BORA MAHUSIANO YAKULIZE HUKU UNA HELA KULIKO KULIZWA NA HELA HUNA 😔
Mahusiano ni eneo ambalo linazungumzwa sana ikiwa ni kiashiria kuwa wengi hujihusisha huko ila pia changamoto ni nyingi sana huko .
Usipojidhibiti utajikuta muda mwingi unafikiri tu mahusiano kuliko mambo mengine na huo ndio...
Ni maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli??
Unakuta wanajinadi kabisa Leo tunataka kuharibu mahusiano, mm binafsi nimeshindwa kuwaelewa
Kwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya kuendesha maisha yetu ya kila siku, tunasukuma ndinga pendwa na vijana wa mjini kama vile crown etc...
Achana na wale unaokutana nao pembeni ya barabara wakihitaji msaada wa chochote, sikuhizi kuna ombaomba hawa ambao ukiingia kwenye mahusiano tu basi utaletewa matatizo chungu nzima.
Nashauri serikali iingilie kati hii suala ni gumu mno. Nchi ina maskini wakutupwa sema wanashindwa tu kujipanga...
Wengi wetu tumekuzwa tukishuhudia mara kadhaa mishumaa ikiwekwa moto katika vipindi mbali mbali vya ibada.
Jambo hili limekuwa likifanyika katika ibada za imani tofauti tofauti duniani tangu enzi na enzi.
Lakini, si wote wanaweza kujua ni nini hasa maana yake, na wengine wamezoea kufanya hivi...
Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram hata hapa JF hadi mtaani nimekuja kugundua vijana wa kike wengi bongo mazungumzo yanayowashughulisha na kuwaweka busy zaidi ni mahusiano, mapenzi, ndoa na ngono.
Ni wanawake vijana au mabinti wachache sana utakuta wanaongelea siasa...
habari wadau.
Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana.
Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya mwanasayansi Robert Briffault ambayo ni a scientific law that describes the biological behavior of...
Hakuna ubishi unapoomba kazi moja ya sifa na kigezo kinachozingatiwa ni uzoefu wa kazi how long you work for the position?una yafahamu vyema majukumu yako na kuna impact gani umeifanya katika taasisi yako uliyotoka?
Lakini mambo yamekuwa tofauti katika mahusiano hivi kwanini wanaume tunawakataa...
Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa.
Na kupata unafuu wa Maisha, kiujumla wanawake wapo kimaslai zaidi, hata mke ulie nae, hayupo hapo kwa ajiri ya Upendo ila yupo hapo kwa sababu...
kisa chenyewe ndø kama ifuatavyo ..
Mimi nikijana mwenye miaka 20 sasa katika safari yangu ya maisha nimekuwa napitia changamoto nyingi katika masuala ya mahusiano ambapo masuala ambayo Mimi nayaona kama changamoto kwa vijana wenzangu wanaokama fursa lkn tunatofautiana ..
Kiukwelii nimekuwa...
IMETAFISIRIWA
Jack Rynolds alitumikia kifungo kwa miaka zaidi ya 12 gerezani kwa kosa la kulawiti wavulana wadogo hasa wenye miaka 11 hadi 14, hapa anatoa ushuhuda wake kwa vigezo vonavyotumika zaidi kuchagua aina ya wavulana na mbinu.
===
Tafsiri siyo ya moja kwa moja;
Swali la mwandishi...
Mitandao ya kijamii na mawasiliano ya kidijitali vimebadilisha jinsi watu wanavyohusiana, na hii imeleta changamoto mpya kuhusu uaminifu, muda wa pamoja, na jinsi ya kudumisha ukaribu.
Katika enzi za sasa za teknolojia, mahusiano yamepata fursa mpya za kuimarika kupitia mawasiliano ya haraka na...
Nilikua Na Mahusiano Na Mfanyakazi Mwenzake, Kajua Naona Kama Kabadilika!
Mwezi wa 3 mwaka jana nilianzisha mahusiano ambayo hadi sasa ninajutia kwanini niliyaanzisha. Ni mahusiano ambayo hayakudumu, tuliachana mwezi 8 mwishoni. Mwezi wa tatu mwaka huu nikakutana na mtu mwingine. Mimi ni...
Image Source: Pinterest
Mtu mmoja aliwahi kusema kuwa,
"Walimu wanaotanguliza uhusiano sio tu kuwa na wanafunzi kwa mwaka mmoja. Wana wanafunzi wanaowaona kama mwalimu wao wa Maisha"
Mateso tuliyopitia kwenye elimu yetu si lazima kizazi hiki kipitie.
Mateso yaliyofanya wengi kutokujiamini...
Image source: Pinterest
Kumekuwa na tatizo la wazazi kulaumiana katika kusimamia maendeleo ya mtoto shuleni. Hivyo kurudisha umoja ili kufanikiwa kumjenga mtoto
Na wakati mwingine mzazi anaingia msongo wa mawazo kutokana na taarifa mbaya za mtoto kutoka kwa mwalimu.
Mwandishi wa kitabu cha...
Kila mtu anataka kuwa katika upendo, lakini si kila mtu yuko tayari kujitolea kweli.
Hapa kuna njia rahisi za kujaribu ikiwa ni upendo wa kweli:
Mtihani wa Ukweli: Mapenzi ya kweli ni ya uaminifu. Ikiwa unaficha mambo kutoka kwa mpenzi wako, inaonyesha kuwa huna upendo wa dhati. Kuwa...
Jamani eeh, dada yenu niko singo na niko kwenye haraki za kutafuta mpenzi! Ninajiweza niko sawa kifedha na la hasha navutia kwa kudra za mwenyezi Mungu ila usumbufu naouona ni bab kubwa. Ntakuwa nahadithia hapa muwe mnanipa ushauri wa kumchagua. Wanaume hawa wote ni wabongo kasoro baadhi. Mpaka...
Kabla mwanamke hajakukubalia tambua ya kwamba ashapiga hesabu zake na kujua atanufaika vipi kupitia wewe iwe kwa sasa au uko mbeleni.
Ni wanaume wajinga ndio huwa wanaingia katika mahusiano bila malengo.
Ndio maana wanaume hawa huwa wanaishia kutumika na wanawake kwa malengo binafsi, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.