mahusiano

  1. GenuineMan

    Ni aibu Kijana unaishi ndani ya Jiji kama Dar es Salaam halafu unateswa na mahusiano

    Kabla ya yote, Maisha ni Mahusiano Dar es Salaam kama yalivyo majiji mengi kuna idadi kubwa ya watu. Na sehemu kubwa ya hao watu ni vijana. Kila mwaka kuna idadi kubwa ya vijana wa kike na kiume wanaingia jijini, iwe kutafuta elimu, kutafuta kazi, na hata kutembelea ndugu. Na wengi hapo...
  2. VINICIOUS JR

    Mwanamke ambaye ana kazi yake nzuri na elimu inakuwaje unaleta mwanaume zaidi ya mmoja sehemu uliyopanga?

    Wasalam wakuu. Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri. Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni...
  3. Sonko Bibo

    Mapenzi! mapenzi! mapenzi! Nimetamka mara tatu. Sasa ole wako kijana! kabla hayajakukuta pitia hapa

    Vimiaka vyangu kadhaa katika mapenzi nimekuja na uzoefu ufuatao.. Mosi: Hakuna haki kwenye mapenzi,, the game is too brutal sometimes. 2,, Kuwa single ni level fulani ya uhayawani so avoid being single. 3,, The best friend of yours is your lover so be careful not to pass your only secrets to...
  4. THE BEEKEEPER

    KUWA NA PISI NYINGI INAKUWA HIVI

    Ngoja nitoe Siri ya kambi ipo hivi sisi wanaume hua tunapenda kua na mahusiano na mwanamke mmoja shida inaanzia nakufata nakutongoza unanizungusha ghafla namuona mwengine kwakua wewe sina uhakika utanikubalia naona nimjaribu na huyu nae anasema ntakujibu mambo Ni mengi mda mchache unaamua tena...
  5. Tumbili wa mjini

    Sidumu kwenye mahusiano

    Kama kichwa cha hapo imeandika, mimi sijawahi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi sita nitaeleza kwa visa vya wanawake watatu. Wa kwanza nilidumu nae kwa mwezi mmoja, wakaenda kwao likizo baada ya hapo mahusiano yakaisha akawa ana dharau hata nikimwita mara anisimamishe njiani. Kama siku moja...
  6. Magical power

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli.

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake hujifanya wana mood swings na kuitumia kutesa na kupelekesha wanaume mabwege

    WANAWAKE HUJIFANYA WANA MOOD SWINGS NA KUITUMIA KUTESA NA KUPELEKESHA WANAUME MABWEGE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usikubali mwanamke akupelekeshe kwa kisingizio cha mood swings. Usikubali! Kuna wanawake Wana tabia ya kupelekesha wanaume wakijifanya ati Wana mood swings. Mood swings...
  8. I

    Serikali mpya ya Syria inajipanga kurejesha mahusiano na nchi za magharibi huku ikiipa Iran mkono wa kwaheri

    Ufaransa yarejesha bendera katika ubalozi wa Damascus huku mamlaka mpya ya Syria ikijenga mawasiliano na nchi za Magharibi. Ufaransa ilipandisha bendera yake katika ubalozi wake wa Damascus siku ya Jumanne kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12 na maafisa wa Umoja wa Ulaya walijitayarisha...
  9. Tumbili wa mjini

    Umeshawahi kula bila kuona chakula chenyewe?

    Naam hujakosea, nitaeleza kwa ufupi kwakua mimi sio muandishi sana. Miaka kama miwili nyuma wakati nasoma chuo mwaka wa mwisho nilizama penzini na mtoto aitwae A... Fa (aged 19 - 21) alikua akiishi kigamboni huyu mtoto kwanza kabisa nilimpata kirahisi sana kwakua alikua ameachwa na bwana wake...
  10. sergio 5

    Mahusiano ya mapenzi na ndoa huitaji mtu mmoja mjinga, two smart people they can’t ever fall in love

    Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye akili mmoja so tafuta mjinga wako au wewe kuwa mjinga ili upate mwenye akili Ni Hilo tu nawafundisha...
  11. Stephen Ngalya Chelu

    Napenda kumtakia kila la heri member financial services, nahisi anapitia magumu kwenye mahusiano...

