unakutana naye. kama akikusaidia sawa, asipokusaidia basi vumilia, msome taratibu, angalia mambo mengine katika mahusiano na si kuhusu...
SIFA ZA NICE GUYS KWENYE MAHUSIANO
Katika muktadha wa mahusiano, "nice guy" anaweza kuwa na sifa kadhaa zinazomfanya awe mwenza mzuri na anayejali.
Hapa kuna sifa za "nice guy" kwenye mahusiano. Uzi👇🏽
1. Mkarimu
Anapenda kutoa msaada na kujali mahitaji ya mwenza wake bila kutarajia malipo...
Kutokana na hili sakata la Baltazar kuna mambo Mengi ya kujifunza hapa, nitaelezea kwa summary tu;
Most of the women ambao walicheat na Jamaa , wapo kwenye mahusiano na matajiri wa kubwa na pia powerful men.
Kwa waliodhan kwamba Hawa wanawake walicheat kwasababu ya pesa au umaarufu au chochote...
Habarini,
Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo.
Nimegundua kuwa watu wanachunga sana wanachoongea kwa bosi na wafanyakazi wenzao, na waki interact na wafanyakazi wenzao...
Siku hizi kuwa na pesa sio kigezo cha kumfanya mwanamke wako au mke wako atulie kwenye ndoa au mahusiano yenu.
Hili limethibitishwa na alichokifanya yule afisa wa Equatorial Guinea ambae ametembea na wanawake wengi na kufanikiwa kuwarekodi wote na kibaya zaidi hata wale wanawake wenyewe walikua...
Kila siku tunasikia mijadala inayoibuka kuhusu privacy kwenye mahusiano, na swali kubwa ni hili: Je, wanandoa wa kisasa wanapaswa kupeana password za simu zao au kila mtu abaki na yake? Tuko kwenye enzi ya teknolojia, ambapo simu imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya mtu binafsi – kuna wale...
Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa Yanga Stephane Aziz KI akiachwa tofauti na ilivyozoeleka.
Chanzo: mwanaspoti_tz
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la wandoa wapya ama Wapenzi waliokuwa wakiishi pamoja Kwa muda mrefu kuingia Kwenye migogoro na hatimaye Ndoa zao kuvunjika ama wakati mwingine uchumba wao wa muda mrefu kuvunjika.
Tukiwa kama Wazazi ama watu tulioishi na kupitia mahusiano tunaweza...
Kwa wadogo zangu wote ambao bado mnapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu)
Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
Vijana wenzangu wote ambao bado tunapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu)
Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
Wakuu tujadiliane hili kidogo
Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara...
Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa nyingi za mahusiano baina ya wanafunzi na walimu au hata watu wengine tu ambao si walimu zinafika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.