    Mimi siyo mdau sana wa kuanzisha nyuzi kuhusu member humu ndani lakini leo nimejikuta tu ninyooshe mkono wangu kumtakia heri member financial services. Leo nilikuwa napita humu nikakutana na uzi wake february akiuliza na kuomba ushauri kuhusu namna ya kukabiliana na hali ya kufikisha miaka 30...
  12. Brojust

    Ubongo wa mwanadamu na majira ya mwezi: Dhana ya mwezi mchanga ni kweli ipo ? Je, kuna mahusiano gani kati ya majira ya mwezi na uchizi/utahira ?

    Huwa najaribu kutengeneza heading fikirishi ili tujaribu kudadisi ukweli. Nilisikia watu wanaongea kwamba kuna uhusiano kati ya majira mbali mbali ya mwezi na akili/ubongo wa binadamu. Wengine wanasema kuna supernatural power ambayo ukikaa sehemu tulivu kama mlimani au sehemu yoyote tulivu...
  13. Melancholic

    Ushuhuda wangu katika mahusiano ya kileo

    Napitia kipindi kigumu sana kwenye mahusiano aisee mimi ni kijana 25+nimekuwa nikitamani sana kuwa kwenye mahusiano ofcourse nilikuwa nipo na mahusiano na mdada mmoja but atukudumu sana sababu ni gold diger hivyo nikaamua kumuacha kwa usalama wa pesa zangu na malengo yangu. Baada ya kukaa muda...
  14. Pang Fung Mi

    Mwanamke kama havai shanga siwezi kuwa na mahusiano nae, kabla ya yote nauliza kuhusu Shanga kama anazo

    Sina mengi ya kusema kichwa cha habari Kiko bayana karibu tuzungumze wengine mna mtazamo gani kuhusu wanawake hasa kuvaa shanga. Vibe langu limekaa kwenye shanga, obviously shanga huambatana na miuno kama yote Pang Fung Mi
  15. B

    Nini lilikufanya mpaka ukasema hutokuja tena kuwa na mahusiano na mtu uliyekutana nae mtandaoni

    Katika Harakati za Kujamiana na watu mbalimbali kwenye mitandao basi nikapata binti mmoja nikamwelewa sana Ila siku ya appointment picha alizotuma na mwana dada niliyekutana nae ilikuwa ni ardhi na mbingu 🤣Dah filter ipigwe fine wazee Vipi kwenu, wadau ilikuaje mpaka ukasema hutaki tena...
  16. Decruise

    Una hakika mahusiano yako yatafika sikukuu za mwisho wa mwaka.

    Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
  17. Quetzal

    Je unaweza pata mahusiano yanayoeleweka kupitia Dating Site?

    Basi bwana, mimi ni ke Nikasema nimekua single miaka 3 ngoja nijiunge dating site nione kama naweza pata mpnz. Looooh....Najutraaa Hivi unaweza pata mpnz wa na kuanzisha mahusiano kwenye dating app.?. Maana kila mmoja anataka kupiga na kusepa. Je wapo waliopata wampenzi na mahusiano kwenye...
  18. T

    Nayageuza vipi mahusiano ya kawaida kuwa Mahusiano ya kimapenzi

    Wakuu Naishi vipi na huyu mrembo wa kishua kama rafiki tu, naona haiwezekani. Nitumie njia gani huu urafiki wa kawaida unipe tunda hili. Wataalamu na wabobezi wa jf nijuzeni kwa niaba ya wadau wengine pia Asante
  19. Mchafuu

    Umekuwa ukisumbuliwa sana na mahusiano basi fata sheria hizi sheria ya 5 itakushangaza

    DATING RULE 01. Usimpe au kumfanyia mwanamke wako mambo makubwa ambayo hauwezi kumfanyia maisha yake yote au ku maintain moja kwa moja. Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako utakayoweza kufanya hata ukimuoa. DATING RULE NUMBER 02. Mchumba akikukubali na akawa anakupenda kweli, kazi yake ni...
  20. Mchafuu

    Kijana ambaye unaingia kwenye mahusiano zingatia hili

    Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa, Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA" Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path. Manzi akikuheshimu...
Back
Top Bottom